Stendi ya Magufuli Kuna kelele sana

Stendi ya Magufuli Kuna kelele sana

Ndugu yangu acha wapige makelele. Hujawahi kukutana na hali ya biashara ambayo wateja wanakuangalia kama unauza matope vile. Yani unajikuta tu unafoka😅 unapayuka payuka kuzidi wenzio ukiamini watakuskia. Sasa imagine mko kumi kila mtu na mpayuko wake
 
Simu gani hio mbona sisi tunapigiana na kuelewana vizuri kabisa... Una point nzuri sema exaggeration imekua kubwa
Wewe ni baadhi ya Watanzania ambao neno ustaarabu ni msimiati mgeni
 
Ungechunguza vizuri, sio spika ni Wasukuma wanaongea,[emoji125][emoji125][emoji125]
Lekaga ūbūlomolomo!
IMG-20230205-WA0088.jpg
 
Mara ya mwisho nilikuwa hapo Leo...mgeni wangu tulishindwa elewana nikamwambue atoke nje ya stand ndo tukaelewana..wewe ulienda lini hapo
Ulimwambiaje atoke ili muelewane ,kwani huko kumwambia TOKA alikuelewa vipi ?=hebu eleza vingine hii Ina criscross
 
Sijui ni ubunifu au ni kitu Gani. Stand ya Mabasi ya Magufuli ni stand ukiwemo huwezi mpigia mtu simu akakuelewa..yaani ni makelele ya spika na matangazo mwanzo mwisho, Kariakoo Kuna uafadhali. Najiuliza kwani uongozi wa hii stand hawalioni hili?

Kama ni wao ndiyo Wana regulate haya matangazo ni kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka kukawa na utulivu ..ikitokea una mgeni pale inakulazimu umwambie atoke nje ya stand ndo aweze kukupigia simu Ili muelewane.

Nashauri viongozi wapeee tripu ya mafunzo pale airport, Ili waone kwa vitendo wenzako wanafanya vipii matangazo bila kuadhiri utivu wa abiria..
Acha kulalamika ndugu, we kama una biashara yako peleka tangazo lako pale wakutangazie tu upate wateja, unafikiri wao watakula wap
 
Acha kulalamika ndugu, we kama una biashara yako peleka tangazo lako pale wakutangazie tu upate wateja, unafikiri wao watakula wap
Sina shida na matangazo ishu ni utaratibu wa matangazo..watangaze kwa ustaarabu wakijua kwamba Kuna wengine pale shughuli zao zapaswa kwenda...mfano Kuna wagonjwa, Kuna wageni n.k sasa hizo vurumai siyo afya..wakajifunze airport ambapo Huwa wanafanya pia matangazo
 
Sijui ni ubunifu au ni kitu Gani. Stand ya Mabasi ya Magufuli ni stand ukiwemo huwezi mpigia mtu simu akakuelewa..yaani ni makelele ya spika na matangazo mwanzo mwisho, Kariakoo Kuna uafadhali. Najiuliza kwani uongozi wa hii stand hawalioni hili?

Kama ni wao ndiyo Wana regulate haya matangazo ni kwanini wasiweke utaratibu unaoeleweka kukawa na utulivu ..ikitokea una mgeni pale inakulazimu umwambie atoke nje ya stand ndo aweze kukupigia simu Ili muelewane.

Nashauri viongozi wapeee tripu ya mafunzo pale airport, Ili waone kwa vitendo wenzako wanafanya vipii matangazo bila kuadhiri utivu wa abiria..
kalume ya 2
 
Utakuwa umekuwa saturated na hayo makelele...yaani ubongo wako na akili zako uneyazoea kiasi kwamba unaona ni normal..kama ilivyo madaktari na manesi hospitali jinsi ambacho hawasikiagi Ile harufu ya chlorine na madawa.
Ukitaka kuruka Agana na nyonga kaka. Hakuna stand isio na kelele. Mambo Mengine muwe mnavumilia tu. Comparison zitawapeleka pabaya.
Kucompare Stand na Airport ni Dhambi Kubwa saana..
 
Sina shida na matangazo ishu ni utaratibu wa matangazo..watangaze kwa ustaarabu wakijua kwamba Kuna wengine pale shughuli zao zapaswa kwenda...mfano Kuna wagonjwa, Kuna wageni n.k sasa hizo vurumai siyo afya..wakajifunze airport ambapo Huwa wanafanya pia matangazo
Usifananishe airport na stand narudia Airport ni Airport. Hivi unaona Kuna fanani hata au..??
 
Back
Top Bottom