Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

mungu aibariki kazi ya mikono yako,nmependa darasa lako na nmevutiwa sana pia
 
Naiweke pending kwanza. Nitaleta marejesho siku za mbele. Natanguliza shukran kwako mleta uzi
 
Kwa wale waliokuwa intrested, nimesha achia Kitabu cha PDF cha bure kabisa, kwenye blog ambayo ita cover mambo yafuatayo:

CHAPTER 1 : Kupata kadi na account za kufanya manunuzi mtandaoni
-kadi ninazotumia kufanya malipo na kuagiza bidhaa kwenye mtandao
-nyongeza (verified account ya paypal ndani ya nusu saa)
CHAPTER 2: Kutafuta bidhaa (pamoja na tovuti ambayo tutakua tunaitumia sana)
Chapter 3 : Kutengeneza brand
-Jinsi ya kutafuta jina (jina litaloaminika na wateja)
-Jinsi ya kutengeneza Logo
Chapter 4: Vya kuzingatia kabla ya kuagiza bidhaa yoyote kutoka mtandaoni
Chapter 5: Jinsi ya kutafuta muuzaji anaeaminika
Chapter 6: Shipping option zote na maelezo yake
Chapter 7: Jinsi ya kutrack mizigo yako vizuri

nadhani itajibu maswali mengi sana.

Unaweza uka download kitabu cha PDF bure kabisa Hapa

 
Safi sana mtoa post,, Mungu akubariki.




Sio kama mijitu ingne unayotaka kuibia watu hela Cjui Na crowd rising utumbo utumbo tu
 
Mungu akubariki
 
Naomba kujua namna ya kununua bidhaa kutumia Aliexpress na malipo kwa alipay
 
Mkuu nataka jua hiyo mizigo unayoagiza hutumia muda gani kukufikia na huwa unatumia usafiri wa majini au ndege ?
 
Ubarikiwe ndugu ungetoa iyo course angalau kwa Siku 3 basi tuje tujifunze
 
Mkuu utaratibu wa malipo unafanyaje ili kufanya payment?

Na kama nimeagiza kamzigo kadogo labda wa laki 2 huwa unasafirisha kwa meli au ndege?

kutoka kwa supplier hadi ufike kwenye company unasafirishia he huwa unatumia agent?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…