A
Anonymous
Guest
Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa.
Taa zipo ila haziwaki, tunateseka sana, tunalazimika kutumia mwanga wa simu, hatujajua shida nini.
Tatizo hili halijaanza leo ~ Kituo cha Mabasi Nanenane - Mbeya kutokuwa na Taa zinazowaka Usiku ni kero kubwa kwa Watumiaji
Pia soma ~ Muonekano wa taa mpya zinazofanya kazi Kituo cha NaneNane mkoani Mbeya