Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kiranga Bwana Yesu asifiwe?Mimi najua wewe ni msomim lakini naomba leo uwe mkweli.
Swali langu kwako msomi wewe ni :Je roboti ilyotengenezwa na mwanadamu inaweza kuprove kwamba kuna mwanadamu yupo?
Jibu ndiyo roboti inaweza au hapana roboti haiwezi tofauti na hapo utakuwa unadanganya.
Kwanza kabisa umejuaje mimi msomi? Unajua au unadhani unajua?

Msomi ni nani?

Unajua ukiniita mimi msomi naona unanitukana na kuniwekea uzio kwamba mimi sijui kufanya, najua kusoma tu?

Kwa huo mfano wako, umemfananisha Mungu wako awe sawa na mtu anayeshindwa kutengeneza roboti anayejifahamu?

Unaelewa kwa mfano huo unasema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
 
This issue will continue to be an endless merry-go-round of the same 'ol same 'ol until it is conclusively settled, once and for all.

It is the world's greatest mystery, as far as I'm concerned.
 
Kiranga yeye anachohitaji kutoka kwenu ni mjibu swali moja tu:Kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?
sasa hapo anakosoa uumbaji wa Mungu na si kigezo kwamba Mungu hayupo.

Na hapa duniani si mahala tulipoandaliwa,hapa tunapita tu, makazi yetu yapo mbinguni.
 
Kivipi?

Hapohujathibitisha, umelazimisha bila ufafanuzi.

Mimi ningekuwa uthibitisho Mungu yupo, nisingeumwa.

Mungu huyo asingeumba dunia inayoweza kuwa na mapungufu.

Naumwa,

Hivyo sijaumbwa na Mungu huyo, nimeumbikakwa process yenye mapungufu.
Unataka kumuona Mungu nikuelekeze namna rahisi zaidi ya kumuona?
 
Maandikoyamejaa contradictions,unaelewa hilo?


Tatizo unajibu kifupi mambo yanayohitaji fikra ndefu na majibu marefu.



Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?



Nakubaliana na wewe Mungu hana upendeleo, kwa sababu hayupo.

Kamahayupo, hawezikuwana upendeleo.


Mungu anatakiwa asiwe na contradiction. Huyu Mungubwa Biblia na Quran kwa mfano, mtu akiweza kuniondolea contradictions zote zilizopo katika habari zake, sio tu nitakubali, bali pia nitafurahi sana. Contradictions hizo ni hizi.
Kwa uchache.

1. Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, upendo wote na utakatifu wote, kaumba ulimwengu ambao maovu yanaweza kutokea, wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kutokea? Naomba jibu lisiwe kusema maovu yapo kwa sababu ya shetani. Swali linauliza kabla shetani hajaumbwa Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hawezi kuwepo. Jibu la swali lisiseme maovu ni matokeo ya dhambi za watu. Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani. Jibu lisiseme free will, hatuna hiyo inayoitwa free will katika mengi sana na hata kui define tu watu hawawezi.

2. Inakuwaje Mungu awe ndiyo mtoa rehema ya kumjua, anachagua mwenyewe nani amjue na nani asimjue, halafu mtu akishindwa kumjua Mungu, kwa sababu Mungu hajamchagua huyo mtu kumpa neema yake Mungu ya kumjua, huyo mtu aonekane ana makosa, ahukumiwe kuchomwa moto? Baba anawezaje kumhukumu mtoto ambaye hajui kusoma, kama mtoto hajui kusoma kwa sababu baba ndiye aliyemnyima nafasi ya kwenda shule?

3. Inakuwaje mahakama za watu tu zinakataza mtoto kuhukumiwa kwa makosa ya mzazi, lakini vitabu vya Mungu vinasema Mungu anahukumu watoto na wajukuu vizazi hata vizazi? Kwa kosa la mzazi wa zamani sana? Huyu Mungu mbona haki yake haijafikia hata haki yetu watu tu?

4. Mnasema Mungu anajua yote. Anayajua maisha ya mtu yote mwanzo mpaka mwisho kabla hata mtu hajaishi. Na anachojua huyo Mungu kitatokea, ni lazima kitokee. Anavyojua si kama utabiri wa hali ya hewa kwamba kuna 80% ya mvua. Yeye anajua kitu kamili hakina utata. Sasa kama anajua hivyo, ina maana mtu muuaji, alimjua huyu atakuwa muuaji kabla hata hajazaliwa. Na muuaji huyo hawezi kuepuka kuua hata afanye nini. Kwa sababu kuepuka kuua wakati Mungu kashajua huyu ataua ni kum prove Mungu wrong. Sasa kama huyu mtu anaenda kuwa muuaji, na hana jinsi ya kuepuka hilo, tutasemaje ana uhuru wa kuamua na anaua kwa uamuzu wake na atahukumiwa motoni kwa uuaji?

5. Mbona hivyo vitabu vinavyosemwa ni vya Mungu vina contradictions lukuki?

6. Mbona huyo Mungu mnayemsema yupo hathibitishiki? Anajificha asijulikanw vizuri kwa nini? Kwa nini hakufanya ulimwengu uweze kumjua vizuri bila uwezo wowote wa kuwepo ubishi juu ya uwepo wake?

7. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi yeye mwenyewe ashindwe kulibeba? Akiweza kuumba jiwe hilo, atakuwa hawezi yote, maana kuna jiwe atakuwa kashindwa kulibeba. Akishindwa kuumba jiwe hilo, atakuwa hawezi yote maana kuna jiwe atakuwa kashindwa kuliumba.

8. Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ameruhusu kifo kitenganishe wapendanao, baba na mama, wazazi na mtoto, marafiki etc, wakati alikuwa na uwezo, ujuzi na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo?

Kwa nini watetezi wa Quran waajitapa sana kusema vitu fulani vichache vimethibitishwa kisayansi, kuinadi Quran kama kitabu cha ukweli, wakati vingi sana vina contradictions ama vinapingana na sayansi ama havijathibitishwa kisayansi, hawasemi vinapingana nansayansi au havijathibitishwa kisayansi?

10.Kama kuna Mungu kweli, kwa nini karuhusu confusion ya dini nyingi tofauti kuwa na vitabu vingi tofauti vyote vinasema vya Mungu wa kweli?
Kwa leo tuishie na maswali haya 10.
Unaweza kujibu
Haya maswali yako yote kumi nilikujibu kiufasaha zaidi ,kwenye ile thread ya makosa kumi aliyoyatenda Mungu.


Na hilo swali la kwanza unalipenda sana ,ila jibu ni hivi ,hapa duniani si mahala tulipoandaliwa ,makazi yetu yapo mbinguni,hapa duniani tunapita tu.
 
Mazee kunradhi sana leo nilitingwa kuna hela kubwa nilikuwa naifanyia kazi, nimefanikisha.

Kwa hivyo usione kama uzi nimeususa, nilikuwa najenga taifa, hahahaha.

Sasa nimepata wasaa napitia kusoma majibu na nukuu, na tunazosemezana nazijibu zote.

Sina hulka wala wajihi wa kukimbia mjadala. Kiranga hajaogopa challenge tangu udogo, na hatarajii kuanza mchezo huo ukubwani.

Aaligyata Zurri hapa na hesabu zake za division by zero, mpaka akaomba msamaha nilivyomuonesha alipochemka.

Kunya na kufa ni mapungufu.

1. Kunya ni kutoa waste products. Katika engineering, waste product ni alama ya inefficiency. Tunakunya kwa sababu miili yetu inashindwa kutumia chakula chote tunachokula, kinasagwa, kingine tunakunya. Uchafu wa mavi pia unasababisha hatari nyingi sana za magonjwa. Watu wamekufa kwa miaka na miaka kwa wadudu wanaotokana na uchafu wa mavi. Huyo Mungu gani mkatili atupe mimavi tunatembea nayo tumboni, tunahitaji kunya kunya kila mara, tunapata magonjwa ya uchafu kutoka kwenye mavi. Ukiangalia habari ya kunya unasema kama kuna engineer ka engineer mfumo wa mtu, kama hana uwezo wote tutaelewa alifanya alichoweza, lakini haiwezekani mfumo huu uwe umeumbwa na akili yenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Tungekuwa tumeumbwa na Mungu tusingekunya in such a wasteful way, tusingekunya uchafu unaosababisha magonjwa hivyo.

Ni kama vile unasema Mungu katengeneza gari linalotumia mafuta na kutoa moshi, kwa nini hakuumba ambalo halitumii mafuta wala kutoa moshi?

2. Kifo ni kitu kibaya, kinatenganisha wapendanao. Baba na Mama, wazazi na mtoto, kaka na dada. Humu wengi tumepitia machungu ya kufiwa.

Story za dini jinsi kifo kilivyotokea zinaonesha kifo ni mapungufu katika upendo wa Mungu. Ni kama vile baba ambaye alitakiwa kumlinda mtoto wake mchanga anayetambaa asigongwe na gari barabarani, akamuachia mtoto yule mchanga awezekwenda barabarani na kugongwa na gari.

Sasa huyu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao kifo kinawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani? Huyu Mungu mbona katukatili hivi?

Yupo kweli huyu? Au ni hadithi tu?
Hahaha mzeee excuse accepted. Mkwanja ni muhimu sana. Hongera kwa kufanikisha.

Majibu yako;

1. Kunya ni tendo la kutoa waste product. Sahihi kabisa. Hapo maana yake ni kwamba mwili unafanya tendo la kujisafisha baada ya kuchakata nutrients na kubakisha zile muhimu and needed for the body. Isn't that glorious?! Kuhusu maradhi yatokanayo na kinyesi - hiyo ni kulingana na mazingira. Kinyesi ni product nzuri sana, endapo kitazagaa ovyo huenda kikaleta usumbufu (soma maradhi), lakini umeshafikiria faida yake endapo kitawekwa kwenye matumizi sahihi mfano kuzalishia biogas, mbolea n.k.? Mungu fundi sana boss.

2. Tendo la kufa huleta huzuni na kutenganisha wapendanao. Naam, nalo umenena vyema kabisa. Lakini kwa kuwa tunazungumzia mambo ya kiroho, tendo hilo kwa waaminio linaleta huzuni ya muda ila faraja yake ni ya milele. Na hiyo ni kwa sababu, kufa ni njia ya kwenda kwa Muumba ambako huko kuna makazi na makutano ya kudumu. Kwa kuwa hiyo ni njia ya wote, basi tumaini la kweli ni kwamba wapendanao wote watakutana huko na Mola wao kuishi na kufurahia. Kisayansi, mwili wa kiumbe hai uliokufa una faida nyingi sana kwenye ardhi. Mambo ya natural recycling, Zisome baadhi hapa Why burying loved ones in unmarked graves could save wildlife

Halafu, uamuzi wa Mungu kuumba kifo na ufufuo ni alama tosha ya kuonesha UWEZO NA UKUU alionao Bwana Mkubwa.

Yupo kweli. Sio hadithi tu!
 
kumbe huyu mzee na ujanja wake wote alikuwa anaamini katika BING BANG THEORY!!!.
Kwa mwanasayansi mwenye akili timamu atajua haiwezekani random eruption ilete systematic output na interdependent kama dunia. Watu wameamua kujitoa fahamu sio mchezo.
 
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
By Brandon Specktor, Senior Writer | October 17, 2018 04:23pm ET

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

In a new book that was published posthumously, Stephen Hawking, who died in March, wrote that it is impossible for God to exist in our universe.


From his desk at Cambridge University and beyond, Stephen Hawking sent his mind spiraling into the deepest depths of black holes, radiating across the endless cosmos and swirling back billions of years to witness time's first breath. He viewed creation as a scientist, and when he was called to discuss creation's biggest puzzles — Where do we come from? What is our purpose? Are we alone? — he answered as a scientist, often to the chagrin of religious critics.

In Stephen Hawking's final book "Brief Answers to Big Questions," published Tuesday (Oct. 16) by Bantam Books, the professor begins a series of 10 intergalactic essays by addressing life's oldest and most religiously fraught question of all: Is there a God? [Big Bang to Civilization: 10 Amazing Origin Events]

Hawking's answer — compiled from decades of prior interviews, essays and speeches with the help of his family, colleagues and the Steven Hawking Estate — should come as no surprise to readers who have followed his work, er, religiously.

  • aHR0cDovL3d3dy5saXZlc2NpZW5jZS5jb20vaW1hZ2VzL2kvMDAwLzEwMi8yMTYvb3JpZ2luYWwvc3RlcGhlbi1oYXdraW5nLU9ORS1USU1FLVVTRS5qcGc=
Credit: Frederick M. Brown/Getty Images


"I think the universe was spontaneously created out of nothing, according to the laws of science," Hawking, who died in March, wrote. "If you accept, as I do, that the laws of nature are fixed, then it doesn't take long to ask: What role is there for God?"
In life, Hawking was a vocal champion of the Big Bang theory — the idea that the universe began by exploding suddenly out of an ultradense singularity smaller than an atom. From this speck emerged all the matter, energy and empty space that the universe would ever contain, and all that raw material evolved into the cosmos we perceive today by following a strict set of scientific laws. To Hawking and many like-minded scientists, the combined laws of gravity, relativity, quantum physics and a few other rules could explain everything that ever happened or ever will happen in our known universe.
"If you like, you can say the laws are the work of God, but that is more a definition of God than a proof of his existence," Hawking wrote.

With the universe running on a scientifically guided autopilot, the only role for an all-powerful deity might be setting the initial conditions of the universe so that those laws could take shape — a divine creator who caused the Big Bang to bang, then stepped back to behold His work.

"Did God create the quantum laws that allowed the Big Bang to occur?" Hawking wrote. "I have no desire to offend anyone of faith, but I think science has a more compelling explanation than a divine creator."
Hawking's explanation begins with quantum mechanics, which explains how subatomic particles behave. In quantum studies, it's common to see subatomic particles like protons and electrons seemingly appear out of nowhere, stick around for a while and then disappear again to a completely different location. Because the universe was once the size of a subatomic particle itself, it's plausible that it behaved similarly during the Big Bang, Hawking wrote.
"The universe itself, in all its mind-boggling vastness and complexity, could simply have popped into existence without violating the known laws of nature," he wrote.

That still doesn't explain away the possibility that God created that proton-size singularity, then flipped the quantum- mechanical switch that allowed it to pop. But Hawking says science has an explanation here, too. To illustrate, he points to the physics of black holes — collapsed stars that are so dense, nothing, including light, can escape their pull.
Black holes, like the universe before the Big Bang, condense into a singularity. In this ultra-packed point of mass, gravity is so strong that it distorts time as well as light and space. Simply put, in the depths of a black hole, time does not exist.

Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time before the Big Bang."

"We have finally found something that doesn’t have a cause, because there was no time for a cause to exist in," Hawking wrote. "For me this means that there is no possibility of a creator, because there is no time for a creator to have existed in."

This argument will do little to persuade theistic believers, but that was never Hawking's intent. As a scientist with a near-religious devotion to understanding the cosmos, Hawking sought to "know the mind of God" by learning everything he could about the self-sufficient universe around us. While his view of the universe might render a divine creator and the laws of nature incompatible, it still leaves ample space for faith, hope, wonder and, especially, gratitude.

"We have this one life to appreciate the grand design of the universe," Hawking concludes the first chapter of his final book, "and for that I am extremely grateful."
Originally published on Live Science.

cc James Comey
another theory like " the big bang " , Hawking was angry at God for not healing him, for letting his wife be taken, for ruining his family that's why he endlessly argued there is no God. And he knew some gullible earthians will play along. He was an angry crippled Englishman. He knew by confusing you with physics mumbo jumbo you'll end up denying God's existence. That's another theory, since we can't prove there was actually the big bang.
 
illogical a.k.a pumba!!....ni sawa na kuuliza wapi Magufuli alisema kwa sababu yeye ni raisi atakuwa amri jeshi mkuu?
Haujajibu swali...ila pamoja na ukamilifu wote Mungu alionao ila aliumba ulimwengu kwa hekima yake na ndio maama sis wanadamu kwakua hatuna hekima Kama za Mungu tunaona ulimwengu haupo kamilifu
 
Hujaeleweka.

Mjamaa unayemuongelea ni nani?

Aanakimbilia wapi?

Kwa nini?

Mwenzako ni nani?

Chamoto anakipata kivipi?

Unathibitishaje?
kama hujanielewa usinge ni quote
kama ume quote na kunijibu it's seems umeelewa namzungumzia nani
 
Hujazijibu.

Bora ungeshindwa kuzijibu za kikubwa tungeweza kusema zimekushinda kimo.

Lakini kushindwa kujibu hoja za kitoto ni jambo la aibu sana.
na tungekuwa hatunyi/hatufi
Bila Shaka ungekuja na hoja kuwa mbona hatunyi/hatufi
Ndugu yangu
nyie wote non believers hamnaga hoja zaidi ya kusema
ooh mbona hakuna perfection
mara mbona hajitokezi
tatizo lako unataka hoja zako ndizo zionekane
"MUNGU ni mwema na anapenda wampendao,na wote wamtafutao kwa bidii HAKIKA watamwona"
sasa kama wewe hutaki kumatafuta MUNGU unadhani utamwona wapi??!
lakini ndugu shetani amekamata ufahamu wako
Na mbaya ZAIDI unadhani huo ni Utashi na Akili yako.
 
Last word you are either with us,or against us.We do facts you do faith.
 
You are describing a totally different thing.

Nobody disputes that the idea of God exists, which is what you are doing abracadabra about.

But that does not mean God exists.

Let say, extending your analogy, there someone who has an online ID (some human person/s who wrote the Bible) and that someone is using an online ID of "Kiranga the Singularity", claiming that he is the shit,and his shyi don't stink, in fact he shits diamonds cry Versace Eros, and spit jewels.

If someone, call him Skeptic says this Kiranga who shits Diamonds, cry Versace Eros and spit jewels does not exist, he is a myth, a fabrication of someone who has made up this whole story. The story is not logically consistent with observed reality.

Will Skeptic be wrong? Will it be true that this Kiranga exists and does not exist at the same time?

What kind of wishy-washy, fence sitting chameleon, flip-flopping liberal art free ranging avant--garde utopian laissez-faire school of thought is that?
Kiranga,yours is the old tool of a defensive idealist,What I see here is not a competent opponent,I rather see a humble believer who is somewhat skeptical.Here me when I tell you this,Nature of Reality is subjective but the truth as much as we may all wish can never be subjective it will always be objective.The existence of God can not be refuted by an inability to prove his existence for we the enquirers exist within the same realm of Gods Existence and we are therefore a part of His being.If by affirming our existence and attributing it to some scientific explanation which only fits our current reality we believe we can challenge the proponents of Gods existence then we are surviving on a weak logic as intellectuals.We must acknowledge our limitation in comprehending his existence and from there seek not to prove his existence but to acknowledge his existence.
 
Hili si tamko la mtu mmoja, watu wamesema habari hizi malefu na maelfu ya miaka. Sasa hivi , nitakuwa naweka vitabu sana tu watu wasome kama wanaweza.

Soma hiki kitabu kizuri sana, kina mazungumzo yote, ya kutetea uwepo wa Mungu na ya kupinga uwepo wa Mungu.

Kinaitwa "Philosophy of Religion, An Aanthology".

Nilipokisoma hiki kitabu mwanzo mpaka mwisho, nikiwa na miaka 19, ndipo nilipoanza kujua kwamba habari za kuwepo Mungu ni za kutungwa na watu tu.

Mambo yasiyopo hayathibitishiki na ndipo hapo utaambiwa ni ya kiroho au imani tu.

Relativity ya Aalbert Einstein ilikuwa ni imani tu ambayo Einstein alikuwa nayo kutokana na mahesabu na thought experiments.

Sir Aarthur Eddington akaihakiki imani hii kwa majaribio mwaka 1919, ikaonekana imesimama katika ukweli.

Leo hii GPS, satellite mpaka hii internet tunayotumia vinatumia Relativity ya Einstein, si imani tu tena, imethibitishwa kuwa ukweli kwa vitendo.

Sasa huyo Mungu mbona miaka nenda miaka rudi hathibitishwi kuwapo?

Unajua kwa nini?

Kwa sababu hayupo.

Soma wasomi wanavyobishana hapa kwenye kitabu, kama unaweza.
Ndo mana muhubiri alisema kila jambo na wakati wake. Sasa wewe katika umri wa miaka 19 ukaanza kusoma mavitu ya juu kabisa kuzidi uwezo wako wa kufikiri, ona sasa madhara yake yanavyokusumbua na kukutesa nafsi yako huku ukubwani.

Ulikuwa hujakomaa kiroho ndo mana ukawa mwepesi kupigwa zongo na ibirisi uamini anachotaka yeye uamini na kweli ukaamini, Pole sana mzee.
 
Back
Top Bottom