Wapi?na sangapi?Unanikataza nisikupangie cha kujibu, halafu unanipangia cha kujibu.
Una akili wewe?
Answerssssssss???????pleaseSema tu from nothing ,na kuwa time and space was born.swali ni HOW DID THAT HAPPEN.....
Pili hulka Ya popping up ya subatomic Sawa ni valid ,OK je WHAT CAUSE THEM TO POP AND VANISH?????
POP from where???
VANISH to where???
Nipe majibu siyo blah blah za google hata vitabu library vya Hubble na wengine ni chungu mzima jibu tu hayo.
Wapi?na sangapi?
I said don't try recommend what type of questions I should ask and NOT ANSWERS YOU SHOULD PROVIDE....
Narudi kwako UNA AKILI WEWE??
Answer those questions SEMA HUJUI BASI.
STILL HUJAJIBU MASWALI UNARUKA RUKA UKISHABANWA.nimesema kama huna majibu sema sina that's all end of discussion.Katika bandiko moja hili hili unakataa umefanya kitu, halafu hapo hapo unafanya hilo hilo unalokataa umefanya.
Unakataa kwamba unalazimisha nikupe majibu fulani.
Halafu unalazimisha nikupe jibu kwamba sijui.
You have mental problems.
Umekubali kwamba wewe kukataa kwamba hujanilazimisha nikupe jibu fulani, halafu katika bandiko hilo hilo, ukanilazimisha nikupe jibu kwamba sijui ni kujikanganya mwenyewe kiasi kwamba ubaki usieleweke unakwenda ama unarudi?STILL HUJAJIBU MASWALI UNARUKA RUKA UKISHABANWA.nimesema kama huna majibu sema sina that's all end of discussion.
Duuuuuh matusi ya niniUmekubali kwamba wewe kukataa kwamba hujanilazimisha nikupe jibu fulani, halafu katika bandiko hilo hilo, ukanilazimisha nikupe jibu kwamba sijui ni kujikanganya mwenyewe kiasi kwamba ubaki usieleweke unakwenda ama unarudi?
You are contradicting yourself like a bloody idiot.
Hayo si matusi.Duuuuuh matusi ya nini
Mara mental problems
Mare idiot
Mara hujui kuelewa
Kwani ukijibu hayo maswali inakuaje???
Hapa nilimaanisha you don't answer than blah blah bora useme sijui yaishe is what I meantWapi?na sangapi?
I said don't try recommend what type of questions I should ask and NOT ANSWERS YOU SHOULD PROVIDE....
Narudi kwako UNA AKILI WEWE??
Answer those questions SEMA HUJUI BASI.
Your birdbrain can't even follow the logic of my answers.Hapa nilimaanisha you don't answer than blah blah bora useme sijui yaishe is what I meant
Sio matusi kwako na hata ukinitukana bado unatakiwa ujibu hayo maswali???Hayo si matusi.
Naelezea mapungufu yako tu.
Ukitaka matusi naweza kukutukana pia.
Lakini nachelea ubongo wako mdogo sana, hutaweza kuyaelewa.
Perhabs ameenda kupitia some laws n theories towards existance of deity...![emoji1][emoji1][emoji1] umeniwahi
Naona kaacha jungu litokote kwanza [emoji3]
Nadhani baadae atarudi [emoji39]
Wewe unaweza kuthibitisha kuwa The Universe was from what Bingbang theory suggests?point ya kiranga ni kwamba hamuwezi kuthibitisha mungu aliumba the universe
0/0=1,since 1×0=0,Wewe unajua swali ni nini na uharo ni nini?
Huu uharo unaoleta hapa ndio unaitwa swali?
Ameacha kuzuia kwa Makusudi ili adhihirike.Wewe kama akili yako iko huru na haijashikiliwa tuambie kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?.....Yaani kuna magonjwa, vita, kuonewa, kudhulumiwa, vimbunga, tsunami, ufisadi, utekaji, kufa,baada ya kufa kuna moto, ubakaji e. t. c?....ina maana huyo Mungu mjuzi wa vyote na mwenye huruma yote ameshindwa kuzuia haya yasitokee???!
Huwezi kuonekana Mwenye uwezo wa kushinda madhaifu kama hayo madhaifu hayapo.Wewe kama akili yako iko huru na haijashikiliwa tuambie kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?.....Yaani kuna magonjwa, vita, kuonewa, kudhulumiwa, vimbunga, tsunami, ufisadi, utekaji, kufa,baada ya kufa kuna moto, ubakaji e. t. c?....ina maana huyo Mungu mjuzi wa vyote na mwenye huruma yote ameshindwa kuzuia haya yasitokee???!
Usiwe mkali HOW DID SPACE AND TIME APPEAR???Wewe unajua swali ni nini na uharo ni nini?
Huu uharo unaoleta hapa ndio unaitwa swali?
Hahaaaaa.0/0=1,since 1×0=0,
Is 1 not a defined entity
Sijakuuliza logic za hesabu afteral,nimekuuliza
Subatomic elements zina pop from no where and vanish to no where,je HOW and WHY do they do such a mechanism???
nataka majibu sio mahesabu ya blah gawanya kwa mia