Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Unanikataza nisikupangie cha kujibu, halafu unanipangia cha kujibu.

Una akili wewe?
Wapi?na sangapi?

I said don't try recommend what type of questions I should ask and NOT ANSWERS YOU SHOULD PROVIDE....

Narudi kwako UNA AKILI WEWE??

Answer those questions SEMA HUJUI BASI.
 
Sema tu from nothing ,na kuwa time and space was born.swali ni HOW DID THAT HAPPEN.....
Pili hulka Ya popping up ya subatomic Sawa ni valid ,OK je WHAT CAUSE THEM TO POP AND VANISH?????

POP from where???
VANISH to where???

Nipe majibu siyo blah blah za google hata vitabu library vya Hubble na wengine ni chungu mzima jibu tu hayo.
Answerssssssss???????please
 
Wapi?na sangapi?

I said don't try recommend what type of questions I should ask and NOT ANSWERS YOU SHOULD PROVIDE....

Narudi kwako UNA AKILI WEWE??

Answer those questions SEMA HUJUI BASI.

Katika bandiko moja hili hili unakataa umefanya kitu, halafu hapo hapo unafanya hilo hilo unalokataa umefanya.

Unakataa kwamba unalazimisha nikupe majibu fulani.

Halafu unalazimisha nikupe jibu kwamba sijui.

You have mental problems.
 
STILL HUJAJIBU MASWALI UNARUKA RUKA UKISHABANWA.nimesema kama huna majibu sema sina that's all end of discussion.
 
STILL HUJAJIBU MASWALI UNARUKA RUKA UKISHABANWA.nimesema kama huna majibu sema sina that's all end of discussion.
Umekubali kwamba wewe kukataa kwamba hujanilazimisha nikupe jibu fulani, halafu katika bandiko hilo hilo, ukanilazimisha nikupe jibu kwamba sijui ni kujikanganya mwenyewe kiasi kwamba ubaki usieleweke unakwenda ama unarudi?

You are contradicting yourself like a bloody idiot.

Moron.
 
Duuuuuh matusi ya nini
Mara mental problems

Mare idiot

Mara hujui kuelewa

Kwani ukijibu hayo maswali inakuaje???
 
Duuuuuh matusi ya nini
Mara mental problems

Mare idiot

Mara hujui kuelewa

Kwani ukijibu hayo maswali inakuaje???
Hayo si matusi.

Naelezea mapungufu yako tu.

Ukitaka matusi naweza kukutukana pia.

Lakini nachelea ubongo wako mdogo sana, hutaweza kuyaelewa.
 
Wapi?na sangapi?

I said don't try recommend what type of questions I should ask and NOT ANSWERS YOU SHOULD PROVIDE....

Narudi kwako UNA AKILI WEWE??

Answer those questions SEMA HUJUI BASI.
Hapa nilimaanisha you don't answer than blah blah bora useme sijui yaishe is what I meant
 
Hapa nilimaanisha you don't answer than blah blah bora useme sijui yaishe is what I meant
Your birdbrain can't even follow the logic of my answers.

I am telling you there is no division by zero in math, that produces undefined entities.

You proceed to ask me "what is one hundred divided by zero"?.

Fucking moron.
 
Hayo si matusi.

Naelezea mapungufu yako tu.

Ukitaka matusi naweza kukutukana pia.

Lakini nachelea ubongo wako mdogo sana, hutaweza kuyaelewa.
Sio matusi kwako na hata ukinitukana bado unatakiwa ujibu hayo maswali???
 
Sio matusi kwako na hata ukinitukana bado unatakiwa ujibu hayo maswali???
Wewe unajua swali ni nini na uharo ni nini?

Huu uharo unaoleta hapa ndio unaitwa swali?
 
[emoji1][emoji1][emoji1] umeniwahi

Naona kaacha jungu litokote kwanza [emoji3]

Nadhani baadae atarudi [emoji39]
Perhabs ameenda kupitia some laws n theories towards existance of deity...!
 
Wewe unajua swali ni nini na uharo ni nini?

Huu uharo unaoleta hapa ndio unaitwa swali?
0/0=1,since 1×0=0,
Is 1 not a defined entity

Sijakuuliza logic za hesabu afteral,nimekuuliza

Subatomic elements zina pop from no where and vanish to no where,je HOW and WHY do they do such a mechanism???

nataka majibu sio mahesabu ya blah gawanya kwa mia
 
Wewe kama akili yako iko huru na haijashikiliwa tuambie kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?.....Yaani kuna magonjwa, vita, kuonewa, kudhulumiwa, vimbunga, tsunami, ufisadi, utekaji, kufa,baada ya kufa kuna moto, ubakaji e. t. c?....ina maana huyo Mungu mjuzi wa vyote na mwenye huruma yote ameshindwa kuzuia haya yasitokee???!
Ameacha kuzuia kwa Makusudi ili adhihirike.

Angefanya Perfection (ukamilifu) uwepo bas pia asingeweza kudhihirika kwa Wanadamu.
 
Huwezi kuonekana Mwenye uwezo wa kushinda madhaifu kama hayo madhaifu hayapo.

Ni kama kusema wewe ni Mbabe wa kupigana pasipo kuwepo wadhaifu utakaowapiga.
 
0/0=1,since 1×0=0,
Is 1 not a defined entity

Sijakuuliza logic za hesabu afteral,nimekuuliza

Subatomic elements zina pop from no where and vanish to no where,je HOW and WHY do they do such a mechanism???

nataka majibu sio mahesabu ya blah gawanya kwa mia
Hahaaaaa.

Hahaaaaaaaa.

Hahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Go grab a book and learn that there is no division by zero in ordinary math math.

Division by zero - Wikipedia

"In mathematics, division by zero is division where the divisor (denominator) is zero. Such a division can be formally expressed as a/0 where a is the dividend (numerator). In ordinary arithmetic, the expression has no meaning, as there is no number which, multiplied by 0, gives a (assuming a≠0), and so division by zero is undefined. Since any number multiplied by zero is zero, the expression 0/0 is also undefined; when it is the form of a limit, it is an indeterminate form. "

Rudi shule ujifunze basic mathematics kabla hujaparamia mambo yaliyokuzidi kimo.
 
Ameacha kuzuia kwa Makusudi ili adhihirike.

Angefanya Perfection (ukamilifu) uwepo bas pia asingeweza kudhihirika kwa Wanadamu.
Unalazimisha tu.

Hujathibitisha.

Thibitisha.
 
Usiwe mkali HOW DID SPACE AND TIME APPEAR???
Not from the omnipresent, omniscient and all benevolent God.

That God is easily contradicted by "the problem of evil".
 
Back
Top Bottom