Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Mkuu nielekeze thread mojawapo ya huyo mpemba aseee

By the way, shukrani mtoa post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu.
japo nimechelewa kuona huu uzi ila nahitaji unipe ujasiri nifanye hii biashara..
kiukweli sina Uoga kwenye online business coz huwa naagiza magari worldwide na zinafika salama.
ila kwa bidhaa ndogondogo kama hizo sijawahi kutokana na maneno ya watu, tunatishana Sana huku kitaani kuhusu wanaijeria na waghana .

plan yangu kama nitapa muongozo mzuri toka kwako nataka niwe nanunua huko naweka ndani kwa pesa yangu then natangaza biashara. ni shauri kama nitakuwa wrong

pili ningehitaji unipe maneno mazuri ya kuwavutia wateja (advertisement)
maana wengine tulikimbiaga shule.

Tatu nimejaribu kupata kitabu chako naona nashindwa through website kama vipi nibeep humu mkuu 0628737603.

thanks in advance pal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Naona muda si mrefu tutakuwa tunakimbia mbio sawa na wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…