Stendi ya Magufuli imefanya watu wa mikoani wengi kudhani Mbezi Luis ndio City Centre ya DSM na kuleta dharau

Majiji ya Tanzania hayana mvuto na ni machafu sana sababu mpangilio wake ni sifuri
 
Huku ndio kuongea sana bila kusema chochote!
 
Muhimu, mtu anataka kwenda Bronx kutoka Brooklyn anajikuta kaingia daraja tofauti katokea Jones Beach.

Halafu gari limeisha mafuta na usiku unaingia, hana hela, simu inaisha chaji, halafu hamjui mtu huko.
Kwani huko New york hakuna vidumu? Na mitandao yenu ya simu hakuna nipige tafu, songesha na niwezeshe?
 
Kwani huko New york hakuna vidumu? Na mitandao yenu ya simu hakuna nipige tafu, songesha na niwezeshe?
Vidumu tena new york,kule mafuta ni bei rahisi na unajisevia mwenyewe station,kukuta gari cc4500 kawaida,hiyo gari ukileta hukuni kilio
 
Mbezi ndio Dar Bwana

Cc kapeace
 
Sisi wa kuja tunasema
Pale Magufuli ndio jiji lenyewe sasa.

Umeiponda Mbezi kwa kuilinganisha na Kariakooo...
Kariakoo ni sehemu iliyo na miundombinu mibovu,kumebanana hovyo.
Heri ungesema Mikocheni ndio Dsm.
 
Watu wa Dar akili za shamba, inakuwaje Konde anakuja kutoboa Dullayo anakula chupa tu?
Hata huko shamba kuna watu wametoka mjini wanalima wanapiga hela na kuwageuza wanakijiji vibarua,kawaida tu,konde boy alishikwa mkono na mtoto wa tandale,kondeboy hela zake zinaluwa na watoto wa mjini
 
Sisi wa kuja tunasema
Pale Magufuli ndio jiji lenyewe sasa.

Umeiponda Mbezi kwa kuilinganisha na Kariakooo...
Kariakoo ni sehemu iliyo na miundombinu mibovu,kumebanana hovyo.
Heri ungesema Mikocheni ndio Dsm.
Unaona , eti kumebanana,kariakoo sio mji,mji upo posta,kariakoo ni kitongoji cha biashara sasa ulitaka maduka yakae mbalimbali,kariakoo imepimwa na mkoloni iko poa
 
Long town Sana mkuu enzi za born ciy bus services, Wangapi hapa wamepanda gari kisutu kwenda mkoa
 
Mji unanuka maji taka huo mkuu, acha kutisha wangu
 
Hata huko shamba kuna watu wametoka mjini wanalima wanapiga hela na kuwageuza wanakijiji vibarua,kawaida tu,konde boy alishikwa mkono na mtoto wa tandale,kondeboy hela zake zinaluwa na watoto wa mjini
Sawa ndo mshinde kwenye maduka ya simu na nguo bila kazi mmevaa viboxer mapaja yote wazi kutwa mkilamba lips...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…