Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

For the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?

Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?

Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?

Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.

-Kaveli-
Hamna cha free iyo ndo garama
 
Haha janja janja hiyo..atapigaje pesa unafikiri..
 
Hamna cha free iyo ndo garama

'Hadithi njoo utamu kolea'.. kisha jamaa akaingia mitini. Ili hadithi iendelee na utamu kukolea, basi bebeni mikeka na vigoda vyenu njoeni huku kwangu niwamalizie hadithi. Na ukifika ujaze kwanza s.l.p yako kwenye daftari la mahudhurio ndo hadithi itaendelea. Huwezi, acha!

Bongo nyosso. Bongo mufillisi.

-Kaveli-
 
mkuu Embu weka Utaratibu Mzuri kidogo kwa kuwaambia wandugu kampuni ambayo unaitumia kuagizia Mzigo nadhani hapo utakuwa umewasaidia wengi sana.

Pia nikupongeze sana kwa kuwa amsha watu kutoka usingizini na kuona mtaji wa laki 1 kumbe unaweza kufanya kitu.
Habari nzuri kama hii husomwa na wachache,huchangiwa na wachache Zaidi hutekelezwa na tone la hao wachache.Ahsante mkuu,hii ni sadaka umetoa na MUNGU akulipe Zaidi ya ulivyotoa sawa sawa na ahadi zake.Umepanda mbegu moja na izae mia.
 
Haha janja janja hiyo..atapigaje pesa unafikiri..

Hahahaa Mkuu, hii ndo 'bongo darsilama' ... mji ambao mwenye elimu ya masters degree 'anapigwa' na mtu aliefeli form twu. Mji ambao penye 'NO'... wajanja wanaweka 'YES'.

Mji ambao kila Bus linalotema Ubungo, robo tatu ya 'wakuja' hawarudi bush. This is why 'wajinga wajinga' huwa hawaishi kwenye hili jiji la lawama.

Am sure kwa siredi hii pekee, mleta mada kapiga pesa nzuri tu kwenye hiyo blog yake.

The primary center of attention ya mleta mada ni: To make money online. He's in his fast lane to chase for online money. Mtaji ni Akili na Internet package tu. lol. And surely the guy sounds being well 'strategic' towards such 'online money'... if yu know wat am seyin'.

Mie nilipoona tu mambo ya 'refer to my blog for habari kamili'... nikasema yale yaleee. Fasta nikaquit the thread nikaenda zangu jukwaa la siasa 'kuburudika' na kabobo za faru John.

-Kaveli-
 
For the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?

Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?

Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?

Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.

-Kaveli-
Unataka kila kitu upate bure tu??
 
Exactly why... hii ndo sababu...
Kuna watu wataniita msanii kwa ajili nataka fundisha watu, kuna watu watasema mzushi tu, kuna watu wataponda.. Ila wale wanaotaka kupata wameshaweka email zao na wanasubiri, na ni kiasa kuliko hata nilivyotarajia, hao ndo nnaowataka people who are willing to go the extra mile.

Nakumbuka hii post ya kupata kazi bila cheti nliyoandika, nmeelezea vizuri half the points, feedback nzuri nyingi, ila the negative people walipokuja kuvunja watu moyo,dah.. nkafungua website right after, ntakua naweka humu alot of stuff ila ataetaka kujua kila kitu ntakua naweka kwenye blog.

Email ni kwa ajili ya notifications. Subscriptions. ahsante
 
Unataka kila kitu upate bure tu??

Kama kuna gharama, kwanini asiweke wazi? ama wasomaji kujaza email address zao kwenye blog yake ndiyo gharama yenyewe?

Unajua maana halisi ya neno 'bure'? Nimetumia bundle kusoma hili 'tangazo' la biashara yake. Ofkoz hizo SAA za ukutani ni nzuri, and hopefully kapata wateja wengi tu hapa.

Ila nadhani nayeye asipende vya bure... alitakiwa kulipia hili tangazo lake la bizna.

-Kaveli-
 
Hahahaa Mkuu, hii ndo 'bongo darsilama' ... mji ambao mwenye elimu ya masters degree 'anapigwa' na mtu aliefeli form twu. Mji ambao penye 'NO'... wajanja wanaweka 'YES'.

Mji ambao kila Bus linalotema Ubungo, robo tatu ya 'wakuja' hawarudi bush. This is why 'wajinga wajinga' huwa hawaishi kwenye hili jiji la lawama.

Am sure kwa siredi hii pekee, mleta mada kapiga pesa nzuri tu kwenye hiyo blog yake.

The primary center of attention ya mleta mada ni: To make money online. He's in his fast lane to chase for online money. Mtaji ni Akili na Internet package tu. lol. And surely the guy sounds being well 'strategic' towards such 'online money'... if yu know wat am seyin'.

Mie nilipoona tu mambo ya 'refer to my blog for habari kamili'... nikasema yale yaleee. Fasta nikaquit the thread nikaenda zangu jukwaa la siasa 'kuburudika' na kabobo za faru John.

-Kaveli-

haha una hasira na maisha rafiki angu.. ngoja nile kwanza ntarudi.. ila unajua sana unayoongea..
 
Relax Mkuu... I don't take Life too serious coz it ain't permanent.

Chill and keep ballin'. Stay focused... it's all about makin' more papers. hahaha.

Endeleza harakati kiongozi. Mie nilichomekea tu mkuu.

-Kaveli-
 
Tunashukuru kwa idea Nzuri na ongera sana mkuu nimepata kitu kwenye Uzi wacko.
 
Kwa mfano wakuu mimi huwa naagizia bidhaa kupitia eBay na Amazon hiyo option ya kuniletea kwa njia ya posta ipo? Amazon mara nyingi huwa hawa ship kuja Tanzania, ninachofanya kutumia maagents kama comgateway ambao gharama zao ni kubwa na huwa wanatumia FEDEX au DHL, Je kuna njia mbadala na yenye unafuu zaidi ya hii ninayoitumia???

Ebay kuna wauzaji wengi wanatuma zinakuja posta, maana ebay mtu unae fulfill order ni mwenye product, na ndie anae amua atume vipi so hata kama haitumwi kwenda tanzania, unaweza ukamtumia message tu muuzaji na kumuuliza kama anaweza pata shipping option ya Tanzania...
amazon lazima utumie agents, maana amazon wenyewe ndio wanao fulfill order, kutoka warehouse zao na hawatumi kwenda nchi ambazo warehouse zao hazipo.
 
Kama kuna gharama, kwanini asiweke wazi? ama wasomaji kujaza email address zao kwenye blog yake ndiyo gharama yenyewe?

Unajua maana halisi ya neno 'bure'? Nimetumia bundle kusoma hili 'tangazo' la biashara yake. Ofkoz hizo SAA za ukutani ni nzuri, and hopefully kapata wateja wengi tu hapa.

Ila nadhani nayeye asipende vya bure... alitakiwa kulipia hili tangazo lake la bizna.

-Kaveli-
Hili sio tangazo na hatuja pata mteja hata mmoja kutoka kwenye hii post.
 
Great,nlijaribu tu hapo nlipo pa experience.the other side of your business is good ingawa inahitaji large capital and an office plus a storage facility

Inategemea ni ngapi unaagiza, ni kubwa saa ila packaging yake ni ndogo, 50 pieces can easily fit in a corner. Also kama nilivyosema kwenye post, these methods ni kwa ambaye anataka kupunguza stress za hela, siyo kuwa tajiri wa mamilioni mia na kadhaa, so mtaji mdogo tu unawekeza kila mwezi, piece chache unazoweza kumaliza, as soon as zinaisha unaagiza zingine ili kuuza mwezi unaofuatia. Inaenda na timing pia. Hiyo ni kukujibu tu pia, sishauri mtu afanye kama biashara hii nnayofanya, elewa and apply it kwenye bidhaa nyingine.
 
Mkuu waweza list japo kwa uchache bidhaa kadhaa ambozo mtu anaweza kuagiza kwa njia hiyo unayotumia?
mmmmm
 
Back
Top Bottom