Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Acha uongoDaaah bila JPM miji mingi ingekuwa bado ya kizamani sana.
Arusha na Kilimanjaro hata wasipowajengea poa tuHongera sana watu wa Mwanza kitu ya ukweli sana imetulia hapo Nyegezi, wawajengee na Arusha ile stend yao nikama zizi la Nguruwe.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Hata mimi sijamuelewa kweliUmeandika pumba tupu,watu hawakuelewi unachoongea
Hajui wanaume walioinitiate project za kibabe,yeye anakuja kuongea na sauti za kikeHata mimi sijamuelewa kweli