Hujajibu swali hili.Hakuna kitu sijakujibu, na nipo hapa kukujibu, be sure hakuna hoja yako ngumu hata moja ya kukwepa, ndio maana nimesimamisha kazi zangu kwa ajili ya hoja zako nyepesi. Ukisema nimekwepa au sina hoja, haina maana ni kweli.
Kwa hiyo unakubali au unakataa kwamba proof imeanza na assumption?
Unasema assumption si assumption hapa?
How is a fixed assumption a variable delaration?
Unaelewa kwamba fixed na variable ni vitu tofauti?
Unaelewa C/C++ ni logic iliyowekwa na watu tu, na unaweza kutengeneza computer language in which division by zero is allowed? Kitu ambacho katika hesabu hakiruhusiwi?
Unaelwa kwamba kufanya C/C++ kama standard ya logic ni kuonesha udhaifu wako wa kuelewa logic?
Unaelewa C++ ina disadvantages kibao tu?
en·tro·pyWhat is entropy?
Hujajibu swali hili.
Kwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote kaamua kuumba ulimwengu ambao suffering inawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao suffering haiwezekani kuwepo popote pale?
Hujajibu swlai hili.
en·tro·py
/ˈentrəpē/
Learn to pronounce
noun
- 1.
PHYSICS
a thermodynamic quantity representing the unavailability of a system's thermal energy for conversion into mechanical work, often interpreted as the degree of disorder or randomness in the system.- 2.
lack of order or predictability; gradual decline into disorder.
"a marketplace where entropy reigns supreme"Dictionary.com | Meanings & Definitions of English Words
The world's leading online dictionary: English definitions, synonyms, word origins, example sentences, word games, and more. A trusted authority for 25+ years!www.dictionary.com
noun
Thermodynamics.
(in data transmission and information theory) a measure of the loss of information in atransmitted signal or message.
- (on a macroscopic scale) a function of thermodynamic variables, as temperature, pressure,or composition, that is a measure of the energy that is not available for work during athermodynamic process. A closed system evolves toward a state of maximum entropy.
- (in statistical mechanics) a measure of the randomness of the microscopic constituents of athermodynamic system. Symbol: S
(in cosmology) a hypothetical tendency for the universe to attain a state of maximumhomogeneity in which all matter is at a uniform temperature (heat death).
a doctrine of inevitable social decline and degeneration.
Unakubali kwamba Mungu wako haweki logic?Fixed assumption ndio nini?
Unaelewa C/C++ ni logic iliyowekwa na watu tu? Kwani logic huwa zinawekwa na nini kama sio watu?
na unaweza kutengeneza computer language in which division by zero is allowed? Kitu ambacho katika hesabu hakiruhusiwi? Nani amekuambia division by 0 hairuhusiwi kwenye hesabu? hesabu zipi hizo?
Unaelwa kwamba kufanya C/C++ kama standard ya logic ni kuonesha udhaifu wako wa kuelewa logic?
Ni wapi nimesema C++/C ni standard ya logic na sio kuwa nimekupa mfano? Unajua maana ya mfano? Ni particular case.
Unaelewa C++ ina disadvantages kibao tu? Zitaje. Secondly, kuna disadvantages gani kwenye mfano niliuotoa?
Hilo si jibu la swali langu, ni kukubali kwamba hujui jibu la swali langu.Kwa sababu ana uwezo wote na maamuzi yote, ameumba ulimwengu ambao suffering inawezekana. Angeweza kuumba kivingine kama ulivyoeleza. Kama unadhani hana au hakuwa na uwezo wa kuumba dunia unayoitaka wewe, prove.
Unataka kunipa mke?
Unakubali kwamba Mungu wako haweki logic?
Unaweza kunipa jawabu la kinumerali la 1/0 ?
Kwa hiyo umeleta C++ kama nini hapa kama si standard ya logic? Unatoa computer language ambayo mtu yeyote anaweza kujitungia akaweka alternate reality yake kama mfano wa sound logic?
Disadvantages of C++ https://tekslate.com/c-explain-advantages-disadvantages
- It has no security.
- Complex in a very large high-level program.
- Used for platform specific application commonly.
- For a particular operating system or platform, the library set has usually chosen that locks.
- When C++ used for web applications complex and difficult to debug.
- C++ can't support garbage collection.
en·tro·py
/ˈentrəpē/
Learn to pronounce
noun
- 1.
PHYSICS
a thermodynamic quantity representing the unavailability of a system's thermal energy for conversion into mechanical work, often interpreted as the degree of disorder or randomness in the system.- 2.
lack of order or predictability; gradual decline into disorder.
"a marketplace where entropy reigns supreme"Dictionary.com | Meanings & Definitions of English Words
The world's leading online dictionary: English definitions, synonyms, word origins, example sentences, word games, and more. A trusted authority for 25+ years!www.dictionary.com
noun
Thermodynamics.
(in data transmission and information theory) a measure of the loss of information in atransmitted signal or message.
- (on a macroscopic scale) a function of thermodynamic variables, as temperature, pressure,or composition, that is a measure of the energy that is not available for work during athermodynamic process. A closed system evolves toward a state of maximum entropy.
- (in statistical mechanics) a measure of the randomness of the microscopic constituents of athermodynamic system. Symbol: S
(in cosmology) a hypothetical tendency for the universe to attain a state of maximumhomogeneity in which all matter is at a uniform temperature (heat death).
a doctrine of inevitable social decline and degeneration.
Kama hakuna uhusiano wa logic ya Mungu na logic ya C++, kwa hivyo, wewe uliyeleta mfano wa logic ya C++ kwenye mjadala wa Mungu umechemka.I should tell, I probably know C++ better than you, sipendi kujisifu lakini kwa hili utachemka. Disdvantages hizo nimekuambia uzitaje tu ili kukusumbua, hazina hata uhusiano na mfano wa variable au declaration. Such declaration is global, sio kwa programming language moja au 2. Hivi vitu vyako vya kukopi na kupaste vitakutokea puani. Ukitaka tuendeleze mjadala wa C/C++ sawa, lakini hauna mantiki katika swala la mfano wa variable. Swali la msingi ni wewe kuprove Mungu hayupo.
I can ask you, which security C++ does not have?
Hakuna uhusiano wa logic ya Mungu na logic ya C++/C.
Unaweza kunipa jawabu la kinumerali la 1/0 ? 1/0 ni numeral, unataka nini? Uwe unaelewa kila kitu kina scenario: https://en.wikipedia.org/wiki/Division_by_zero
Wewe umesema 1/0 hairuhusiwi kwenye hesabu, wakati ni muhimu na bila hiyo, hatuwezi kueleza hata evolution ya Universe - inflation.
Hahaha. Umezibuka. Utaleta ugomvi na mamie kwani.
Hilo si jibu la swali langu, ni kukubali kwamba hujui jibu la swali langu.
Nakuuliza kwa nini Baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ajenge nyumba halafu aiwekee mabomu ya nyuklia yatakayoumiza watoto wake mnaosema anawapenda sana?
Kwa nini hakujenga nyumba ambayo haina mabomu ya nyuklia na iliyo salama kwa watoto wake?
Unaqnijibu, kwa sababu ana uwezo wote.
Kuwa na uwezo wa kumuua mwanao si sababu ya kumuua mwanao.
Huyo Mungu wenu ana kichaa?
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha roho ipo na si hadithi ya kutungwa tu?
Anaweza kuwa kichaa kwa tafsiri yako. Lazima uelewe superiority ambayo haina limitation.
Kwa nini hakujenga nyumba ambayo haina mabomu ya nyuklia na iliyo salama kwa watoto wake?
Wewe unadhani ukifa au kupata shida, labda Mungu anapata hasara! Imagine amekuumba kwa kutumia udongo -- malighafi iliyojaa tu, ukifa still He transforms you into something more useful. He does not care about your death or suffering the way you think.
Hujajibu swali.Anaweza kuwa kichaa kwa tafsiri yako. Lazima uelewe superiority ambayo haina limitation.
Kwa nini hakujenga nyumba ambayo haina mabomu ya nyuklia na iliyo salama kwa watoto wake?
Wewe unadhani ukifa au kupata shida, labda Mungu anapata hasara! Imagine amekuumba kwa kutumia udongo -- malighafi iliyojaa tu, ukifa still He transforms you into something more useful. He does not care about your death or suffering the way you think.
Kwa hiyo Mungu wako mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote anapenda watoto wachanga wafe kwa magonjwa yanayozuilika?
Unajua watu wangapi wanakufa kwa njaa kila dakika moja duniani hapa?