Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kimoja tayari nimekimaliza niko cha pili.
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?

Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
 
Munamjadili Mungu au mtakuwa mnajadili kitabu sasa.
 
Cha history yake maana Nilitaka kumjua ni nani,,,kingine ni cha kuhusu time,,,mimi niko na interest au navutiwa kusoma time na light.

Kwa sasa namsoma kwenye time.kifupi ukiondoa anayoongea kuhusu Mungu yasiompasa ni mtu makini.
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?

Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
 
Cha history yake maana Nilitaka kumjua ni nani,,,kingine ni cha kuhusu time,,,mimi niko na interest au navutiwa kusoma time na light.

Kwa sasa namsoma kwenye time.kifupi ukiondoa anayoongea kuhusu Mungu yasiompasa ni mtu makini.
Sasa hivi nakisoma hiki kipya "Brief Answers To The Big Questions".

Anaongelea hesabu za juu sana, zinazokubalika na kuheshimiwa na wanasayansi hodari wengi sana, halafu watu ambao hata hawajamsoma wanadismiss bila hata kuelewa msingi wa habari zake.

Yani Hawking anaongelea hesabu za how time freezes at the center of a black hole, halafu mtu hata hajui black hole ni nini anamtukana kwa kutumia mapokeo ya Biblia ambayo yamejaa uzushi.
 
Wavuta bange hao mkuu

Kuna siku nliuliza je kiranga anaamini kwamba kuna uchawi.??au miujiza?? Labda tuanzie kwenye mlango huu apa..kama ukithibitisha kuna uchawi au uganga au miujiza then sasa kuna master mind mwenyewe wa hyo mambo ambaye ni sir God..kwamba hata sis wenyew existence yake hatuielewi ila yupo umeona makeke yake baba la baba..huyo hawkn sijui uwezo wake wa kufikiri ndo umefika hapo na anataka tuamini..Newton mwenyew ni genius aliyewah kuwepo lakn swala la kuwepo kwa Mungu hakuwah kupinga..mimi naomba tuu neema ya Mungu ikujie upate kujua kweli ili ikuweke huru..na wew nakutabiria utakuja kuwa muubiri mzuri sana maana Mungu anapenda watu kama nyie hua mkisha ona kwel Mungu yupo mnatendea kazi vizur kusudi lake...sifa na heshima kwa Mungu ..lihimidiwe jina lake milele yote..
Umekwishaaa

Hii hoja hua anaipangua kwa sekunde mbili tu.
 
Kama kwa akili yako unaona kabisa kuwa sijakujibu, basi the chances ni kwamba akili zetu yaani IQ zetu basi zitakuwa inapishana kwa umbali mkubwa mno, na hivyo naomba wewe tusiendelee na mjadala huu, haiwezekani tukaelewana.
Hata hivyo kwa msaada zaidi kuhusu uwepo wa Mungu, soma posts zangu zilizotangulia kwenye thread hii. Kifo kinamtokea mtu anapokuwa amekamilisha mission au anapokuwa ameondolewa ulinzi wa Mungu. Ubarikiwe
Umekwishaa

Heee mambo ya IQ tena?

Wewe si umeleta hoja kuwa tusichanganye empiricalscience na spiritual science?
Au sio wewe mkuu?

Contradiction.
 
Kuna siku nliuliza je kiranga anaamini kwamba kuna uchawi.??au miujiza?? Labda tuanzie kwenye mlango huu apa..kama ukithibitisha kuna uchawi au uganga au miujiza then sasa kuna master mind mwenyewe wa hyo mambo ambaye ni sir God..kwamba hata sis wenyew existence yake hatuielewi ila yupo umeona makeke yake baba la baba..huyo hawkn sijui uwezo wake wa kufikiri ndo umefika hapo na anataka tuamini..Newton mwenyew ni genius aliyewah kuwepo lakn swala la kuwepo kwa Mungu hakuwah kupinga..mimi naomba tuu neema ya Mungu ikujie upate kujua kweli ili ikuweke huru..na wew nakutabiria utakuja kuwa muubiri mzuri sana maana Mungu anapenda watu kama nyie hua mkisha ona kwel Mungu yupo mnatendea kazi vizur kusudi lake...sifa na heshima kwa Mungu ..lihimidiwe jina lake milele yote..
Uchawi ni nini?

Unathibitishaje huu ni uchawi, na si kitu ambacho si uchawi ila hujakielewa tu?

Mababu zetu walioishi mika 300 iliyopita, ingewezekana kuwaamsha leo, waone ma dege, mahelicopter ma TV, ma redio etc, wangesema uchawi. Kwa sababu hawaelewi mambo haya yanavyofanya kazi.

Mababu zetu walioishi miaka 100-150 iliyopita waliona redio ni uchawi wa wazungu, waliona mzungu kutabiri kupatwa kwa jua ni uchawi.

Lakini vyote hivi vinaelezeka bila uchawi.

Sasa wewe unajiridhisha vipi uchawi upo, na hicho unachosema niuchawi, ni uchawikweli, na sikingine?

cc LUCKDUBE
 
God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
Asante... Umenibariki. Great mind
 
Deus ex machina.

Deus ex machina - Wikipedia
 
Uchawi ni nini?

Unathibitishaje huu ni uchawi, na si kitu ambacho si uchawi ila hujakielewa tu?

Mababu zetu walioishi mika 300 iliyopita, ingewezekana kuwaamsha leo, waone ma dege, mahelicopter ma TV, ma redio etc, wangesema uchawi. Kwa sababu hawaelewi mambo haya yanavyofanya kazi.

Mababu zetu walioishi miaka 100-150 iliyopita waliona redio ni uchawi wa wazungu, waliona mzungu kutabiri kupatwa kwa jua ni uchawi.

Lakini vyote hivi vinaelezeka bila uchawi.

Sasa wewe unajiridhisha vipi uchawi upo, na hicho unachosema niuchawi, ni uchawikweli, na sikingine?

cc LUCKDUBE
Amekwishaa,

Ngoja tuone anakuja na hoja gani tena, but ajibu kwanza uchawi ni nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ukitaka kujua ni wa ki nani naomba unisaidie yafuatayo:-

Kuna swali kila siku nauliza JF sijibiwi?

Ipi faida ya kumjua mungu wa kweli?

Na ipi hasara ya kumtomjua mungu wa kweli?
Una assume -angalau maswali yako yana assume- kuna "Mungu wa kweli".

Unaweza kuthibitisha yupo?
 
Back
Top Bottom