Yani unaona kabisa ukomo wa mawazo ya watu yalipoishia.
Unampa mtu ana extremely interesting line of inquiry, kwa ku crash the entirety of the fundaments of "cause and effect".
Kwangu mimi, that is the most interesting piece.
Halafu mtu anakuwa hawezi ku transcend thinking ya "cause and effect".
Anakurudisha kwenye kuuliza maswali ya "cause and effect", badala ya kukuuliza kwa nini "cause and effect" ikose maana.
Unaona kabisa huyu hapa yupo kwenye bubble thinking ambayo kui penetrate ni vigumu sana.
Unaishia tu kumwambia "you cannot read with comprehension".
Kwa sababu hata maswali mazuri ya kuuliza hajui.
Lakini kumlaumu ni vigumu.
Kutafsiri hesabu za Sir Roger Penrose na Stephen Hawking kwenda kwenye lugha isiyotumia hesabu si kitu kidogo.
Ni kama uanze kumuhadithia samaki ambaye ameishi majini miaka yite, umwambie kwamba kuna sehemu kuna jangwa huko halina hata maji.
Ukakuta samaki kashayazoea sana maji, hata maji hayajui, anakuuliza "maji ni nini?".