Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe nawe unaamini habari za flat earth?
Hawa unaweza kuwapeleka International Space Station wakabisha, wakasema dunia si sphere kama mpira, bali ni bapa la mviringo kama shilingi.Anatakiwa siku moja aende internationa space station ajionee mwenyewe live kwa macho yake vile earth ilivyo spherical!
Hahahaha!!! Jamaa anaangusha chama siyo..Daah mkuu mi naamini uwepo wa Mungu
Ila hapa kwenye flat earth unatuangusha kiongoz sio kidogo
Hafu unafanya sisi tunaomwamini Mungu tuonekane maboya
Unajua watu hawataki kubshana na wewe kuhusu flat earth
Maana ni too childish , hata mm nmeona aibu
Sory mkuu , tuko pmj katka uwepo wa mungu
Cc 😡kiranga
Kuamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu factually, na kuamini the earth is flat, kimsingi, tofauti yake ni ndogo sana.Daah mkuu mi naamini uwepo wa Mungu
Ila hapa kwenye flat earth unatuangusha kiongoz sio kidogo
Hafu unafanya sisi tunaomwamini Mungu tuonekane maboya
Unajua watu hawataki kubshana na wewe kuhusu flat earth
Maana ni too childish , hata mm nmeona aibu
Sory mkuu , tuko pmj katka uwepo wa mungu
Cc 😡kiranga
na hoja ya msingi hapa ni kwamba sayansi ina makosa hivyo si njia sahihi ya kutafuta majibu. Kwa kulijua hilo ume prefer vitabu vya dini na imani kiujumla kwamba ndio njia sahihi ya kuufikia ukweli, so kabla ya kuikubali njia hii tunatakiwa tuipime kama ina makosa ili tusipoteze muda kuitumia katika kutafuta majibu sahihi kwasababu tushajua kua mafundisho ambayo yamekosewa au yanamokosa ndani yake hayawezi kutoa jibu la uhakika.Mkuu, hapa tunazungumza kuhusu DINI-IMANI vs SAYANSI.
Imani ni kuamini kitu kipo bila evidenceIli kufikia hitimisho kwa jambo lolote la Kidini mfano katika Biblia Imani inatumika kuliko hoja.
Hitimisho gani zuri katika kutafuta ukweli kati ha hayo mawili?Ili kufikia hitimisho kwa jambo lolote la Kisayansi, majaribio na hoja zinatumika kuliko imani ndipo tunafikia hitimisho.
Nami nataka nielewe vizuri ipi njia bora ya kujua ukweli wa jambo kwa uhakika? kati ya imani ambayo haina majaribio yanayoweza kuchunguzwa ili kufikia hitimisho lenye majibu ya maswali au sayansi yenye kufata kanuni hiyo ya majaribio ambayo yameambatana na uthibitisho???So nikutake uelewe hilo kuanzia sasa.
Kuelewa kwamba hueleweki, nimeelewaMaelezo niliyokupa kwa mtu mwelewa, yanajitosheleza kabisa.
Kama isivyowezekana nyoka kuzungumza na adam na evaKwa mfano, Tofaa (Apple) kudondoka toka kwenye mti hadi chini inaleta Mantiki kwamba kuna kani inaitwa Gravity? Hayo maelezo yanajitosha?
Hayajitoshi kwa vipimo gani? Hapa kipimo ni uhalisia katika kufananisha mamboKwangu Mimi hayajitoshi, na ndio maana naandika kitabu kuonesha namna Sayansi imetufanya wajinga kwa muda mrefu.
Tukio lililotokea pale Eden, haliwezi kuwa na shaka, kwa mfano nikikuuliza kwanini Mashariki ya kati ndiko mafuta mengi yanapatikana, Jibu unalo? Kwanini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu factually, na kuamini the earth is flat, kimsingi, tofauti yake ni ndogo sana.
Zote ni imani ambazo hazina msingi katika logical reasoning.
Ina a way bora huyo anayeamini flat earth kaamua kuamini ujinga moja kwa moja, kuliko huyu anayeamini ujinga wa Mungu halafu anakataa ujinga wa flat earth.
Ukiamini Mungu wa kwenye Biblia, imeandikwa kwenye Biblia Mungu hapendi wavuguvugu, atawatapika.
Kama unaamua kuamini ujinga, amini ujinga all the way ukubali the earth is flat.
Yani nikose hata pa kuanzia mjadala nawe.
Sio unaamini ujinga nusu (Mungu) unpinga ujinga nusu (flat earth).
"MUNGU" .Bado unaswali jigine?.Hayo ni mawazo yako. Una haki ya kikatiba kuwa na mawazo yako, na mimi natetea haki yako ya kikatiba kuwa na mawazo yako na kujieleza.
Lakini wewe na huyo Zurri wako wote hamjaweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa sababu hayupo. Ndiyo maana maelezo ya kuwepo kwake yana contradiction.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo na ondoa contradictions nilizoonesha zipo katika dhana ya kuwepo Mungu huyu.
Ukishindwa haya mawili, nakuona mpiga soga tu usiyejua mbele wala nyuma.
Thibitisha, usipihe soga tu bila uthibitisho.
Hayo ni mawazo yako. Una haki ya kikatiba kuwa na mawazo yako, na mimi natetea haki yako ya kikatiba kuwa na mawazo yako na kujieleza."MUNGU" .Bado unaswali jigine?.
Ukishajua tu kuwa unajadiliana na mtu wa DINI hasa Uislamu na Ukristo.Inakulazimu kutambua kuwa misingi ya kukubali Jambo au kutolikubali,ni kupitia MACHO, MDOMO,PUA,MASIKIO,NGOZI NA AKILI.Wewe nawe unaamini habari za flat earth?
Kwa nini mpaka niende na isiwe hapa nilipo?.Anatakiwa siku moja aende internationa space station ajionee mwenyewe live kwa macho yake vile earth ilivyo spherical!
Kwa heri, straight to ignore list.Ukishajua tu kuwa unajadiliana na mtu wa DINI hasa Uislamu na Ukristo.Inakulazimu kutambua kuwa misingi ya kukubali Jambo au kutolikubali,ni kupitia MACHO, MDOMO,PUA,MASIKIO,NGOZI NA AKILI.
Hivyo mimi naamini katika dunia tambarare.
Wewe ndiye umeshindwa kuthibitisha kama MUNGU hayupo.Maana unamjadili kila uchao alafu unasema "HAYUPO"!?.Hayo ni mawazo yako. Una haki ya kikatiba kuwa na mawazo yako, na mimi natetea haki yako ya kikatiba kuwa na mawazo yako na kujieleza.
Lakini wewe na huyo Zurri wako wote hamjaweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa sababu hayupo. Ndiyo maana maelezo ya kuwepo kwake yana contradiction.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo na ondoa contradictions nilizoonesha zipo katika dhana ya kuwepo Mungu huyu.
Ukishindwa haya mawili, nakuona mpiga soga tu usiyejua mbele wala nyuma.
Thibitisha, usipihe soga tu bila uthibitisho.
The same applies to you!.Kwa heri, straight to ignore list.
dah
Mshikaji kaonyesha ana uwezo mdogo sana
Nimeona hadi ai
Empty and rubbish mindsetUmeona aibu sababu huna uwezo wa kuchakata taarifa.
Nimetoa hoja zangu hapo na wewe toa mchango wako sio umeona aibu, hakuna mtu mzima kasaula humu.
Hakuna kitu kama Spherical Earth, dunia ni flat.
Straight to ignore list, siku hizi hii ndiyo itakuwa litmus test ya kuamua kama naendelea kujadiliana na mtu au nampeleka ignore list.Umeona aibu sababu huna uwezo wa kuchakata taarifa.
Nimetoa hoja zangu hapo na wewe toa mchango wako sio umeona aibu, hakuna mtu mzima kasaula humu.
Hakuna kitu kama Spherical Earth, dunia ni flat.
Una uhakika nipo Africa !Ati course work asa we na PhD yako umefanya nini zaidi ya kuongeza idadi ya wasomi wasiokuwa na tija kwa Africa?
Mende kweli, natamani ungekuwa pembeni yangu, yani ningekumeza!
Na ukome kutukana watu usiowajua.
Huyu ni mjingaStraight to ignore list, siku hizi hii ndiyo itakuwa litmus test ya kuamua kama naendelea kujadiliana na mtu au nampeleka ignore list.
It's one thing to listen to dissenting opinions, quite another to entertain sheer lunacy.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika, nakuweka ignore list.
Na unaaminiPhd yako kafanyie udobi Kobe wewe.
Eti PhD, fala kweli bwege wewe...!
Unahisi matusi wengine ndo hatuyajui?
Wewe sio mpumbavu tu, yani wewe ni taahira kabisa, upo Bibi Swalehe?