Ahnass2003
Member
- Apr 14, 2014
- 17
- 7
Huo mzigo unapoagiza, unaulipi makodi yaliyopo bandarini? Au gharama zote znakuwa kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
***
siamini kama leo nawe umesifia kwa neno "safi sana"
Kwanza hongera sana kuwa na moyo wa kushea nasi, unalofanya ni jambo jema ambalo hata katika vitabu vya dini unapata thawabu.
Nadhani wengi tunafahamu kuwa bidha uchina ni bei ndogo na wafanyabiashara wengi hupata super profit, tatizo la wengi ni ile namna ya kuagiza zikakufikia bila tatizo. Ungefunguka hapo utakuwa umetusaidia sana....cheers!
mkuu Embu weka Utaratibu Mzuri kidogo kwa kuwaambia wandugu kampuni ambayo unaitumia kuagizia Mzigo nadhani hapo utakuwa umewasaidia wengi sana.
Pia nikupongeze sana kwa kuwa amsha watu kutoka usingizini na kuona mtaji wa laki 1 kumbe unaweza kufanya kitu.
Umeelezea vizuri Sana ila jambo la muhimu kabisa umeliacha,
Hebu elezea baada ya kupata mteja malipo yanafanywaje ili pasitokee dhuluma kati ya mnunuzi na muuzaji??
kwa whatsapp tu 0774384632nisaidie no yako Tafadhali
mzigo unasafirishwa kwa ndege... maana naongelea mizigo ya piece 20-100 tu.. meli ni ma container. Kodi vinalipiwa, ni muhimu kwa sikuhizi, cha maana ni kupata bei nzuri ya kununulia ili uje ulipe kodi isyo kubwa sana. Ila kama unaanza na mizigo mdogo piece mbili, tano hadi kumi hivi kama ni vya gharama ndogo unaweza usilipie pia, will talk about this too soon.Tunaomba pia kujua taratibu za kodi zimekaaje? MZIGO unasafirishwa kwa ndege au meli?