Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
- #21
[emoji1][emoji1]Hajui wanaume walioinitiate project za kibabe,yeye anakuja kuongea na sauti za kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1]Hajui wanaume walioinitiate project za kibabe,yeye anakuja kuongea na sauti za kike
Kwa niniNa ile nyimbo ya diamond ipigwe humo 24/7
Akili za Bavicha zinaishia kwenye Chopa😄😄Hahahaha hapa ndio mwisho wa akili nyingi za Watanzania
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.
Ulimhola mami!!Akili za Bavicha zinaishia kwenye Chopa😄😄
Ni vigumu sana kumsahau jpm naamini tungekuwa nae tungekuwa mbali sana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2646930
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.
Shimboni shafo!Ulimhola mami!!
Wanakojoa kwenye masinki ya kunawia badala ya urinos.Wasukuma muitunze sasa stendi yenu sio baada ya miezi sita stendi inamejaa uchafu na mavi tupu.
Washafanya yao,hawachelewi kujisaidia kwenye viti[mention]ChoiceVariable [/mention] njoo uone mwanza washafanya yao
Hiyo ni wachaga hao, mi ni kinehe, mwadira ulemhola!! Kwaujumla mi ni sgang!Shimboni shafo!
Pamoja sanaHiyo ni wachaga hao, mi ni kinehe, mwadira ulemhola!! Kwaujumla mi ni sgang!
Wiki mbili tu zijazo vyoo havitakuwa vinatazamika, waswahili bado sanaStendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Kama vyoo vya uwanja wa taifa, yani ni hovyo kabisaWiki mbili tu zijazo vyoo havitakuwa vinatazamika, waswahili bado sana
Kweli kabisaImezidi airport nyingi ikiwemo ya Mwanza kwa uzuri
Hata Mimi nilikua na mponda siku hizi ndo namuelewa Kama alivyosema tutamkumbuka mwamba wa AfricaDodoma ni alama ya mwisho kabisa ya mazuri ya Hayati yatakayokumbukwa milele, tuache masihara Magufuli City ni mji wa mambele huku. Apumzike kwa amani Rais wetu kipenzi, aliipenda Tanzania kwa moyo wake wote.