Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kimoja tayari nimekimaliza niko cha pili.
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?

Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
 
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?

Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
Munamjadili Mungu au mtakuwa mnajadili kitabu sasa.
 
Cha history yake maana Nilitaka kumjua ni nani,,,kingine ni cha kuhusu time,,,mimi niko na interest au navutiwa kusoma time na light.

Kwa sasa namsoma kwenye time.kifupi ukiondoa anayoongea kuhusu Mungu yasiompasa ni mtu makini.
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?

Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
 
Cha history yake maana Nilitaka kumjua ni nani,,,kingine ni cha kuhusu time,,,mimi niko na interest au navutiwa kusoma time na light.

Kwa sasa namsoma kwenye time.kifupi ukiondoa anayoongea kuhusu Mungu yasiompasa ni mtu makini.
Sasa hivi nakisoma hiki kipya "Brief Answers To The Big Questions".

Anaongelea hesabu za juu sana, zinazokubalika na kuheshimiwa na wanasayansi hodari wengi sana, halafu watu ambao hata hawajamsoma wanadismiss bila hata kuelewa msingi wa habari zake.

Yani Hawking anaongelea hesabu za how time freezes at the center of a black hole, halafu mtu hata hajui black hole ni nini anamtukana kwa kutumia mapokeo ya Biblia ambayo yamejaa uzushi.
 
Wavuta bange hao mkuu
 
Umekwishaaa

Hii hoja hua anaipangua kwa sekunde mbili tu.
 
Umekwishaa

Heee mambo ya IQ tena?

Wewe si umeleta hoja kuwa tusichanganye empiricalscience na spiritual science?
Au sio wewe mkuu?

Contradiction.
 
Uchawi ni nini?

Unathibitishaje huu ni uchawi, na si kitu ambacho si uchawi ila hujakielewa tu?

Mababu zetu walioishi mika 300 iliyopita, ingewezekana kuwaamsha leo, waone ma dege, mahelicopter ma TV, ma redio etc, wangesema uchawi. Kwa sababu hawaelewi mambo haya yanavyofanya kazi.

Mababu zetu walioishi miaka 100-150 iliyopita waliona redio ni uchawi wa wazungu, waliona mzungu kutabiri kupatwa kwa jua ni uchawi.

Lakini vyote hivi vinaelezeka bila uchawi.

Sasa wewe unajiridhisha vipi uchawi upo, na hicho unachosema niuchawi, ni uchawikweli, na sikingine?

cc LUCKDUBE
 
Asante... Umenibariki. Great mind
 
Deus ex machina.

Deus ex machina - Wikipedia
 
Amekwishaa,

Ngoja tuone anakuja na hoja gani tena, but ajibu kwanza uchawi ni nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ukitaka kujua ni wa ki nani naomba unisaidie yafuatayo:-

Kuna swali kila siku nauliza JF sijibiwi?

Ipi faida ya kumjua mungu wa kweli?

Na ipi hasara ya kumtomjua mungu wa kweli?
Una assume -angalau maswali yako yana assume- kuna "Mungu wa kweli".

Unaweza kuthibitisha yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…