Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Swali lako lina machaguo mawili: 1. Timu kubwa 2. Vibonde ...... Ila halina chaguo linaloitwa ''timu ya kawaida'. Wewe unasimamia jibu lipi?Mimi nasema mapema..ni timu ya kawaida sioni ikiipa Simba ugumu.
Wapo chini huko na tena msimu ule wanacheza na uto walishuka daraja kabisaIle timu ya kubwa ya Uto ya Marumo siioni hapo
Mvua huwa ni ishara maalum kutoka kwa waasisi wa Simba waliotangulia mbele za haki kuwa mazuri yanakujaKwa hii mvua hapa mjini magharibi, hiyo ni timu ya kawaida sana, ni sawa tu na Stand United
Jamaa wana hatari sanaMvua huwa ni ishara maalum kutoka kwa waasisi wa Simba waliotangulia mbele za haki kuwa mazuri yanakuja
Timu kubwa, timu ndogo ziliishia makundiNauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale.
Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au Vibonde?
Muda utatupa jibu...Mimi nasema mapema..ni timu ya kawaida sioni ikiipa Simba ugumu..ila kwa ilipofikia sio ya kubeza.
Shida Kuna watu tukishinda watasema tumepiga bomu Mortuary wakati saa hizi wanaisifia.
Hapo sasa kila mmoja atakuja na tafsiri yake, lakini kwa mujibu wa historia ya timu zote mbili, Simba anaonekana ni mkubwa kuliko StellenboschKwahiyo Simba ameifunga timu kubwa
Sawa. Timu kubwa imeshinda 1-0, kule South naamini mechi haitakuwa rahisi kwa StellenboschTimu kubwa.