Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
- Thread starter
- #2,001
Hujajibu swali hili.Hakuna kitu sijakujibu, na nipo hapa kukujibu, be sure hakuna hoja yako ngumu hata moja ya kukwepa, ndio maana nimesimamisha kazi zangu kwa ajili ya hoja zako nyepesi. Ukisema nimekwepa au sina hoja, haina maana ni kweli.
Kwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote kaamua kuumba ulimwengu ambao suffering inawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao suffering haiwezekani kuwepo popote pale?
Hujajibu swlai hili.