Mungu yupo kimawazo full stop.Mungu yupo kimawazo fully stop..
Hakamatiki, hashikiki, haonekani kwa macho Bali anajengwa mawazoni, hasemi japo kuna watu husema wanaongea nae au kimaandiko...
Kumjua yupo au hayupo imekuwa ni personal issue ni maandiko kitabuni...
Kama huwezi kufafanua ulichouliza kwa kujibu maswali yangu, hujauliza swali, umeshindwa kuuliza swali.
Sasa nitajibu vipi swali ambalo umeshindwa kuuliza?
Gashi ole nchilochilo gete ango?
Tuachane na hayo ya kutishika au kutokutishika kwani si maudhui ya mjadala huu,Kwa nini unaona nimetishika na una ushahidi gani wa kuthibitisha hilo kwa kina kiasi cha kukuridhisha kwamba nimetishika na si mawazo yako tu yanayoona nimetishika?
"Mungu asiye na uungu" is an oxymoron.
Alikuwa anamaanisha Stablility siyo RigidityHata Galileo Galilei aliposema dunia inazunguka jua, na si kweli kwamba jua linazunguka dunia kama kanisa na Biblia inavyosema, aliambiwa kakufuru. Akafungiwa nyumbani kwake baada ya kuomba msamaha bila sababu ili tu asiuawe.
Biblia inasema Mungu ameisimamisha dunia, haizunguki. Hilo tu linatakiwa kukuonesha Biblia imeandikwa na watu, si Mungu. Tena watu ambao hawakuwa na elimu ya kujua dunia inazunguka.
Miaka 350 baadaye, kanisa katoliki limeomba msamaha na kusema Galileo alikuwa sawa.
Galileo alikuwa mbele zaidi ya kanisa katika kujua ukweli, kwa kutumia majaribio ya kisayansi.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na habari za kuwapo huyo Mungu si hadithi za watu tu?
Habari ya kanisa kuomba radhi kwa kumhukumu Galileo kimakosa iliandikwa na The New York Times hapa chini.
Wengine mpaka leo tunahukumiwa kimakosa na wanadini kama alivyohukumiwa Galileo. Labda miaka 350 ijayo watu wataelewa ukweli.
Mistari ya Biblia inayosema dunia haizunguki.
1 Chronicles 16:30: "He has fixed the earth firm, immovable."
Psalm 93:1: "Thou hast fixed the earth immovable and firm ..."
Psalm 96:10: "He has fixed the earth firm, immovable ..."
Psalm 104:5: "Thou didst fix the earth on its foundation so that it never can be shaken."
Isaiah 45:18: "...who made the earth and fashioned it, and himself fixed it fast
The earth is not stable.Alikuwa anamaanisha Stablility siyo Rigidity
Allah, Yehova, Ahura Mazda, Krishna, Zeus, Shiva, Athena, Apollo, Horus, na wengine wengi kama hao.
Kama unasema Mungu yupo, thibitisha.
Na kabla ya kuthibitisha, define Mungu ni nini kwako ili tunapojadiliana tuwe pamoja.
Mungu yupo kimawazo full stop.
Hakamatiki. Hashikiki. Haonekani kwa macho.
Kwa sababu hayupo popote zaidi ya kwenye mawazo.
Mungu ni nini/ nani? Ili kusema "huyu ni Mungu" inabidi awe na sifa gani?
Kuna kitu wengi humu hamjamuelewa KIRANGA. Anachofanya ndicho walichofanya wanafalisafa wengi wa karne za nyuma sana. Sidhani kama Kiranga anapinga Uwepo wa Mungu, nadhani anachotafuta ni UKWELI.'' IF YOU WANT TO KNOW THE TRUTH, YOU MUST DOUBT EVERYTHING, EVEN THE TRUTH MUST BE DOUBTED''.
Unaelewa kwamba kumuliza mtu "Mungu ni nini?" si sawa na kusema "Simjui Mungu" na kuchanganya haya mawili kuona ni kitu kimoja ni kuonesha utapiamlo wa akili ulionao?Sasa kama humjui Mungu,kwanini unamzungumzia na kupinga kutokuwepo kwake ?
Hivi huwa unatumia nini kufikiri ? Mpaka hili dogo linakushinda ?
Unaelewa kwamba kumuliza mtu "Mungu ni nini?" si sawa na kusema "Simjui Mungu" na kuchanganya haya mawili kuona ni kitu kimoja ni kuonesha utapiamlo wa akili ulionao?
Unaelewa Socratic method ni nini?
You are an incurious imbecile, a calcified cretin and an ignoble ignoramus.Nacheka sana,huwezi kutofautisha kauli hizo mbili sababu zote zinaingia katika maana moja,kauli ya kwanza ni swali la kutaka kujua na kauli ya pili ni kuweka bayana au tamayizi au kuelezea na kukiri.
Sasa tatizo lipo kwako usie weza kutoa maana moja katika swali na kauli ya kukiri,hali ya kuwa viwili hivyo ni sawa.
Socrates Method sina haja ya kuijua,sababu kujua kwake na kutokuijua ni sawa. Naweza kukuuliza moja tu ambalo najua hutaweza kulijibu,achilia mbali kuhusu Socrates Method,lakini hapa nakuuliza swali,kwanini hutilii shaka uwepo wa Socrates wakati hujawahi kumuona zaidi ya kusikia habari zake ? Lakini je nikikuuliza swali unithibitishie kama Socrates aliwahi kuishi duniani unaweza kufanya hivyo ?
Nipo ....
You are an incurious imbecile, a calcified cretin and an ignoble ignoramus.
I don't see the point of wasting my time with you.
You are an incurious imbecile, a calcified cretin and an ignoble ignoramus.
I don't see the point of wasting my time with you.
Ila kaa ukijua una deni toka kwangu,yaani nakudai.
Siku nyingine usiwe muoga namna hii.
You are an incurious imbecile, a calcified cretin and an ignoble ignoramus.
I don't see the point of wasting my time with you.
Wewe si ulikufa mkuu?!
Kwa nini swali liwe "who" is the designer?
Kwa nini umeweka "who" ?
Huoni kwamba umeuliza swali kwa kulenga jibu fulani?
Huoni kwamba umeuliza swali kwa kulenga jibu fulani?
Umeamka umekuta jani la muembe liko mlangoni mwako.
Hujui kama jani la muembe limewekwa na mtoto hapo mlangoni mwako, limewekwa na kichaa, limewekwa na mbwa au limepeperushwa na upepo tu.
Unauliza, mtoto gani kaweka hili jani la muembe mlangoni mwangu?