Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Kimoja tayari nimekimaliza niko cha pili.
Umewahi kusoma kitabu gani cha Hawkings?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kusoma kitabu gani cha Hawkings?
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?Kimoja tayari nimekimaliza niko cha pili.
Munamjadili Mungu au mtakuwa mnajadili kitabu sasa.Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?
Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
Kipiulichokisoma na umepata nini kutoka kukisoma?
Napenda kujadiliana na watu waliosomahivi vitabu, wengine wanarukia kujadili mamboambayo hata hawajayasoma siwezi kujadiliana nao sawasawa.
Sasa hivi nakisoma hiki kipya "Brief Answers To The Big Questions".Cha history yake maana Nilitaka kumjua ni nani,,,kingine ni cha kuhusu time,,,mimi niko na interest au navutiwa kusoma time na light.
Kwa sasa namsoma kwenye time.kifupi ukiondoa anayoongea kuhusu Mungu yasiompasa ni mtu makini.
Sasa hivi nakisoma hiki kipya "Brief Answers To The Big Questions".
Anaongelea hesabu za juu sana, zinazokubalika na kuheshimiwa na wanasayansi hodari wengi sana, halafu watu ambao hata hawajamsoma wanadismiss bila hata kuelewa msingi wa habari zake.
Yani Hawking anaongelea hesabu za how time freezes at the center of a black hole, halafu mtu hata hajui black hole ni nini anamtukana kwa kutumia mapokeo ya Biblia ambayo yamejaa uzushi.
UmekwishaaaKuna siku nliuliza je kiranga anaamini kwamba kuna uchawi.??au miujiza?? Labda tuanzie kwenye mlango huu apa..kama ukithibitisha kuna uchawi au uganga au miujiza then sasa kuna master mind mwenyewe wa hyo mambo ambaye ni sir God..kwamba hata sis wenyew existence yake hatuielewi ila yupo umeona makeke yake baba la baba..huyo hawkn sijui uwezo wake wa kufikiri ndo umefika hapo na anataka tuamini..Newton mwenyew ni genius aliyewah kuwepo lakn swala la kuwepo kwa Mungu hakuwah kupinga..mimi naomba tuu neema ya Mungu ikujie upate kujua kweli ili ikuweke huru..na wew nakutabiria utakuja kuwa muubiri mzuri sana maana Mungu anapenda watu kama nyie hua mkisha ona kwel Mungu yupo mnatendea kazi vizur kusudi lake...sifa na heshima kwa Mungu ..lihimidiwe jina lake milele yote..
UmekwishaaKama kwa akili yako unaona kabisa kuwa sijakujibu, basi the chances ni kwamba akili zetu yaani IQ zetu basi zitakuwa inapishana kwa umbali mkubwa mno, na hivyo naomba wewe tusiendelee na mjadala huu, haiwezekani tukaelewana.
Hata hivyo kwa msaada zaidi kuhusu uwepo wa Mungu, soma posts zangu zilizotangulia kwenye thread hii. Kifo kinamtokea mtu anapokuwa amekamilisha mission au anapokuwa ameondolewa ulinzi wa Mungu. Ubarikiwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wavuta bange hao mkuu
Uchawi ni nini?Kuna siku nliuliza je kiranga anaamini kwamba kuna uchawi.??au miujiza?? Labda tuanzie kwenye mlango huu apa..kama ukithibitisha kuna uchawi au uganga au miujiza then sasa kuna master mind mwenyewe wa hyo mambo ambaye ni sir God..kwamba hata sis wenyew existence yake hatuielewi ila yupo umeona makeke yake baba la baba..huyo hawkn sijui uwezo wake wa kufikiri ndo umefika hapo na anataka tuamini..Newton mwenyew ni genius aliyewah kuwepo lakn swala la kuwepo kwa Mungu hakuwah kupinga..mimi naomba tuu neema ya Mungu ikujie upate kujua kweli ili ikuweke huru..na wew nakutabiria utakuja kuwa muubiri mzuri sana maana Mungu anapenda watu kama nyie hua mkisha ona kwel Mungu yupo mnatendea kazi vizur kusudi lake...sifa na heshima kwa Mungu ..lihimidiwe jina lake milele yote..
Asante... Umenibariki. Great mindGod exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
Deus ex machina.God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
Amekwishaa,Uchawi ni nini?
Unathibitishaje huu ni uchawi, na si kitu ambacho si uchawi ila hujakielewa tu?
Mababu zetu walioishi mika 300 iliyopita, ingewezekana kuwaamsha leo, waone ma dege, mahelicopter ma TV, ma redio etc, wangesema uchawi. Kwa sababu hawaelewi mambo haya yanavyofanya kazi.
Mababu zetu walioishi miaka 100-150 iliyopita waliona redio ni uchawi wa wazungu, waliona mzungu kutabiri kupatwa kwa jua ni uchawi.
Lakini vyote hivi vinaelezeka bila uchawi.
Sasa wewe unajiridhisha vipi uchawi upo, na hicho unachosema niuchawi, ni uchawikweli, na sikingine?
cc LUCKDUBE
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
Nani hao wanaficha?Ni kweli unayosema vitu vyenye maana wanavificha ili wengi wasujue waendelee kufanya wanavyotaka
Nani hao wanaficha?
Hakuna faidaUkitaka kujua ni wa ki nani naomba unisaidie yafuatayo:-
Kuna swali kila siku nauliza JF sijibiwi?
Ipi faida ya kumjua mungu wa kweli?
Na ipi hasara ya kumtomjua mungu wa kweli?
Hakuna faida
Una assume -angalau maswali yako yana assume- kuna "Mungu wa kweli".Ukitaka kujua ni wa ki nani naomba unisaidie yafuatayo:-
Kuna swali kila siku nauliza JF sijibiwi?
Ipi faida ya kumjua mungu wa kweli?
Na ipi hasara ya kumtomjua mungu wa kweli?
Nilichouliza hakina mahusiano na MunguUkitaka kujua ni wa ki nani naomba unisaidie yafuatayo:-
Kuna swali kila siku nauliza JF sijibiwi?
Ipi faida ya kumjua mungu wa kweli?
Na ipi hasara ya kumtomjua mungu wa kweli?