Stendi kuu ya mabasi Dodoma kwenda Ihumwa

Stendi kuu ya mabasi Dodoma kwenda Ihumwa

Jackson94

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
492
Reaction score
560
Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya)

Ni shilingi ngapi?

Na pia nahitaji kujua Umbali wake.

Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
 
Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya)
Ni shilingi ngapi?
Na pia nahitaji kujua Umbali wake.
Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.

Kwanini usitembee tu huku ukiomba hela njiani....nyie wana Yanga SC (wagogo) si mmezoea hii hali?
 
Back
Top Bottom