T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sisi si tuna J-7G?Kwa Africa ukiwa na SU-30 6 tu ni nyingi sana ndugu, yani unahesabika kuwa una jeshi la Anga bora.sisi wenyewe tuna JF-7 (11) na JF-6 (3) tu na bado tunatamba
JF si huwa ni za Pakistan, sijawahi sikia JF katika jeshi lolote tofauti na Pakistan ambazo walishirikiana na China kutengeneza.
Kwa Afrika tunatamba kwa sababu ya kuwa na army kwa vile air forces hazina ushindani sana. Wenye ndege za kuheshimika ni Egypt ambao wanaongeza Su au Mig kama 24, Algeria wenye jets kadhaa kutoka Russia na South Africa wenye Jas-39 Grippen kadhaa.
Waliobaki ndo kina Uganda wenye airframes 6 then sisi wengine tunapishana huku. Hata ranks za kijeshi huwezi sema Tz tupo top 7 kwa Africa.