KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
photo_2026-07-15_12-11-54.jpg
photo_2026-07-15_12-12-01.jpg
photo_2026-07-15_12-12-15.jpg

Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa ambayo hayafieel mashimo.


Pia soma ~ Maboresho yafanyika katika Kituo cha Segerea (Dar es Salaam), mashimo yazibwa
 
Mamlaka zinaona bado hipo vizuri ndiyo maana wapo kimya t
 
View attachment 3629526View attachment 3629528View attachment 3629529
Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa ambayo hayafieel mashimo.
View attachment 3629530
View attachment 3629531
View attachment 3629532​
Ukimsikiliza yule waziri wa Malawi wa ujenzi, unaweza kasirikia mpaka babu zake
 
Tatizo mamlaka.za.serikal zikishatengeneza kitu zinaona zishamaliza hakuna marekebisho.madogo.madogo huyo stend kuanzia 2012 2013 ilikuwa Moja ya stend Bora hapa jijini usafi ulikuwa wa hadh ya juu

Serikal inajua kujenga TU marekebisho hakuna
 
Back
Top Bottom