mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Mbona ela ndogo sana iyo.F-22 mpaka imekamilika imetumia Dola bilion 57 na Su-57 ya warusi imetumia dola bilioni 11.sasa iyo ela si ya kuunda kiti chake tu bado ndege yenyeweJapan ni miongoni mwa mataifa machache yenye mpango wa uundwaji wa ndege mahususi za stealth ambapo uzalishwaji wake utaanza mwaka 2031, miaka takribani 11 ijayo.
Wizara ya Ulinzi ya Japan imekwisha tenga dola za Kimarekani milioni 102 katika bajeti ya mwaka huu sawa na shilingi za Kitanzania takribani bilioni 237 kwa ajili ya utekelezwaji wa mpango huo sambamba na gharama zingine. Ndege hizo zitaanza kutumika rasmi panapo mwaka 2035 baada ya uzalishwaji wake.
View attachment 1503728
Kiasi hicho cha fedha ni katika bajeti ya mwaka huu pekee (2020) kwa ajili ya hatua ya mwanzo (basic design).Mbona ela ndogo sana iyo.F-22 mpaka imekamilika imetumia Dola bilion 57 na Su-57 ya warusi imetumia dola bilioni 11.sasa iyo ela si ya kuunda kiti chake tu bado ndege yenyewe
Kuna watu wapo serious kwakweli sisi huwa tunaishia kuwasoma tu.Kiasi hicho cha fedha ni katika bajeti ya mwaka huu pekee (2020) kwa ajili ya hatua ya mwanzo (basic design).
Baada ya hapo kuna hatua zitakazofuata kabla ya kuanza uzalishaji. Maana yake ni kwamba, kutakuwa na fungu jipya la fedha katika bajeti ijayo na baada ya hiyo.
Hahaha!Kuna watu wapo serious kwakweli sisi huwa tunaishia kuwasoma tu.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema, "everyone is good at something."Hivi wazee wa sumbawanga idea zao haziwezi kutoa kitu cha 'Stealth'?
Hakivile ni kama tunasindikiza tu wenzetu kwenye masuala ya technology.
Lockheed Martin hawa jamaa naona wana research za maana aisee. Maana huwa wanakuja na vitu vya maana.Mradi wa ndege ya stealth wa Japan unaofahamika kama F-X unakadiriwa kuwa utafikia dola za Kimarekani bilioni 40 mpaka kukamilika kwake huku ndege zipatazo mia (100) zikiwa katika mpango wa uzalishwaji.
Kampuni ya Mitsubishi (Mitsubishi Heavy Industries) ya nchini Japan ndio kampuni yenye kuunda ndege hiyo huku pia kukiwa na uwezekano wa 'kolabo' (collaboration) na kampuni zingine za kimataifa hususani kutoka Marekani (Lockheed Martin, Boeing, Northrop Grumman) pamoja na Uingereza (BAE Systems).
Hao si walikataliwa na Japan kutengeneza redesign ya F-22 + F-35. Japan ilichagua kutumia teknolojia ya nyumbani ili iwe na maaamuzi zaidi juu ya mradi huo na kuzungusha hela zake. Ndege hizo tutarajie ziwe na gharama kubwa mno.Lockheed Martin hawa jamaa naona wana research za maana aisee. Maana huwa wanakuja na vitu vya maana.
Yeah! Wako vizuri.Lockheed Martin hawa jamaa naona wana research za maana aisee. Maana huwa wanakuja na vitu vya maana.
Ndio. Hata Boeing na BAE Systems pia waliwasilisha designs, Japan ikazikataa miezi michache iliyopita.Hao si walikataliwa na Japan kutengeneza redesign ya F-22 + F-35. Japan ilichagua kutumia teknolojia ya nyumbani ili iwe na maaamuzi zaidi juu ya mradi huo na kuzungusha hela zake. Ndege hizo tutarajie ziwe na gharama kubwa mno.
Sasa BAE hawajatengeneza za Ulaya wakishirikiana na MBDA watawezaje kutengeneza za Japan. Yote yaleyale bora Japan amchukue Mitsubishi.Ndio. Hata Boeing na BAE Systems pia waliwasilisha designs, Japan ikazikataa miezi michache iliyopita.
Mazungumzo bado yanafanyika maana kuna masuala mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi likiwemo suala la suppliers wa components mbalimbali pamoja na hilo suala la collaboration ambalo bado liko mezani.
Karibu.Nilidhan unaongelea stealth ya chombo kuwa transparent kabisa.
Anyway the thread is awesome i liked it.
Uwezekano upo. Hao BAE Systems ni wazuri katika sekta ya defence pamoja na aerospace na wameshafanya collaborations na kampuni zingine mbalimbali katika masuala hayo. Isitoshe, nao wapo katika project yao mpya ya sixth-generation fighter maarufu kama 'Tempest'.Sasa BAE hawajatengeneza za Ulaya wakishirikiana na MBDA watawezaje kutengeneza za Japan. Yote yaleyale bora Japan amchukue Mitsubishi.
Lockheed Martin watoe components tu basi. Kina P&W au General Dynamics watoe engine.
Kumuachia mradi BAE Systems hakuna faida yoyote ya haraka au uzoefu. Hawajawahi kutengeneza stealth, the same na Mitsubishi. Wanatengeneza components za ndege, Mitsubishi wanatengeneza ndege tangu WW2 zile kina Zero zilizosumbua mwanzoni mwa Pacific theater.Uwezekano upo. Hao BAE Systems ni wazuri katika sekta ya defence pamoja na aerospace na wameshafanya collaborations na kampuni zingine mbalimbali katika masuala hayo. Isitoshe, nao wapo katika project yao mpya ya sixth-generation fighter maarufu kama 'Tempest'.
Japan ina mpango wa kupunguza costs za mradi pamoja na muda hivyo kuna possibility ya mkataba wa partnership ama ushirikiano na kampuni moja ya kigeni au zaidi kabla ya mwaka huu kuisha. Tusubiri, tuone kile kitakachojiri.
Pretty & Whitney nimekupata vyema mkuu nawakubali sana hawa jamaaSasa BAE hawajatengeneza za Ulaya wakishirikiana na MBDA watawezaje kutengeneza za Japan. Yote yaleyale bora Japan amchukue Mitsubishi.
Lockheed Martin watoe components tu basi. Kina P&W au General Dynamics watoe engine.
Mradi unasimamiwa na kampuni za ndani lakini kunakuwa na partnership na foreign contractor mmoja au zaidi. Pia, partnership hiyo si katika masuala ya stealth designing pekee, bali kuna zaidi ya hapo. Kuna masuala mengine kama vile mission systems, electronic support (ES) pamoja na electronic systems kwa ujumla wake. BAE Systems ni wazuri katika hayo hata kampuni zingine kama vile Northrop Grumman huwa inawatumia katika masuala mbalimbali.Kumuachia mradi BAE Systems hakuna faida yoyote ya haraka au uzoefu. Hawajawahi kutengeneza stealth, the same na Mitsubishi. Wanatengeneza components za ndege, Mitsubishi wanatengeneza ndege tangu WW2 zile kina Zero zilizosumbua mwanzoni mwa Pacific theater.
Ukimpa mradi Lockheed Martin tunajua unataka kuwahisha na ufanisi pamoja na gharama pungufu, ukimpa BAE ni kwenda kupambana. Kwa kuwa ni masuala ya kuwa huru kwenye silaha acha waongoze wao mradi. Ndio maana wanataka watengeneze na shore based missile defense wakati THAAD na Aegis wanapewa na US.
Wanataka kujitegemea kwenye ulinzi.
Pratt & Whitney.Pretty & Whitney nimekupata vyema mkuu nawakubali sana hawa jamaa