STEALTH (LOW OBSERVABLE) TECHNOLOGY | Teknolojia ya ndege kutoonekana/kutotambulika na rada (RADAR)

Teknolojia hii ya stealth ni kwa yeyote mwenye uwezo wa kuwa nayo.

Stealth ni hitaji la majeshi mengi duniani. Kuanzia yule mwenye uwezo na hata yule asiye na uwezo wa kufanya hivyo na imekuwa hivyo tokea miaka mingi sana. Tangu enzi na enzi.

In fact, kuwa stealth ni NATURE ya binadamu yeyote.

Stealth haina tofauti na Privacy katika maisha ya kila siku. Kila mmoja wetu anapenda kufanya mambo yake fulani fulani kwa uhuru, bila bughudha wala usumbufu na bila wengine kujua ama kugundua kuwa anafanya kitu gani kwa wakati huo.

Kila mmoja huwa huru zaidi kufanya mambo mengi fulani fulani ambayo asingeweza kuyafanya in public ama mbele ya macho ya wengi. Ni jambo la kawaida kabisa ambalo lipo kwa kila aliye na akili timamu. Na katika stealth pia ni vivyo hivyo!

Hili ni hitaji la kila mtu.
Mataifa makubwa kijeshi; Marekani, China, Urusi uliyoitaja na mataifa mengineyo yamekuwa katika uwekezaji wa teknolojia hii ya stealth kwa muda mrefu sasa. Tofauti iliyopo hapo ni kwamba kila mmoja anafanya kuendana na uwezo wake.
Naona umedandia gari kwa mbele.wala ujaelewa nilikuwa nina maana gani
 
Nilikwisha kukuelewa vyema ndugu.

Ulisema "teknolojia hii ni kwa nchi kama zetu hizi" kisha ukaonesha wasiwasi wako kwamba kuipeleka Urusi huwezi "kutoboa".

Nikakujibu,
Teknolojia hii ya stealth ni kwa yeyote mwenye uwezo wa kuwa nayo.

Maana yangu ni kwamba, kinachojalisha hapo ni uwezo tu, haijalishi unaipeleka wapi. Hiyo mifumo ya rada "tofauti tofauti zaidi ya 200" unayoisema kuwa ni kikwazo na kuiona imekamilika (perfect) ni sababu bado hujapata kuifahamu kwa undani kuhusu utendajikazi wake. Ukiifahamu vyema, utayaona madhaifu kadha wa kadha.

Pia nikasema, Mataifa makubwa kijeshi; Marekani, China, pamoja na hiyo Urusi yenye rada "tofauti tofauti zaidi ya 200" na mataifa mengineyo yamekuwa katika uwekezaji wa teknolojia hii ya stealth kwa muda mrefu sasa. Hawa wote wanafahamu udhaifu katika mifumo ya rada na ndicho kinachowapelekea kuutumia udhaifu huo kupitia teknolojia hii.
 
Safi sana sasa nimeelewa rada inafanyaje kazi kwanini bongo tusingeneze rada yetu kwa kutumia feni au hata signal za minara ijengwe minara mirefu mara mia ya hii ya simu ili kuwa na signal ndefu ya kudect ndege na makombora?

Nimewaza tu
 
Lockeed Martin walitumia dola za Marekani bilioni 15 miaka ya 1980 na 1990 kutengeneza THAAD. Hata ukiamua kuweka bajeti ya nchi nzima ya Tanzania kutengeneza mfumo wa kulinda makombora huwezi pata.
 
Ndio maana nikasema kwamba unachanganya. Stealth bomber na stealth technology ni vitu viwili tofauti. Moja ni product ya teknolojia huku nyingine ni teknolojia yenyewe in general na ina vitu vingi sana ndani yake.

Nilisema hapo awali kuwa teknolojia ya stealth ni pana sana na ni endelevu. Ukiyasoma maelezo yote niliyowasilisha hapa utapata kulifahamu vyema hilo.

Unaposema kitu ni "low observable" na wakati huohuo unasema "sio stealth hata kidogo" technically nikueleweje?

Unadhani ni kwanini stealth technology huitwa low observable technology?

Nikuulize maswali mengine mawili yaliyoko ndani ya mjadala:

1) Nini maana ya stealth?
2) Nini maana ya stealth technology?
Acha kufanya kichwa kuwa kigumu. Hiyo B1B si ni bomber? Au wewe unataka uiite air fighter. Nina wasiwasi kama hii article umeandika wewe au umekopi maana unaonekana hata vineno viwili vinakuyumbisha siku nzima.

Umesema B1B ni STEALTH. Nimekwambia sio STEALTH, ukaanza kubishania low observability. Nikakuonesha evidence sahivi unakuja kwenye stealth bomber vs stealth technology.
Hoja yako ni kuwa B1B ni stealth. Hoja yangu ni kuwa B1B sio stealth. Onyesha ushahidi kama nilivyofanya kama bado unabisha.

S
 
Unasema nimekosea.

Sawa! Let's assume nimekosea. Je, unaweza kunionesha mahali nilipokosea?
Sio tuna-assume. Ni kwamba umekosea, au unajiona uko sawa? Tunafanyaje assumption wakati ushahidi upo[emoji44].
Kisa lako hili hapa na picha ukaweka. Utabisha maneno sasa picha sijui utabisha nayo, maana unapenda ubishi wa wazi.
IMG_20200707_004055.jpg
 
Tunaweza mkuu hata rada
Lockeed Martin walitumia dola za Marekani bilioni 15 miaka ya 1980 na 1990 kutengeneza THAAD. Hata ukiamua kuweka bajeti ya nchi nzima ya Tanzania kutengeneza mfumo wa kulinda makombora huwezi pata.
 
Acha kufanya kichwa kuwa kigumu. Hiyo B1B si ni bomber? Au wewe unataka uiite air fighter. Nina wasiwasi kama hii article umeandika wewe au umekopi maana unaonekana hata vineno viwili vinakuyumbisha siku nzima.

Umesema B1B ni STEALTH. Nimekwambia sio STEALTH, ukaanza kubishania low observability. Nikakuonesha evidence sahivi unakuja kwenye stealth bomber vs stealth technology.
Hoja yako ni kuwa B1B ni stealth. Hoja yangu ni kuwa B1B sio stealth. Onyesha ushahidi kama nilivyofanya kama bado unabisha.

S
Hoja kuu iliyopo hapa ni STEALTH ama LOW OBSERVABLE TECHNOLOGY. Hii ndio hoja.

"Stealth bomber" ni kitu kingine ambacho ni sehemu ndogo tu ya kile kilichopo hapa. Ni vyema zaidi ukafahamu kutofautisha hivyo vitu viwili kwanza.
 
Sio tuna-assume. Ni kwamba umekosea, au unajiona uko sawa? Tunafanyaje assumption wakati ushahidi upo[emoji44].
Kisa lako hili hapa na picha ukaweka. Utabisha maneno sasa picha sijui utabisha nayo, maana unapenda ubishi wa wazi.View attachment 1499551
Nilikuuliza makusudi unioneshe nilipokosea na nilifahamu fika kwamba utanionesha mahali hapo.

Iko hivi,
Hakuna mahali popote katika maelezo yangu niliposema kuwa B1B Lancer ni "stealth bomber". Hakuna!

Isitoshe, B1B Lancer sio "stealth bomber". Nafikiri unalifahamu hilo.

Lakini, hiyo si hoja hapa maana B1B Lancer inatumia pia teknolojia hii ya stealth kupitia nyenzo mbalimbali. Ndicho nilichokisema katika maelezo ya awali kabisa (post namba 1). Hebu yasome tena vizuri maelezo hayo uliyo screenshot.

Kinachoongelewa hapo katika maelezo yangu ni STEALTH TECHNOLOGY ama LOW OBSERVABLE TECHNOLOGY kwa ujumla wake.

Ningekuja na article specifically inayohusu "stealth bombers" na kuitaja B1B Lancer, hilo dhahiri lingekuwa ni kosa, na ungekuwa na haki na sababu ya kunikosoa lakini linapokuja suala la stealth technology, ni habari nyingine kabisa.

Asante!
 
Kama nimeelewa vizuri, unakusudia hivi..
Unga wa mahindi na mahindi yenyewe..
Kwamba ukisaga mahindi utapata "unga mahindi/ugali" lakini haimaanishi mahindi Yana uwezo wa kuzalisha unga tu,lakini unga ni sehemu ndogo na moja tu ambayo inaweza zalishwa na mahindi..
Stealth bomber ni zao moja wapo la Stealth technology lakini wakati huo hio Stealth technology haiishii hapo bali ni pana zaidi..
 
Yani kuchanganya stealth jets zozote zile iwe ni fighters, bombers ama reconnaissance na ndege za kawaida ni kosa. Unasema hakuna sehemu uliyotaja kuwa B1B ni stealth, well. Kauli uliyotumia kumaanisha B-2, F-22, F-35 na J-20 ni ileile uliyotumia kumaanisha B1B. Hata Zumwalt za bei mbaya umetumia kauli hiyo, sasa iweje unaruka sahivi. Zote ulizotaja kasoro B1B zinastahili kuwepo. Ingawa umeiacha Su-57 ya Russia.

Jet ikitumia "stealth technology" inakuwa "stealth jet". Simu ikitumia "android operating system" inakuwa "android smartphone". Yani unachanganya iPhone X, Samsung S20, Tecno Pop 2, Nokia 5 kuwa zote "zinatumia android operating system" mtu anakwambia iPhone sio android, unajitetea eti hakuna sehemu nimesema iPhone ni android.
IMG_20200707_065042.jpg
 
Hoja kuu iliyopo hapa ni STEALTH ama LOW OBSERVABLE TECHNOLOGY. Hii ndio hoja.

"Stealth bomber" ni kitu kingine ambacho ni sehemu ndogo tu ya kile kilichopo hapa. Ni vyema zaidi ukafahamu kutofautisha hivyo vitu viwili kwanza.
Kwanza ondoa akilini mawazo kwamba sijui ninachoongea, ningekuwa sijui ningeuliza nisingekuja kukosoa. Hapa nakukatalia kuiita B1B stealth sasa kwanini unalazimisha nisiite bomber, kwani ni nini hii.
Unapotaja silaha ni vema utaje configuration yake mfano Admiral Kuznetsov aircraft carrier. Hakuna kosa mtu akisema Northrop Grumman B-2 Spirit bomber ama akisema B-2. Hii quote yako haikustahili kuwepo.

Wewe unaona ni kosa kuiita Rockwell B1B- Lancer kuwa ni bomber?
Ninayoikatalia kuiita stealth ni bomber hivo nikitaja kuwa sio stealth bomber that means hii bomber sio stealth, sasa sijui unagoma nini. Naishia hapa, B1B sio STEALTH. Stealth heavy bomber inayotengenezwa sahivi na Northrop Grumman ni B-21 Raider, ndiyo inakuja kureplace hizo kina B-2 na B1s.
B-52 sijui Boeing waliiweka nini mpaka kesho hizo tunazo sana.
 
Unapotaja silaha ni vema ukataja na configuration yake.. Hapo nimekueleewa sanaaa....
 
Mpambano mkali kweli kweli
 
Kama nimeelewa vizuri, unakusudia hivi..
Unga wa mahindi na mahindi yenyewe..
Kwamba ukisaga mahindi utapata "unga mahindi/ugali" lakini haimaanishi mahindi Yana uwezo wa kuzalisha unga tu,lakini unga ni sehemu ndogo na moja tu ambayo inaweza zalishwa na mahindi..
Stealth bomber ni zao moja wapo la Stealth technology lakini wakati huo hio Stealth technology haiishii hapo bali ni pana zaidi..
Swadakta! Nakushukuru kwa kunielewa.
 
Yani kuchanganya stealth jets zozote zile iwe ni fighters, bombers ama reconnaissance na ndege za kawaida ni kosa. Unasema hakuna sehemu uliyotaja kuwa B1B ni stealth, well. Kauli uliyotumia kumaanisha B-2, F-22, F-35 na J-20 ni ileile uliyotumia kumaanisha B1B. Hata Zumwalt za bei mbaya umetumia kauli hiyo, sasa iweje unaruka sahivi. Zote ulizotaja kasoro B1B zinastahili kuwepo. Ingawa umeiacha Su-57 ya Russia.

Jet ikitumia "stealth technology" inakuwa "stealth jet". Simu ikitumia "android operating system" inakuwa "android smartphone". Yani unachanganya iPhone X, Samsung S20, Tecno Pop 2, Nokia 5 kuwa zote "zinatumia android operating system" mtu anakwambia iPhone sio android, unajitetea eti hakuna sehemu nimesema iPhone ni android.View attachment 1499620
Unasema kauli niliyotumia kumaanisha B-2, F-22, F-35 na J-20 ndio ileile niliyoitumia kumaanisha B1B. Of course, kauli niliyotumia kumaanisha ni ileile ambayo ni stealth technology ama low observable technology na sio "stealth bomber".

Kuna kitu unachanganya na kinakupa shida. Nilisema kuwa teknolojia hii ya stealth ni pana sana. Pia ni endelevu. Modern stealth technology ina muda mrefu sana na imekuwepo takribani nusu karne sasa. Hizi B-2 Spirit, F-22 Raptor n.k. zilizopo hivi sasa ni matokeo tu ya teknolojia hiyo.

Hizi terms mbili; "stealth bomber" pamoja na "stealth fighter" ni kuendana na role ya chombo husika kama vile ilivyo "supersonic strategic heavy bomber". Wataalamu wana design chombo from scratch kiendane na majukumu hayo kupitia teknolojia hii ya stealth. Lakini hilo halimaanishi kuwa hizo ndizo ndege pekee zenye kutumia teknolojia hii ya stealth.

Kuna vyombo vingine ambavyo huundwa na kupatiwa pia uwezo wa stealth kama nyenzo ama kipengele cha pili, kwa lugha nyingine secondary function. Vyombo hivi huwa na kiwango cha stealth kilichodhibitiwa kitaalamu ili kuweza kuendana ama kuwiana na majukumu yake mengine tofauti yaliyokusudiwa. Hili nilikwisha lieleza humu nilipokuwa nikijibu swali fulani.

Pia, viwango vya stealthy huwa vinatofautiana katika suala zima la kupunguza radar cross section. Kuna vyombo ambavyo ni 'more stealthy' kuliko vingine na vina radar cross section ndogo kuliko vingine. Yote hiyo ni application ya stealth technology katika viwango mbalimbali.
 
Kwanza ondoa akilini mawazo kwamba sijui ninachoongea, ningekuwa sijui ningeuliza nisingekuja kukosoa. Hapa nakukatalia kuiita B1B stealth sasa kwanini unalazimisha nisiite bomber, kwani ni nini hii.
Unapotaja silaha ni vema utaje configuration yake mfano Admiral Kuznetsov aircraft carrier. Hakuna kosa mtu akisema Northrop Grumman B-2 Spirit bomber ama akisema B-2. Hii quote yako haikustahili kuwepo.

Wewe unaona ni kosa kuiita Rockwell B1B- Lancer kuwa ni bomber?
Ninayoikatalia kuiita stealth ni bomber hivo nikitaja kuwa sio stealth bomber that means hii bomber sio stealth, sasa sijui unagoma nini. Naishia hapa, B1B sio STEALTH. Stealth heavy bomber inayotengenezwa sahivi na Northrop Grumman ni B-21 Raider, ndiyo inakuja kureplace hizo kina B-2 na B1s.
B-52 sijui Boeing waliiweka nini mpaka kesho hizo tunazo sana.
Sawa! Kama unafahamu unachokiongea iweje sasa ushindwe kutambua tofauti kati ya "stealth bomber" na "stealth technology"?

Fahamu jambo hilo kwanza.

Kila chombo huundwa kuendana na majukumu kitakachoenda kuyafanya. Pia hata mazingira fulani fulani huchangia kukiunda chombo ili kiendane na mazingira yaliyokuwepo kama ilivyo kwa B1B Lancer.

B1B Lancer ni bomber, hata wakati nikiitaja kule mwanzo nilisema ni bomber. Pia sijakuzuia kuiita hivyo. Lakini kuendana na majukumu yake, B1B Lancer sio "stealth bomber". Lakini hilo halizuii teknolojia hii ya stealth kutumika katika ndege hiyo.

Nilisema hapo awali kwamba, B1B Lancer ilitokana na kitu kinachoitwa 'redesign'. Kutokana na mahitaji ya kimazingira ikaongezewa vitu kadha wa kadha kimuundo ili kuendana na mahitaji yale. Katika vitu hivyo kadha wa kadha vilivyoongezwa humo ni pamoja na stealth technology kupitia nyenzo mbalimbali.

Tunapojadili STEALTH TECHNOLOGY ama LOW OBSERVABLE TECHNOLOGY kwa ujumla wake huwa tunaangalia nyenzo pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumika katika kukifanya chombo kuwa na 'low radar cross-section'. Hapa hatuangalii kuwa chombo kimeundwa kwa ajili ya majukumu gani..La Hasha!..Bali tunachoangalia hasa ni mbinu ama nyenzo mbalimbali zilizotumika katika kukiunda chombo hicho ili kiwe katika namna fulani.
 
Yani tusiangalie imetengenezwa kufanya jukumu gani fighter ama bomber n.k, ila tunaangalia technology ambayo imetumika kuunda hicho chombo husika bila kuhusisha jukumu itakalopaswa kulifanya? Ni hivyo?
 
Sawa kabisa.
 
Tunaweza mkuu hata rada
Radar tunaweza kina Ukraine, Iran, Turkey na wengine wasio giants kwenye tech wanatengeneza radar. Tatizo R & D utatumia gharama kubwa mno na muda mrefu. Na tukija pata, tutapata kama iliyotumika miaka 30 uko iliyopita. Pia tech yetu haibebani, yani hata kutengeneza processors, capacitors, emittters, batteries na vitu vingi mno hatujui. Nchi ambayo hamuwezi tengeneza brenda la juice hamuwezi tengeneza radar ndani ya miaka hata 20.
 
Back
Top Bottom