Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan.

.... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi na timu yake ya taifa ya Burkinafaso 🇧🇫 katika jiji la Casablanca Nchini Morocco 🇲🇦

September 23/2022 timu hiyo itacheza dhidi ya Dr Congo 🇨🇩 na September 27/2022 watacheza dhidi ya Comoros 🇰🇲

Mchezaji wa zamani wa Astonvilla 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Bertrand Traore amerejea kwenye timu ya taifa baada ya kutojumuishwa kikosini katika michezo minne (4) iliyopita.

Wachezaji wanne pekee kati ya Wachezaji (25) walioitwa kwenye timu ya taifa ya Burkinafaso ndio wanacheza soka Africa wengine wote wanacheza soka Ulaya !

MAGOLIKIPA.
01. Koffi Herve - Charleroi 🇧🇪
02. Nikiema Kylian - Ado den 🇳🇱
03. Konate Hillet - Valenciennes 🇫🇷

MABEKI
04. Tapsoba Edmond - Leverkusen 🇩🇪
05. Dayo Issoufou - RS Berkane 🇲🇦
06. Yago Steeve - Aris Limassor 🇨🇾
07. Kabore Issa - Marseille 🇫🇷
08. Guiebre Abdoul - FC Reggiana 🇮🇹
09. Ouedraogo Dylan - Oh Louvain 🇧🇪
10. Fofana - Adama - Dijon 🇫🇷
11. Nagalo Adamo - Nordsjaelland 🇩🇰

VIUNGO
12. Aziz Ki - Young Africans 🇹🇿
13. Bangre Mamady - Quevilly Rouen 🇫🇷
14. Toure Blati - Pyramids 🇪🇬
15. Sangare Gustavo - US Quevilly 🇫🇷
16. Ouedraogo Ismahilia - Volos NPS 🇬🇷
17. Salou Dramane - Noah Yerevan 🇦🇲
18. Bandaogo Abdoul - Trofense 🇵🇹

WASHAMBULIAJI
19. Badolo Cedric - FC Sheriff 🇲🇩
20. Bertrand Traore - Basaksehir 🇹🇷
21. Ouatarra Dango - FC Lorient 🇫🇷
22. Bayala Cyrille - AC Ajaccio 🇫🇷
23. Tapsoba Fessal - Standard Liege 🇧🇪
24. Ouatarra Abou - FC Sheriff 🇲🇩
25. Ouatarra Djibril - RS Berkane 🇲🇦

FB_IMG_1663830031191.jpg
 
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan.
Labda utakuwa umesahau kwamba hata kabla hajatua Yanga, alikuwa hachezi ligi ya kwao pia na alikuwa yupo timu ya taifa. Kwa hiyo hakuna jipya
 
Labda utakuwa umesahau kwamba hata kabla hajatua Yanga, alikuwa hachezi ligi ya kwao pia na alikuwa yupo timu ya taifa. Kwa hiyo hakuna jipya
Simba si walisema ameshuka toka she Yanga hapo ilitarajiwa asiitwe sasa cha ajabu yeye kaitwa huku Okrah ambaye alikuwa akiitwa toka she Simba hajaitwa timu ya Taifa hivi karibuni.
 
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan.

.... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi na timu yake ya taifa ya Burkinafaso [emoji1059] katika jiji la Casablanca Nchini Morocco [emoji1173]

September 23/2022 timu hiyo itacheza dhidi ya Dr Congo [emoji1078] na September 27/2022 watacheza dhidi ya Comoros [emoji1076]

Mchezaji wa zamani wa Astonvilla [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Bertrand Traore amerejea kwenye timu ya taifa baada ya kutojumuishwa kikosini katika michezo minne (4) iliyopita.

Wachezaji wanne pekee kati ya Wachezaji (25) walioitwa kwenye timu ya taifa ya Burkinafaso ndio wanacheza soka Africa wengine wote wanacheza soka Ulaya !

MAGOLIKIPA.
01. Koffi Herve - Charleroi [emoji1045]
02. Nikiema Kylian - Ado den [emoji1179]
03. Konate Hillet - Valenciennes [emoji632]

MABEKI
04. Tapsoba Edmond - Leverkusen [emoji629]
05. Dayo Issoufou - RS Berkane [emoji1173]
06. Yago Steeve - Aris Limassor [emoji1085]
07. Kabore Issa - Marseille [emoji632]
08. Guiebre Abdoul - FC Reggiana [emoji634]
09. Ouedraogo Dylan - Oh Louvain [emoji1045]
10. Fofana - Adama - Dijon [emoji632]
11. Nagalo Adamo - Nordsjaelland [emoji1087]

VIUNGO
12. Aziz Ki - Young Africans [emoji1241]
13. Bangre Mamady - Quevilly Rouen [emoji632]
14. Toure Blati - Pyramids [emoji1093]
15. Sangare Gustavo - US Quevilly [emoji632]
16. Ouedraogo Ismahilia - Volos NPS [emoji1112]
17. Salou Dramane - Noah Yerevan [emoji1034]
18. Bandaogo Abdoul - Trofense [emoji1201]

WASHAMBULIAJI
19. Badolo Cedric - FC Sheriff [emoji1168]
20. Bertrand Traore - Basaksehir [emoji1250]
21. Ouatarra Dango - FC Lorient [emoji632]
22. Bayala Cyrille - AC Ajaccio [emoji632]
23. Tapsoba Fessal - Standard Liege [emoji1045]
24. Ouatarra Abou - FC Sheriff [emoji1168]
25. Ouatarra Djibril - RS Berkane [emoji1173]

Hawa sio wenzetu squad yote inatoka nje na sio nje tu nje ya maana sio kama sisi
 
Simba si walisema ameshuka toka she Yanga hapo ilitarajiwa asiitwe sasa cha ajabu yeye kaitwa huku Okrah ambaye alikuwa akiitwa toka she Simba hajaitwa timu ya Taifa hivi karibuni.
Hivi unafikiri ni rahisi kuitwa timu ya taifa ya Ghana, Nigeria, Senegal na Cameroon hata DRC wakati waliopo Ulaya wengine wanaachwa? Kwa mantiki hiyo, Aziz Ki ni mkali kuliko Mayele? Kwa nini ulinganishe Aziz Ki wa Burkina Faso na Okrah wa Ghana, na sio Aziz Ki wa Burkina Faso na Mayele wa DRC?
 
Nimemuweka Okrah kwa sababu wakati anasajiliwa Simba walikuwa wanatembea na gia kuwa mchezaji wa WC na anaitwa Ghana sasa toka aje Simba hata viiitwe vikosi vitatu hautoweza kumkuta.
 
Nimemuweka Okrah kwa sababu wakati anasajiliwa Simba walikuwa wanatembea na gia kuwa mchezaji wa WC na anaitwa Ghana sasa toka aje Simba hata viiitwe vikosi vitatu hautoweza kumkuta.
Okra alikataa kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Ghana, badala yake akaenda Egypt kwenye kambi ya Simba, hata waandishi wa Ghana walikuwa wanamuandika kwa kumshangaa
 
Back
Top Bottom