Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa ambayo hayafieel mashimo.
Tatizo mamlaka.za.serikal zikishatengeneza kitu zinaona zishamaliza hakuna marekebisho.madogo.madogo huyo stend kuanzia 2012 2013 ilikuwa Moja ya stend Bora hapa jijini usafi ulikuwa wa hadh ya juu