Ngoja nikujibu nitoe na update hapa pia
Email ni kwa ajili ya updates, maelezo kama haya siyo kila mtu atataka so ngoja nikuoneshe maelezo ambayo nitakua natuma kwa watu walioweka email.
Update:
kwenye hii post Nimeziandika step zote as promised "soma title na angalia kama thread haija deliver" nikasema kuwa ataependa kujifunza zaidi aingie kwenye blog, siyo kila mtu, kama imetosha hapo unaweza ukaishia hapo. these are facts.
watu walioingia kwenye blog wamekuta sehemu ya kuacha maoni yao ya nini wanataka kujifunza zaidi ili kuweza kufanya biashara kama hivi, wametoa maoni ya jinsi gani wanataka nitoe mafunzo, wengi wamesema kwa PDF na video. Mimi na collect information, sijui kila kitu. nilikua nawaza nitengeneza course kwenye CD wakati it was the least wanted way kwa watu wanavyotaka kupata information. (below are the results)
And ofcourse i was going kuwekea price tag course nzima, im using up my time and also ku filter watu kama nnaemjibu hapa, ambao wamekuja kuvunja watu moyo tu. Niliuliza pia kwenye blog kama wanaweza kulipia watalipa bei gani na majibu nimepokea range kutoka 5,000 hadi 100,000. Nilichojifunza ni wengi sana wanataka wajue jinsi gani wanaweza kuanza lakini hawana mtaji hata kidogo, so hiyo pia imenibadilisha mawazo.
PDF nliyokua naandika yenye page zaidi ya 30 na (ndiyo maana sijajibu watu wengi sana) majibu yote yatakuepo kwenye PDF hii, nilitaka nii package niuze lakini baada ya results nikaona nitoe bure ili watu waanze, wakishaanza kupata faida ndo waje wapate advanced course, sifichi kitu, so by tarehe 13-14 ntatoa PDF bure yenye maelezo yote ya jinsi gani kuanza na biashara hizi, yenye majibu ya 99% ya maswali yaliyouliza hapa. download link itakuepo kwenye blog, na ntawatumia kwanza KWENYE EMAIL.
Baada ya hapo kutakua na private course kwa VIDEO na PDF's, na maelezo ziada kwa watao taka kulipa (very optional) hii itakua ni advanced zaidi kwa kuwa nitacho kua nafundisha kama mtu hana mtaji hata kidogo hatoweza, inahitaji investment kidogo kama website, advertising costs na kadhalika ili kuuza kwa haraka zaidi na kuvuka mipaka kuuza hadi nje ya nchi. watu wachache tu ntawapa mda wangu kwa kipindi cha mwezi mzima watanipata mda wowote kwa email, simu na facebook tukiwa tunapitia wote hii course na kujibu kila kitu, kama this extra knowledge is worth it wataotaka watalipia. tutatengeneza group pia la facebook (au whatsapp) na kujenga business partnerships tukiwa tunafundishana kuepuka vikwazo na jinsi ya kutatua matatizo na kufanikiwa pamoja hii itakua ni exclusive group kwa baadhi ya watu, wengi wao nishawaona kutokana na majibu waliyoweka kwenye survey iliyokuepo kwenye blog.
So far sijamlipisha mtu kitu chochote.
Also just as an addition nitaandika thread nyingine very soon yenye maelezo marefu na kuonyesha product nyingine ninayoifanyia kazi zaidi ya mwaka inaingiza faida, this will be the last time na reveal any business ambayo nafanya kwa maana hujui ni nani anaesoma, i just hope ita inspire watu wachache waanze kujisukuma na kufanya biashara sasahivi.
Also hakuna whatsapp group in the mean time kwa wanaonicheki na kuuliza.
Ahsante
Im an open book.