Unalazimisha tu.
Hujathibitisha.
Thibitisha.
Nani kasema "Big Bang theory ndiyo chanzo cha dunia"?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
"Big bang theory ni nadharia inayoelezea jinsi gani dunia imetokea?".Bing bang theory ni nadharia inayoelezea jinsi gani dunia imetokea.
Nimesema ni kwa vipi wewe na Hawking mnaweza kuthibitisha kuwa hiyo nadharia ina ukweli ndani yake zaidi ya Creation theory?
Yani MTU anakupima ujinga wako na unajaa,dunia nzima 0/0=0......Hahaaaaa.
Hahaaaaaaaa.
Hahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Go grab a book and learn that there is no division by zero in ordinary math math.
Division by zero - Wikipedia
"In mathematics, division by zero is division where the divisor (denominator) is zero. Such a division can be formally expressed as a/0 where a is the dividend (numerator). In ordinary arithmetic, the expression has no meaning, as there is no number which, multiplied by 0, gives a (assuming a≠0), and so division by zero is undefined. Since any number multiplied by zero is zero, the expression 0/0 is also undefined; when it is the form of a limit, it is an indeterminate form. "
Rudi shule ujifunze basic mathematics kabla hujaparamia mambo yaliyokuzidi kimo.
Katika ordinary arithmetic, division by zero imekatazwa.Yani MTU anakupima ujinga wako na unajaa,dunia nzima 0/0=0......
I just wanted to see how smart you are kumbe hewa
Any number divide by itself is one,is 0 a number or not,if yes then 0/0=1,since in proving 1 multiply 0=0,........
Jibu maswali yangu?????
Imekatazwa na nani??Katika arithmetic, division by zero imekatazwa.
Kama hujaelewa hilo, siwezi kushangaa unaamini ujinga mwingine wowote.
Hata kusoma hujui.
Hujasoma ulichonukuu.
Ungesoma ungeona 0/0 is undefined.
Unajua kusoma kwa ufahamu?Imekatazwa na nani??
Umejuaje huu ni ujinga na si maarfa ya dimension tofauti??
Subatomic elements zina pop up na kuvanish,can you explain to me HOW AND WHY THEY DO SUCH A MECHANISM???
jibu swali kwanza .......
"Big bang theory ni nadharia inayoelezea jinsi gani dunia imetokea?".
Una hakika unaelewa ulichoandika, wewe mwenyewe?
Hjyo post yangu uliyoinukuu umeielewa?● Hahaha...tatizo lako Kiranga ni kuwa :-
1) Hutaki ionekane kuwa umeshindwa hoja, hata kama kweli umeshindwa au umeshindwa kuleta facts.
2) Kuna maswali ukiulizwa Unapanic haswaaa badala ya kuargue critically and in a polite way to reach a conclussion.
◆ Unakuwa mkali kwa baadhi ya logical questions unazoulizwa na hilo limedhihirika kwenye replies zako kwa some members hapo juu.
◆Ndio maana kuna mmoja amesema it could be better to argue with Hawking himself than you who quoted him....because you complicate things.
That's all broh....!
...×........×........×........×........×........×....
Therefore its UNDEFINED .....Unajua kusoma kwa ufahamu?
Nilikuambia don't estimate my thinking kwa njia zako za panya,hujajibu hata swali moja unaruka ruka tu.......Ukiwa hujui kusoma kwa ufahamu, hata "therefore" utaijuaje?
Jibu unataka mara ngapi?Nilikuambia don't estimate my thinking kwa njia zako za panya,hujajibu hata swali moja unaruka ruka tu.......
HOW DO THEY POP UP AND VANISH AND WHY DO THEY DO SO ???
nataka jibu ............
Ila una moyo aisee!
Si wengine hatukawii kuchoka na kumwacha mtu aendelee na anachoakiamini.
"Blurst" ni kitu gani?
Kama hujui hata spelling kwa nini nikuchukulie seriously kwenye mijadala ya mambo yaliyokuzisi kimo?
Hakuna sehemu iliyo state how they pop up and disappear,hence bringing the question back how and why????Jibu unataka mara ngapi?
Nikikujibu tena, unajua kusoma ukalielewa?
Nimekuandikia habari za ku reconcile Einstein's Relativity na Quantum Pbysics.
Uliziona? Ulizisoma? Ulizielewa? Ulizijibu?
Sijaona popote ulipojibu post ile.
Unaniambia nikujibu maswali ambayo nishakujibu na wewe mwenyewe ndiye hujaelewa majibu?