Huo mfano wa C++ nimeuleta mimi?Be fair, huo mfano ulikuwa unaelezea theorem, ambayo aliyeileta ni wewe. Usitake kushinda kwa kulazimisha au kubadilisha hoja. Halafu kuwa honest, itakusaidia kuwa bora zaidi katika kujenga hoja siku za usoni.
Utajuaje hiyo roho ipo kweli na si hadithi ya kutungwa na watu tu ambayo haina uhalisi?Neno la Kiebrania ruʹach na neno la Kigiriki pneuʹma, ambayo kwa kawaida hutafsiriwa kuwa “roho” yana maana kadhaa. Yote mawili yanarejelea kitu ambacho macho ya wanadamu hayawezi kuona na huthibitisha kuwapo kwa nguvu inayotenda. Maneno hayo ya Kiebrania na Kigiriki hutumiwa kurejelea (1)upepo,
(2) nguvu ya uhai inayotenda ndani ya viumbe walio duniani, (3) nguvu za msukumo zinazotoka katika moyo wa mfano na kumfanya mtu aseme na kutenda mambo kwa njia fulani,
(4) maneno yaliyoongozwa na roho yanayotoka katika chanzo kisichoonekana,
(5) Mungu na viumbe wa roho, na
(6) nguvu za utendaji za Mungu, au roho takatifu
Ukianza kujibu swali la "kwa nini Mungu anawaacha watu wateseke?" . Unaanza kujibu swali ambalo sijauliza.Kwa nini Mungu anawaacha watu wateseke? Ikiwa Yehova Mungu ana nguvu zote, ana upendo, hekima, na haki, kwa nini ulimwengu umejaa chuki na ukosefu wa haki?
Biblia hueleza hivi waziwazi: “Ulimwengu mzima unakaa katika nguvu za yule mwovu.” Unapofikiria hilo. Ulimwengu unaonyesha utu wa kiumbe huyo wa roho asiyeonekana, “anayeipotosha dunia nzima inayokaliwa. Shetani ana chuki, ni mwongo, na mkatili. Kwa hiyo, ulimwengu ulio chini yake umejaa chuki, uwongo, na ukatili. Hiyo ni sababu moja inayowafanya wanadamu wateseke sana leo.
Sababu ya pili ni kwamba wanadamu si wakamilifu nao wamekuwa watenda-dhambi tangu uasi ulipoanza katika bustani ya Edeni. Wanadamu wenye dhambi hung’ang’ania utawala, na hilo hutokeza vita, ukandamizaji, na kuteseka.
Sababu ya tatu ni “wakati na tukio lisilotazamiwa.” Waswahili wanaita "Bahati mbaya". Katika ulimwengu usiotawaliwa na Mungu (kulingana na Biblia ulimwengu kwa sasa unatawaliwa na shetani) , watu wanaweza kuteseka kwa sababu ya kuwa mahali pasipofaa wakati usiofaa.
Huo mfano wa C++ nimeuleta mimi?
Hujajibu swali nililouliza na swali unalojibu sijauliza.Kiranga haya ni mambo mepesi, jikite kwenye hoja ya msingi, huwezi kuelewa hii "Be fair, huo mfano ulikuwa unaelezea theorem, ambayo aliyeileta ni wewe". Ulisema hakuna proof isiyo na msahaka, ukaleta theorem, na ndio nikawa nakujibu.
Hujajibu swali nililouliza na swali unalojibu sijauliza.
Huo mfano crappy wa C++ nimeuleta mimi hapa?
Kama unajua jukwaa la C++ ni hilo, kwa nini umeleta habari za C++ hapa?Ni wapi nimesema wewe umeuleta mfano wa C++/C? Na ni crappy kivipi? Sasa kama unataka discussion ya C++, jukwaa lake hili hapa
Unanichekesha unavyojiona unajua na upo sahihi muda wote just kwa kulewa visifa vya kijinga hapa JF.
Kama unajua jukwaa la C++ ni hilo, kwa nini umeleta habari za C++ hapa?
Concrete proof isiyo shaka nimekuuliza ikoje.I could bring anything kukuelezea jambo kadri ambavyo ingefaa. Sasa endelea kuprove Mungu hayupo. Unajua sio kwamba sitaki kukubali Mungu hayupo, nataka concerete proof/evidence, tena scientific ikiwezekana.
Concrete proof isiyo shaka nimekuuliza ikoje.
Umeniletea proof inaanza na "Let". An assumption.
Inaonekana hata wewe mwenyewe hujui unachouliza ni kitu gani.
Sasa mimi nitaweza kukujibu kivipi?
Mimi nimekutaka u prove Mungu yupo kwa namna ambayo haiwezi kuwa contradicted.
Umeshindwa.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo kwa namna ambayo haiwezi kuwa contradicted.
Unaelewa sijajadili proof najadili neno la kwanza kwenye proof?Hiyo proof unayong'ang'ana nayo kaprove classically kuwa ni wrong, huwezi au unabisha? Nani kaleta hii topic
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe? Can you prove that there is no possibility of God in our universe?
Tushajiunga zamani sana huko.Welcome to Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers!
Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and experiences to others, while making a difference in improving people's lives!
Join Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! today and learn how to revolutionize your mind to effect a lasting change.
Tushajiunga zamani sana huko.
Ila hoja hujajibu.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Hujaondoa contradictions ya Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kuumba ulimwengu ambao suffering inawezekana.
Siyo tufanye.
- Kiranga nina majukumu mengine mengi ya msingi zaidi ya kushinda JF na kulumbana na wewe. Kwa hiyo elewa kuwa sijakimbia. Lakini ili uamini kuwa wewe ndio una hoja na kufurahi, tufanye kuwa umeshinda na umeweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa Mungu hayupo.
Kwanza kabisa. Thibitisha mimi ni kijana.Ngoja nipitie huu uzi ili nipate hoja za kumuangushà huyu kijana...Kiranga.
Naomba nitoe angalizo kwamba sijawahi kushindwa kwa namna yoyote katika mabishano ya namna hii.
Jipange Mkuu,Kiranga.
Hivi unamfahamu Kiranga kwenye hii mijadala ama unamsikia tu?Ngoja nipitie huu uzi ili nipate hoja za kumuangushà huyu kijana...Kiranga.
Naomba nitoe angalizo kwamba sijawahi kushindwa kwa namna yoyote katika mabishano ya namna hii.
Jipange Mkuu,Kiranga.