Kenya na Uganda hapana..hakuna la kujifunza huko nao wanamakelele Zaidi ya tzTanzania kuna kelele sana hata mahali pa kazi kila kitu kipo disorganized.
Ukitaka kujua kuwa tunaishi kama watu wasio na utaratibu wowote toka tu nje ya nchi hata hapo kenya tu au uganda utaona aibu mwenyewe.
Hakuna tunalolifanya lipo katika utaratibu makelele yapo kila mahali halafu sasa tumejaa ujuaji mwingiii.
Anyways tupo nyuma sana kwenye swala la ustaarabu ila Mungu atatubadili with time.
Mara ya mwisho nilikuwa hapo Leo...mgeni wangu tulishindwa elewana nikamwambue atoke nje ya stand ndo tukaelewana..wewe ulienda lini hapoSimu gani hio mbona sisi tunapigiana na kuelewana vizuri kabisa... Una point nzuri sema exaggeration imekua kubwa
Noise Pollution and poverty move in tandemUmaskini na kelele vinakaa mahali pamoja.
Karibu kila siku naingia MBT bossMara ya mwisho nilikuwa hapo Leo...mgeni wangu tulishindwa elewana nikamwambue atoke nje ya stand ndo tukaelewana..wewe ulienda lini hapo
Utakuwa umekuwa saturated na hayo makelele...yaani ubongo wako na akili zako uneyazoea kiasi kwamba unaona ni normal..kama ilivyo madaktari na manesi hospitali jinsi ambacho hawasikiagi Ile harufu ya chlorine na madawa.Karibu kila siku naingia MBT boss
Unatumia simu GaniMara ya mwisho nilikuwa hapo Leo...mgeni wangu tulishindwa elewana nikamwambue atoke nje ya stand ndo tukaelewana..wewe ulienda lini hapo