Utekelezaji huo ni mgumu sana. Fikiria abiria anaishi Tegeta au Mapinga anakwenda Arusha au Moshi, je, aende stendi ya mbezi Magufuli kuanzia safari? Au akitoka safari ashukie Mbezi Magufuli stendi?Kufika send iwe lazima na usipofika gari ipigwe faini, hatuwezi kufika mbali bila utaratibu
Upo sahihi. Huwezi kuwekeza kiasi kile kujenga stand halafu watu wanaikacha kwa ridhaa zao tu. Serikali lazima iwe na msimamo ili ikusanye mapato kupitia hii stand.Kufika send iwe lazima na usipofika gari ipigwe faini, hatuwezi kufika mbali bila utaratibu
Wewe utakuwa constable tu.Kufika send iwe lazima na usipofika gari ipigwe faini, hatuwezi kufika mbali bila utaratibu
Abiria apandie kituo chochote atakacho ila gari ipitie stand mda wa kuondoka hiyo iwe amri, gari youote ya abiria ipite stand kisha ndo iage jiji na si vinginevyoUtekelezaji huo ni mgumu sana. Fikiria abiria anaishi Tegeta au Mapinga anakwenda Arusha au Moshi, je, aende stendi ya mbezi Magufuli kuanzia safari? Au akitoka safari ashukie Mbezi Magufuli stendi?
Mtoa mada Fbn ameonyesha vizuri na kwa weledi jinsi logistics za miundombinu za kuunganisha Magufuli stendi na sehemu nyingine zilipaswa kuwa.
Tunaongozwa na vilaza tu. Ile stand inaweza ku accommodate huduma zote. Unless hujafika na kukagua maeneo mengi yapo emptyKusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.
Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.
Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.
Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.
Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.
Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.
Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.View attachment 3521674
Shida ya pale sio mabasi wingi wawatu kwa wafanya biashara ndotatizo nafikiriAbiria apandie kituo chochote atakacho ila gari ipitie stand mda wa kuondoka hiyo iwe amri, gari youote ya abiria ipite stand kisha ndo iage jiji na si vinginevyo
Stendi ya mabasi imekuwa sokoShida ya pale sio mabasi wingi wawatu kwa wafanya biashara ndotatizo nafikiri
maendeleo ya vitu vs maendeleo ya Watu.Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.
Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.
Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika.
Kwa stendi ya magufuli mabasi mengi kutofika hapo ni kwa sababu ya miundo mbinu ya wafikiaji abiria wanaosafiri.
Kunge kuwa na treni inayoweza kumtoa mtu mfano mbagara mpaka stend ya magufuri sizani kama mabasi yangefika huko.
Miundo mbinu ya ufikiaji hiyo stend inachosha yani una mizigo na unapoelekea mwendokasi hawa ruhusu mizigo,uchache wa mabasi mwendo kasi.
Kwa mtindo huu basi nyingi zita tafuta sehemu ya urahisi wateja wao wazidi kufika kwa urahisi.View attachment 3521674
Hiyo Hiyo Stand Watu wanatekwa mchana kweupe na wanapotea.Endesha stendi kama airports, huduma zote za ulinzi na ulasama wa ndani na kimataifa, uhamiaji.
Lodges ziwepo
😂😂Wewe utakuwa constable tu.
Wenye mabasi watakuambia wanakosa wateja mpaka wawepo wapigadebe ambao mostly ni vibakaLogistics companies ziwepo za ndani na za kimataifa .
Data center for online tickets system and route and GPS ,ifanye kazi muda wote in servers and clouds .
Tengeneza mazingira mazuKufika send iwe lazima na usipofika gari ipigwe faini, hatuwezi kufika mbali bila utaratibu
Inabidi wapewe Elimu na jinsi ya kutumia mifumo ya kisasa kufanya Biashara zaoWenye mabasi watakuambia wanakosa wateja mpaka wawepo wapigadebe ambao mostly ni vibaka
Unadhani kama kila mtu akielimika kuhusu tiketi mtandao kazi yao itakuwa ni nini hapo standInabidi wapewe Elimu na jinsi ya kutumia mifumo ya kisasa kufanya Biashara zao
Serikali inabidi ibadilike iache kuendekeza watu wa hovyoUnadhani kama kila mtu akielimika kuhusu tiketi mtandao kazi yao itakuwa ni nini hapo stand