Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Wakuu...
Napenda kuwakaribisha kuasikiliza wimbo wangu wa kwanza kabisa kuuachia uitwao 'you are the one' kupitia youtube channel yangu hapa
Maoni yanahitajika pia, wapi nimeboronga, nirekebishe wapi nk nk.
Ila cha ziada tu nakuombeni tuiangalie maradufu hadi iwe no 1 on trending๐๐๐๐๐๐
Imefanyika moo record na producer gopabeatz