Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kwa maana hiyo unamaanisha waliokufa wote walikosa ulinzi wa Mungu!?

Yesu mwenyewe alikufa,je alifanya kosa gani hadi akaukosa huo ulinzi wa Mungu?

Vipi kuhusu watakatifu wengine kama Papa John Paul waliokwisha kufa?

It is two-fold. Ukikosa ulinzi wa Mungu, shetani atakushambullia katika kiwango ambacho huwezi kubaki salama tena, utakufa.

PILI: Mwanadamu yeyote anapokuwa anaishi duniani, anaishi ili alitumikie kusudi la Mungu. Kwa hiyo Mungu amemleta kila mtu hapa duniani kwa misheni maalum, na si holela tu kama ambavyo huwa tunadhani. Hivyo basi kwa yule ambaye anaishi kwa kulitumikia kusudi la Mungu (mind you hii haimaanishi kuwa lazima uwe mtumishi wa Mungu kwenye nyumba za Ibada, unatakiwa kuwa ni mtu unayeishi maisha ya kumfuata na pia kumpendeza Mungu), akishakamilisha kile ambacho kwacho aliletwa na Mungu, Mungu anamchukua. Hii haimaanishi pia kuwa lazima uwe una miaka 70 au kuzidi, hapana, unaweza hata ukawa una miaka 15au hata chini ya hapo!
 
Kiranga hakuna kitabu kibovu kuwahi kutokea kama qurani

Tatizo waislam wengi hawajui kiarabu wanakariri quran bila ya kujua maana

Ndiio maana utakuja kukuta uzuri wa qurani ni kiarabu ukibadilisha kukaaa peke yake kwa lugha nyingine hutatamani kukisoma kwakuwa hayo ni mashairi

Mwandishi wa quran amekopi hadithi kutoka ktk bible na akatengeneza mashairi na kupitia maisha anayoona na kutengeneza quran
Astronomer, The Great.

I believe you had enough time to listen to the lecture of Professor by Moshe Sharon explaining Islam.

Here are few excerpts i have extracted from the lecture and I want to share with you:

Prof. Moshe Sharon:
*Since Adam, God selected the best of human being.(natural selection).
* Muhammad was the best of the best of the best of the best.
*God gave him the finest of all revelations.
*Islam is the culture, highly rich, highly intereting, highly rewarding.
*if you live and die a Muslim, you go straight to paradise.
*We should speak about Islam with a great respect.
* Islam is a culture based on revelation and a legal system.
*Islam is a world religion.
*God sent Muhammad, with a true religion, true massage, right path.
*There is only one truth.
*People of the book (Jews and Christians) had once have their own truth but they were not good custodians and they falsified their books.
*God sent modern Prophet with the last word of God and only word of God to humanity. Which is Qur'an.
*Islam is superior, nothing can be superior to it.
*Qur'an is not only the final word of God, but the truest word of God.
*Summary* The rest of the speech is what iam doing to you. Thats is: To bring the word of God to the whole Universe with Wisdom and integrity using religious evidence and scientifc irrefutable proofs.

You may like to compare your understanding and his understanding. If you think you are knowledgeable than him please ignore him. Otherwise have respect to Islam.

Sio tu ukwamo, nje ya IMANI hauwezi kumthibitisha Mungu.
Hapa Mimi nakubaliana na baadhi ya comments kuwa yako mambo huwezi kuyaelezea kisayansi. Mambo kama uwepo wa malaika, uwepo wa majini, uwepo wa uchawi, uwepo wa miujiza. Haya yanaweza kuelezewa kiroho tu.
Lakini pia uwepo wa roho, upendo, chuki, akili (IQ), bado sayansi haiwezi kutuelezea kwa kina kwamba kwa nini mtu mmoja an IQ kubwa na mwingine ana IQ ndogo. Au Fulani ana upendo sana na mwingine ana hasira mara kwa mara na kuwa hivi vinatokana na nini hasa.

Lakini hoja kuwa NJE YA IMANI huwezi kumthibitisha Mungu hapa nitajenga hoja kama Muislam. Natanguliza kujenga hoja kwa aya ndani ya Qur'an kisha nitoe maelezo kwa ufupi.

Mungu anasema katika Surat At-Talaaq aya ya 12.
"Mwenyezi Mungu nu yule ambaye amezuimba mbingu Saba, na Ardhi kwa mfano wa hizo. Amir zake zinashuka baina Yao, ili mjue kwamba Mwenyezi Mungu ni mwenye uweza juu ya kila kitu, na kwamba mwenyezi mungu amekizunguka kila kitu kukijua vilivyo kwa elimu yake. (quran 65:12)

Ufafanuzi:
Hapo tumeambiwa Mungu kaumba mbingu saba. Kuna tafsiri mbili hapa na mimi nitatoa moja tu.
Mbingu saba kwa matabaka (Atmosperic layers)
1. Troposphere
2. Stratosphere
3. Ozone Layer
4. Mesosphere
5. Ionosphere
6.Thermosphere
7. Exosphere
Hizo ni major spheres ingawa wanasayansi wamejaribu kuzi-subdivide kama stratopause au tropopause, belts ,nk
Ndani ya hizo layers kuna amri nyingi sana (Commands) kama upepo (kuvuma au kutulia), kupwa na kujaa kwa bahari, kimbunga, photosynthesis, mvua (formation of rains), joto, baridi, Masika, kiangazi, radi, mawingu ya kawaida au ya mvua, mawingu kwenda kasi au kawaida,nk. Na hiyo ni katika Troposphere tu. sijakwambia Ozone layer, repulsion of meteors, x-rays, gamma rays. Nasi humo katika layers tunapata manufaa makubwa sana ya kurusha satellites, kupata mawimbi ya sauti, Simu, radio, TVs, rockets zinapita nk.

Na Ardhi kwa mfano wa hizo:
Hebu nazo tuzione kama kweli zipo saba.

core.
1. Inner Core (Solid)
2. Outer core (Liquid)

Mantle
3. Methosphere
4. Esthenosphere
5. Lisosphere

Crust
6. continental crust
7. oceanic crust

Sijakwambia Amri zinazotoka humo pia kama kupwa na kujaa kwa bahari, aina mbalimbali za udongo, miamba,uoto mbalimbali, madini, maji ya visima, ladha za maji mbalimbali, volcano, landsildes, nk, nk, nk
hizo zote ni amri zinazotoka kwa Allah Muumba. Nasi tunapata Farida kubwa sana humo na Maisha yanaenda.

Na katika hali zote hizo hakuna mwanasayansi aliyetengeneza au kuumba na wala hawezi kubadilisha chochote Zaidi ya kukielezea tu. Cause and effect remain to al-Mighty God and leaves scientists to explain.

Sasa vyovyote watakavyoelezea, wakipatia sawa, wakikosea Mungu kishasema na kufanya. Naye ndiye aliekizunguka kila kitu kwa Elimu (Ujuzi) yake.

Conclusion: Tunaweza kumthibitisha Mungu nje ya Imani.
 
It is two-fold. Ukikosa ulinzi wa Mungu, shetani atakushambullia katika kiwango ambacho huwezi kubaki salama tena, utakufa.

PILI: Mwanadamu yeyote anapokuwa anaishi duniani, anaishi ili alitumikie kusudi la Mungu. Kwa hiyo Mungu amemleta kila mtu hapa duniani kwa misheni maalum, na si holela tu kama ambavyo huwa tunadhani. Hivyo basi kwa yule ambaye anaishi kwa kulitumikia kusudi la Mungu (mind you hii haimaanishi kuwa lazima uwe mtumishi wa Mungu kwenye nyumba za Ibada, unatakiwa kuwa ni mtu unayeishi maisha ya kumfuata na pia kumpendeza Mungu), akishakamilisha kile ambacho kwacho aliletwa na Mungu, Mungu anamchukua. Hii haimaanishi pia kuwa lazima uwe una miaka 70 au kuzidi, hapana, unaweza hata ukawa una miaka 15au hata chini ya hapo!

Ulichojibu sijakuuliza na nilichokuuliza hujajibu,zaidi umehubiri injili tu isiyo na ukweli wowote huku ukiibua maswali mengine ya ziada,

Maelezo yako namba 1: Unajua kwamba kila kitu ni mpango wa Mungu kiasi kwamba hata kukosa huo ulinzi wake ni mipango yake according to bible?

Maelezo yako namba 2: Unaweza ukathibitsha kwamba Mungu yupo?
 
Kama kwa akili yako unaona kabisa kuwa sijakujibu, basi the chances ni kwamba akili zetu yaani IQ zetu basi zitakuwa inapishana kwa umbali mkubwa mno, na hivyo naomba wewe tusiendelee na mjadala huu, haiwezekani tukaelewana.
Hata hivyo kwa msaada zaidi kuhusu uwepo wa Mungu, soma posts zangu zilizotangulia kwenye thread hii. Kifo kinamtokea mtu anapokuwa amekamilisha mission au anapokuwa ameondolewa ulinzi wa Mungu. Ubarikiwe
 
Kama kwa akili yako unaona kabisa kuwa sijakujibu, basi the chances ni kwamba zetu yaani IQ zetu basi zitakuwa inapishana kwa umbali mkubwa mno, na hivyo naomba wewe tusiendelee na mjadala huu, haiwezekani tukaelewana.
Hata hivyo kwa msaada zaidi kuhusu uwepo wa Mungu, soma posts zangu zilizotangulia kwenye thread hii. Kifo kinamtokea mtu anapokuwa amekamilisha mission au anapokuwa ameondolewa ulinzi wa Mungu. Ubarikiwe
Utajuaje kuwa huyu kafa kwa sababu ameondolewa ulinzi wa Mungu na yule kafa kutokana na kukamilisha mission ya kumtumikia Mungu?
 
Hujajibu swalilililoulizwa,na kama kuna swali umejibu,sijauliza.

Unajibalaguza.

Unaelewakwamba kifo cha kiumbe yeyote poppote kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
Upendo ni nini kwani? Tuchukue mfano wa mzazi kumchapa mwanae ni kipimo cha mzazi kutokuwa na upendo kwa mwanae?
 
Astronomer, The Great.

I believe you had enough time to listen to the lecture of Professor by Moshe Sharon explaining Islam.

Here are few excerpts i have extracted from the lecture and I want to share with you:

Prof. Moshe Sharon:
*Since Adam, God selected the best of human being.(natural selection).
* Muhammad was the best of the best of the best of the best.
*God gave him the finest of all revelations.
*Islam is the culture, highly rich, highly intereting, highly rewarding.
*if you live and die a Muslim, you go straight to paradise.
*We should speak about Islam with a great respect.
* Islam is a culture based on revelation and a legal system.
*Islam is a world religion.
*God sent Muhammad, with a true religion, true massage, right path.
*There is only one truth.
*People of the book (Jews and Christians) had once have their own truth but they were not good custodians and they falsified their books.
*God sent modern Prophet with the last word of God and only word of God to humanity. Which is Qur'an.
*Islam is superior, nothing can be superior to it.
*Qur'an is not only the final word of God, but the truest word of God.
*Summary* The rest of the speech is what iam doing to you. Thats is: To bring the word of God to the whole Universe with Wisdom and integrity using religious evidence and scientifc irrefutable proofs.

You may like to compare your understanding and his understanding. If you think you are knowledgeable than him please ignore him. Otherwise have respect to Islam.

Mawazo yake huyu profesa ni mazuri sana tatizo quran hakiwezi kuwa kitabu cha mungu kwakuwa kina ukweli na uwongo ndani yake
 
Mawazo yake huyu profesa ni mazuri sana tatizo quran hakiwezi kuwa kitabu cha mungu kwakuwa kina ukweli na uwongo ndani yake
You deserve to be Astronomer, The great!

Nami nimependa ule mstari aliposema; "There is only one truth"!.

Kusema Qur'an ina ukweli na uwongo nadhani inategemea na reference uliyonayo (viewing angle), na uelewa wa Quran ,na ahadith ulionao . Imamu Shafii rehema za Allah ziwe juu yake alikaa (alitafuta Elimu) kwa wanazuoni 900 na kuandika Fatwa mbalimbali. Hata hivyo katika baadhi ya fatwa alikosolewa na wanazuoni wengine.

Ni kama kusema: Whether the glass is half full or half empty! It depends on the angle you are looking.

Lakini Prof. Moshe ametoa summary nzuri ambayo inaweza kutumiwa na kila mtu anayetafuta ukweli na Haki.
 
Kama Quran ndio kitabu kibaya hivyo
Halafu mo amekopi kwenye Bible, basi,
Bible ni mbaya Mara 10(by logic) nyoka mzee ana sumu Kali kuliko nyoka mtoto.
 
Hawking mwenyewe ....[emoji286] [emoji286] [emoji286]
PhotoGrid_1540731712459.jpg
 
If you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
Mr kiranga can science alone give a us satisfactory answer to the common question :-
What started First a hen or an egg?
Mind you an egg without being fertilized will go bad in a month, and the hen specie would perish.
 
This question seems profound only if you have a meagre understanding of science and do not accept the basic tenets of evolution.

For example. It is quite logical, from an evolution standpoint, that an avian bird that is closely related to the hen produced an egg that hatched a mutated version of itself, that became the hen.

Hence the egg came before the hen. Even if you argue that changes in single generations are minuscule and therefore such an example as the one I gave above is a ridiculous oversimplification, an argument can be made, if you accept tye most basic tenets of evolution at all, that long before there were hens, the evolutionary line that produced hens had eggs. So eggs were there before hens were there.

I fail to see why this question is so interesting for anyone with even a small understanding of evolution at its most basic and less controversial form.

Why do you think this question is so interesting?

Turning the question to you.

If I ask you, what came first, Godly aspects or God, how will you answer this question?
 
God first no objections
 
1) we (ourselves ) are creations (viumbwa) by definition, this is our platform with limited potentials.
2) God(muumba) By definition is THE SUPREME AUTHORITY IN THE UNIVERSE, THE OWNER OF ALL THE UNIVERSAL LAWS AND SYSTEMS AND HIS PLATFORM IS DEFINITELY DIFFERENT FROM OURS.
 
This is a logical non sequitur.

Do you realize that?
 
Back
Top Bottom