Hao wanaotaka uthibitisho wa kinachosemwa hakipo sidhani kwamba hata maana ya uthibitisho wanaielewa.
Kwanza naona uwaulize watoe definition yao ya uthibitisho.
HahahaHao wengine ni flat earthers sijadiliani nao hata wanachoandika sioni.Nilishawaweka kwenye ignore list.
Nitaanzaje kubishana na mtu anayesema the earth is flat huu mwaka 2019?
Siwezi kukulazimisha kuelewa ndo maana umekimbia hoja ya msingi ya Big bang...Period and out
Huyo Ngoswe unayetaka hawe na simu! Ni Ngoswe mpya au yule ambaye hakuwahi kutumia simu katika uhai wake?.Maana hata baba yangu aliyeishi miaka ya 1920 hadi 1985,hakuwa na simu.Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?
Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.
Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.
Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Umeambiwa thibitisha uwepo wake. ..Lakini mpaka hii leo bado unashindwa
Ngoswe alishakufa kitambo Sana kama ilivyo kwa huyu Stephen Hawking.Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?
Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.
Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.
Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Kiranga nimegundua hata wewe mwenyewe huelewi unachokishikilia.
Ni kwamba Mungu kuumba dunia iliyo na mabaya hakumfanyi Yeye kutokuwepo.
Na inaelekea unabishana wewe kwa wewe huko uliko, na ndicho nimegundua.
Hapa una hubiri hauja thibitisha kuwa mungu yupo --.....Asante sana,sijawahi kushindwa kufanya hivyo,ila aliyeko dhidi yetu ndio ameshindwa kuonyesha kutokuwepo kwake.
Maarifa yanapatikana kwa njia hizi :
1. Milango ya fahamu.
2. Akili
3. Ufunuo.
Unaweza kutambua uwepo wa aliyeumbwa asie kuwa na chanzo kwa kutumia nyenzo hizo tatu hapo juu.
Mathalani kama "Simu" unayoitumia leo hii imekuwepo kabla ya kutokuwepo kwake kwa kusanifiwa na mjuzi wa jambo hilo,basi kwa binadamu na vilivyomo ni bora zaidi kuwa na chanzo.
Katika maumbile najua tulitoka kitambo sana. Lakini wakana Mungu wa leo wamejikita katika jambo moja ambalo ni dogo sana jambo lao wanaliita "The Problems of evil" huku sasa ndipo walipojificha lakini kwa hakika ni wao hawautaki tu ukweli,limekuja hili baada ya wao kushindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola muumba katika chanzo cha maisha na mfano wake.
Lakini ukanaji wao huu umejengeka katika ujinga na wasi wasi tele,nakupa wewe mfano tu mdogo kisha nitakupa ufafanuzi.
"Najua ishawahi kukutokea ya kuwa,unafanya jambo fulani ambalo unajua kabisa jambo hili ukilifanya lina madhara lakini unalifanya,na ukilifanya kweli unapata madhara". Hivi hapa nani wa kulaumiwa ?
Huo ni mfano tu wa kuanzia,nimeamua kukuanzia mbali labda hnaweza kuelewa.
Tofauti na kina Kiranga kwao kumkana Mola muumba ni imani na ajabu imani yao haijangeka katika misingi ya kielimu bali ni ujinga. Na kufikiri kwao ni kufikiri kwa kitoto sana na nusu nusu.
Mathalani hivi hii dunia ingekuwaje tu kwamba waouvu wasije kuhukumiwa au mafisadi wasije kuhukumiwa au waonevu wasije kuhukumiwa ?
Naendelea ....
Asante sana.
Akikujibu naomba ni tag.
Habari ya kusema kwamba kila kinachotajwa kipo, itamaanisha kwamba, ukiwa na mvulana B mwenye miaka 10 ambaye ni mtoto wa kuzaliwa na mwanamme A, mwenye miaka 40, kisha ukasema mvulana B mwenye miaka 10 ni baba yake mzazi wa mwanamme A mwenye miaka 40, ile kusema hivyo tu kutamfanya mvulana B mwenye miaka 10 awe baba wa mwanamme B mwenye miaka 40.
Ndicho tunachoambiwa hapa, kwamba chochote utakachoweza kusema kipo, kwa sababu kisingekuwepo, usingeweza kukisema.
Tunaambiwa mvulana wa miaka 10 anaweza kuwa baba mzazi.wa mwanamme mwenye miaka 40.
Kwa sababu tumeweza kusema hilo tu. Ingekuwa hilo haliwezekani, tusingeweza kulisema.
Ndiyo ujinga tulioambiwa hapa.
Hili swali Lina kusubiri @zurri
Na unaamini
Mungu yupo , wewe ni mjinga tena ni mjinga wa kiwango cha lami
Nimekuweka kwenye ignore list
Sina haja ya kubishana na wewe hata kidogo
Hapa una hubiri hauja thibitisha kuwa mungu yupo --.....
Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu ---muweza wa yote -upendo kwa wote -ujuzi wa yote kuwa yupo?
"Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia".Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?
Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.
Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.
Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Hapa una hubiri hauja thibitisha kuwa mungu yupo --.....
Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu ---muweza wa yote -upendo kwa wote -ujuzi wa yote kuwa yupo?
Can we create singularity in physics Lab? Is this a valid question wang'uana?
Huyu ndiye Kipepe.Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?
Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.
Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.
Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Well and good experimenter was beyond event horizon ,he survived to tell the tale!Artificial black hole created in lab – Physics World
Opportunity to detect much-sought Hawking radiationphysicsworld.com