Stendi kuu ya mabasi Dodoma kwenda Ihumwa

Mkuu huu utani hapa si mahala pake
mbona unapotosha? ni nani amekwambia Stand ya Mabasi inahamia Ihumwa?
Standa ya Mabasi ipo Nzuguni ilipohamia kutoka Mjini Dodoma ni kilomita km 7 na nauli ni sh 400/= tu
haiona tofauti na Stand ya Ubungo au Mbezi huko Dar au Msamvu Morogoro umbali kutoka mjini Moro

Ihumwa ni mahali patakapokuwa stand ya mwendokasi Standard gauge kazi zimeanza katafute pale
 
Nashukuru sana mkuu.
Kwa sasa nipo Morogoro mjini hapa nata niende Ihumwa nikatafute kazi huko nasikia kuna fursa nyingi huko za ajira.
Hakuna haja yakufika nanenane stand, waambie wakushushie Ihumwa jeshini, Project ipo opposite na jeshi
 
Niombe radhi siwezi kuwa kabila la hovyo hilo

huna akili kabila la ovyo ni lako sio wasukuma wala hutaweza kuwa msukuma wewe kwa msukuma huna dhamani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mbona unapotosha? ni nani amekwambia Stand ya Mabasi inahamia Ihumwa?
Standa ya Mabasi ipo Nzuguni ilipohamia kutoka Mjini Dodoma ni kilomita km 7 na nauli ni sh 400/= tu
haiona tofauti na Stand ya Ubungo au Mbezi huko Dar au Msamvu Morogoro umbali kutoka mjini Moro

Ihumwa ni mahali patakapokuwa stand ya mwendokasi Standard gauge kazi zimeanza katafute pale
Sawa mkuu.
Asante sana.
 
huna akili kabila la ovyo ni lako sio wasukuma wala hutaweza kuwa msukuma wewe kwa msukuma huna dhamani

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unajikomba kwa jiwe ili akuteue siwezi kuwa kabila la wajinga
 
Back
Top Bottom