Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Mkuu Michael Mkwanzania natakajua bei ya hilo lijisaa la ukutani lenye miji herufi mikubwa.

Ndugu zanguni jaribu fursa hiyo maana wateja tumo hata humu, kunabwana huko unguja huwa anaposti hapa JF kuwa anauza mi TV akaweka na namba yake, nikampigia nikamwambia aina nitakayo akanambia bei, nikamtumia pesa nikamwambia mtu wa logistic huko unguja akampatia mzigo, ukatiwa kwa ndege nikaupata arusha, ilichukua masaa matatu tu toka kulipa hadi kupokea mzigo, ktoka unguja to arusha.
Mkuu nielekeze thread mojawapo ya huyo mpemba aseee

By the way, shukrani mtoa post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu.
japo nimechelewa kuona huu uzi ila nahitaji unipe ujasiri nifanye hii biashara..
kiukweli sina Uoga kwenye online business coz huwa naagiza magari worldwide na zinafika salama.
ila kwa bidhaa ndogondogo kama hizo sijawahi kutokana na maneno ya watu, tunatishana Sana huku kitaani kuhusu wanaijeria na waghana .

plan yangu kama nitapa muongozo mzuri toka kwako nataka niwe nanunua huko naweka ndani kwa pesa yangu then natangaza biashara. ni shauri kama nitakuwa wrong

pili ningehitaji unipe maneno mazuri ya kuwavutia wateja (advertisement)
maana wengine tulikimbiaga shule.

Tatu nimejaribu kupata kitabu chako naona nashindwa through website kama vipi nibeep humu mkuu 0628737603.

thanks in advance pal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom