You are forcing a definition of God a priori without being able to prove that that God exists.I tried to define as you requested. Where am I wrong?
Si kipimo cha kutokuwa na upendo kama mzazi hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.Upendo ni nini kwani? Tuchukue mfano wa mzazi kumchapa mwanae ni kipimo cha mzazi kutokuwa na upendo kwa mwanae?
Upendo Uwezo na ujuzi,hizi ni sifa tatu tofauti.Si kipimo cha kutokuwa na upendo kama mzazi hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Mzazi mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atakuwa na sababu gani ya kumchapa mwanawe?
K..u.nya na kufa vilevile ni proof tosha kwamba Mungu yupo....unataka ushahidi gani mwingine.....Mungu angekuwepo,(mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) tusingekunya wala kufa.
Tunakunya na kufa kwa sababu Mungu hayupo.
Unaelewa hilo?
Vivax,Kama Quran ndio kitabu kibaya hivyo
Halafu mo amekopi kwenye Bible, basi,
Bible ni mbaya Mara 10(by logic) nyoka mzee ana sumu Kali kuliko nyoka mtoto.
Kiranga hakuna kitabu kibovu kuwahi kutokea kama qurani
Tatizo waislam wengi hawajui kiarabu wanakariri quran bila ya kujua maana
Ndiio maana utakuja kukuta uzuri wa qurani ni kiarabu ukibadilisha kukaaa peke yake kwa lugha nyingine hutatamani kukisoma kwakuwa hayo ni mashairi
Mwandishi wa quran amekopi hadithi kutoka ktk bible na akatengeneza mashairi na kupitia maisha anayoona na kutengeneza quran
In which form do you want the deity God be Presented to you?You are forcing a definition of God a priori without being able to prove that that God exists.
How do you know that such a God exists, and is not just a figment of your rich imagination?
Why do you mention the two?In which form do you want the deity God be Presented to you?
A physical body touchable, visible or in an audio form?
Kwa huu mwendo mimi na wewe tunaweza kuelewana.
Sasa nakupa kazi mzee,tafuta maana ya tamko "UKWELI" kwa mtu yeyote unae muamini na amekuzidi maarifa kisha uje uiweke hapa,halafu ujibu swali langu.
Zingatia : Swali langu nililokupa haliathiriwi na maana yoyote ile itakayo kuwa.
Hii ni ziada nakupa hapa,UONGO ni kinyume na hali halisi. Ukweli ni kinyume cha UONGO.
Nasubiri jibu.....
Ukweli sio lazima uwe hali halisi..ukweli unaweza kua uongo ila kwa sababu umelingana na uwezo wa akili yako kwa wakati huo ndo unauita ukweli
Kwa mfano zamani watu walijua dunia ni tambarare huo ulikua ukweli wao na hali halisi kwa kipindi hicho lakini sasa hivi ni uongo !
jadili hoja acha ngonjeraBro una matatizo ya akili. Yaani hili dogo la kufikiria fasta linakushinda.....
jadili hoja acha ngonjera
For the second time, I say that it will be unfair for me to die without meeting you!
So agnosticMimi si kwamba sitaki kutopata hitimisho juu ya hili jambo.
Au contraire! Nataka sana tu.
But the issue of god’s existence or non existence is a bit different, though.
On the one hand, I acknowledge all of the inconsistencies.
On the other, I’m like hmm...how do we know for certain, though?
The whole thing is a big old mystery that I believe no one has figured it out yet.
So until then, I’ll remain open minded....
I wont wholly dismiss it. But neither am I going to fully accept it.
So agnostic
Kwahiyo ukifikiria wewe ni tajiri kinatendeka nini?Mungu hayupo unachowaza na kufikiria ndio kinachotendeka ktk maisha yako
Kwahiyo ukifikiria wewe ni tajiri kinatendeka nini?
Mkuu,Kiranga nilidhani umeshakufaga kitambo sana kwa mikashfa yako kwa Mungu, but you still exists. What God gave you should be used for his purpose. Impact others with greater knowledge about God's existence and not dragging them away from the Creator