Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

I tried to define as you requested. Where am I wrong?
You are forcing a definition of God a priori without being able to prove that that God exists.

How do you know that such a God exists, and is not just a figment of your rich imagination?
 
Upendo ni nini kwani? Tuchukue mfano wa mzazi kumchapa mwanae ni kipimo cha mzazi kutokuwa na upendo kwa mwanae?
Si kipimo cha kutokuwa na upendo kama mzazi hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mzazi mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atakuwa na sababu gani ya kumchapa mwanawe?
 
Si kipimo cha kutokuwa na upendo kama mzazi hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mzazi mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atakuwa na sababu gani ya kumchapa mwanawe?
Upendo Uwezo na ujuzi,hizi ni sifa tatu tofauti.

Upendo ni nini?
 
Mungu angekuwepo,(mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) tusingekunya wala kufa.

Tunakunya na kufa kwa sababu Mungu hayupo.

Unaelewa hilo?
K..u.nya na kufa vilevile ni proof tosha kwamba Mungu yupo....unataka ushahidi gani mwingine.....
 
Kama Quran ndio kitabu kibaya hivyo
Halafu mo amekopi kwenye Bible, basi,
Bible ni mbaya Mara 10(by logic) nyoka mzee ana sumu Kali kuliko nyoka mtoto.
Vivax,
You are speaking with your own brain not facts. and we cannot work with your brain.

We normally deal with facts, and only facts!
 
Kiranga hakuna kitabu kibovu kuwahi kutokea kama qurani

Tatizo waislam wengi hawajui kiarabu wanakariri quran bila ya kujua maana

Ndiio maana utakuja kukuta uzuri wa qurani ni kiarabu ukibadilisha kukaaa peke yake kwa lugha nyingine hutatamani kukisoma kwakuwa hayo ni mashairi

Mwandishi wa quran amekopi hadithi kutoka ktk bible na akatengeneza mashairi na kupitia maisha anayoona na kutengeneza quran

Kwa maana Hiyo unamaanisha Bible ni mbaya kuliko Quran?
Mwandishi alikopi huko.
 
You are forcing a definition of God a priori without being able to prove that that God exists.

How do you know that such a God exists, and is not just a figment of your rich imagination?
In which form do you want the deity God be Presented to you?
A physical body touchable, visible or in an audio form?
 
In which form do you want the deity God be Presented to you?
A physical body touchable, visible or in an audio form?
Why do you mention the two?

I have already stated that I would like an explanation that is logically consistent and that cannot be contradicted.

That does not need audio or visuals.

Do you know how to read with comprehension?
 
Kwa huu mwendo mimi na wewe tunaweza kuelewana.

Sasa nakupa kazi mzee,tafuta maana ya tamko "UKWELI" kwa mtu yeyote unae muamini na amekuzidi maarifa kisha uje uiweke hapa,halafu ujibu swali langu.

Zingatia : Swali langu nililokupa haliathiriwi na maana yoyote ile itakayo kuwa.

Hii ni ziada nakupa hapa,UONGO ni kinyume na hali halisi. Ukweli ni kinyume cha UONGO.

Nasubiri jibu.....

Ukweli sio lazima uwe hali halisi..ukweli unaweza kua uongo ila kwa sababu umelingana na uwezo wa akili yako kwa wakati huo ndo unauita ukweli

Kwa mfano zamani watu walijua dunia ni tambarare huo ulikua ukweli wao na hali halisi kwa kipindi hicho lakini sasa hivi ni uongo !
 
Bro una matatizo ya akili. Yaani hili dogo la kufikiria fasta linakushinda.....
 
jadili hoja acha ngonjera

Hapo hakuna hoja ya kujadili mzee. Hiyo inaitwa kwamba hawakuwa na elimu sahihi juu ya jambo husika ndio maana walijua kinyume na uhalisia mwisho wa siku wakaja kubainikiwa na habari nyingine.

Vipi jambo leo hii liwe kweli halafu baadae jambo hilo hilo liwe uongo ? Acha kufikiria kitoto,ukweli ni mmoja tu yaani haubadiliki.

Inaonekana hujui maana ya Ukweli,kama ukisoma utaelewa.

Nikirudi nakuja kukupa maana ya Ukweli .....
 
Mimi si kwamba sitaki kutopata hitimisho juu ya hili jambo.

Au contraire! Nataka sana tu.

But the issue of god’s existence or non existence is a bit different, though.

On the one hand, I acknowledge all of the inconsistencies.

On the other, I’m like hmm...how do we know for certain, though?

The whole thing is a big old mystery that I believe no one has figured it out yet.

So until then, I’ll remain open minded....

I wont wholly dismiss it. But neither am I going to fully accept it.
So agnostic
 
So agnostic

In the absence of definitive proof either way, agnosticism is the most reasonable and apposite position to take/ hold.

Thus far, all there is, is just a a ridiculous farrago of myths, dogma, lies, guesses, and an unending back and forth between believers and nonbelievers.
 
Kiranga nilidhani umeshakufaga kitambo sana kwa mikashfa yako kwa Mungu, but you still exists. What God gave you should be used for his purpose. Impact others with greater knowledge about God's existence and not dragging them away from the Creator
 
Kwahiyo ukifikiria wewe ni tajiri kinatendeka nini?

Ukifikiria utajiri ujiweke ktk njia za kutafuta utajiri ndipo utakuwa Tajiri
Angalia sisi waafrika ina maana mungu amepanga tuwe maskini? No hajapanga mawazo yetu yapo mbali na utajiri
 
Kiranga nilidhani umeshakufaga kitambo sana kwa mikashfa yako kwa Mungu, but you still exists. What God gave you should be used for his purpose. Impact others with greater knowledge about God's existence and not dragging them away from the Creator
Mkuu,
Huyu hawezi kufa mpaka atimize kusudi la Mungu, na kusudi lenyewe ni kutangaza injili.
Kumbuka Paul kabla hajawa mtume alikuwaje, sidhani kama Bwana Kiranga anamfikia hata nusu
Ni suala la muda tu, tuombe uhai tukijaaliwa.
Atabadilika.
 
Back
Top Bottom