Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Hili swali Lina kusubiri @zurri
Hao wanaotaka uthibitisho wa kinachosemwa hakipo sidhani kwamba hata maana ya uthibitisho wanaielewa.

Kwanza naona uwaulize watoe definition yao ya uthibitisho.
 
Hili swali Lina kusubiri @zurri
Hao wengine ni flat earthers sijadiliani nao hata wanachoandika sioni.Nilishawaweka kwenye ignore list.

Nitaanzaje kubishana na mtu anayesema the earth is flat huu mwaka 2019?
 
Hahaha
 
Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?

Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.

Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Huyo Ngoswe unayetaka hawe na simu! Ni Ngoswe mpya au yule ambaye hakuwahi kutumia simu katika uhai wake?.Maana hata baba yangu aliyeishi miaka ya 1920 hadi 1985,hakuwa na simu.
 
Umeambiwa thibitisha uwepo wake. ..Lakini mpaka hii leo bado unashindwa

Asante sana,sijawahi kushindwa kufanya hivyo,ila aliyeko dhidi yetu ndio ameshindwa kuonyesha kutokuwepo kwake.

Maarifa yanapatikana kwa njia hizi :
1. Milango ya fahamu.
2. Akili
3. Ufunuo.

Unaweza kutambua uwepo wa aliyeumbwa asie kuwa na chanzo kwa kutumia nyenzo hizo tatu hapo juu.

Mathalani kama "Simu" unayoitumia leo hii imekuwepo kabla ya kutokuwepo kwake kwa kusanifiwa na mjuzi wa jambo hilo,basi kwa binadamu na vilivyomo ni bora zaidi kuwa na chanzo.

Katika maumbile najua tulitoka kitambo sana. Lakini wakana Mungu wa leo wamejikita katika jambo moja ambalo ni dogo sana jambo lao wanaliita "The Problems of evil" huku sasa ndipo walipojificha lakini kwa hakika ni wao hawautaki tu ukweli,limekuja hili baada ya wao kushindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola muumba katika chanzo cha maisha na mfano wake.

Lakini ukanaji wao huu umejengeka katika ujinga na wasi wasi tele,nakupa wewe mfano tu mdogo kisha nitakupa ufafanuzi.

"Najua ishawahi kukutokea ya kuwa,unafanya jambo fulani ambalo unajua kabisa jambo hili ukilifanya lina madhara lakini unalifanya,na ukilifanya kweli unapata madhara". Hivi hapa nani wa kulaumiwa ?

Huo ni mfano tu wa kuanzia,nimeamua kukuanzia mbali labda hnaweza kuelewa.

Tofauti na kina Kiranga kwao kumkana Mola muumba ni imani na ajabu imani yao haijangeka katika misingi ya kielimu bali ni ujinga. Na kufikiri kwao ni kufikiri kwa kitoto sana na nusu nusu.

Mathalani hivi hii dunia ingekuwaje tu kwamba waouvu wasije kuhukumiwa au mafisadi wasije kuhukumiwa au waonevu wasije kuhukumiwa ?

Naendelea ....
 
Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?

Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.

Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Ngoswe alishakufa kitambo Sana kama ilivyo kwa huyu Stephen Hawking.
 
Hivi unaelewa Mantiki ya maneno haya

Mungu muweza wa yote
Mjuzi wa yote
Mwenye upendo kwa wote '... Hizo ndio figure ambazo Zina mfanya huyo mungu wenu aonekane kuwa ni wakufikirika. ..

Mungu angekuwa ni muweza wa yote. .asingeumba dunia ambayo ina mapungufu kibao ..ikiwemo matetemeko. Maradhi. Njaa. Kifo. Na majanga ya kila Aina. ..uwepo wa hivyo vyote inadhihirisha kuwa maandiko yanayo tu taka tutambue kuwa mungu ni muweza wa yote Yana jipinga yenyewe -kwa sababu kama angelikuwa nimuweza wa yote kweli asingeiumba dunia yenye mapungufu kiasi hicho. ..

Mungu angekuwa ni mjuzi wa yote -- asinge muumba shetani wakati anajua kuwa atakuja kumsaliti " asinge wa agiza Adamu na Eva kuto kula tunda wakati anajua fika kuwa hawatoweza kuitekeleza amri yake --..Angekuwa ni mjuzi wa yote Asinge shindwa kuiumba dunia yenye mapungufu kiasi hiki ---

Mungu angekuwa ni mwenye upendo kwa wote ---asinge kuwa ana ya acha Mataifa yenye nguvu yazipige vita Mataifa dhaifu. .asinge acha matetemeko ya waue watu. ...wakiwemo watoto ambao hawana makosa yeyote. .......ilhali wakati huo huo Kuna watu wa Mataifa mengine wapo kwenye furaha -- hapo mantiki ya upendo wake kwa wote iko wapi --hauoni hapo hayo maandiko yanaonyesha kumpachika mungu sifa ambazo hana "" wakati binaadamu wengine Wana kufa kwa Njaa wengine Wana kula na kusaza '' ina maana huyu mungu ana double standard ---!!? Kama jibu ni ndio? Je huo upendo wake kwa wote uko wapi? ?

Je tukisema kuwa mungu hayupo kutokana na hizo sifa mnazo mpachika kutokuwa nazo itakuwa tunakosea? ?

So---Hivi hapo Mnacho shindwa haswa kumuelewa kiranga ni nini? ? Hamuoni kuwa vitabu vyenu vina muhubiri mungu ambaye ambaye hayupo na vitabu vyenu vinajipinga vyenyewe kudhihirisha hilo
Kiranga nimegundua hata wewe mwenyewe huelewi unachokishikilia.

Ni kwamba Mungu kuumba dunia iliyo na mabaya hakumfanyi Yeye kutokuwepo.

Na inaelekea unabishana wewe kwa wewe huko uliko, na ndicho nimegundua.
 
Asante sana,sijawahi kushindwa kufanya hivyo,ila aliyeko dhidi yetu ndio ameshindwa kuonyesha kutokuwepo kwake.

Maarifa yanapatikana kwa njia hizi :
1. Milango ya fahamu.
2. Akili
3. Ufunuo.

Unaweza kutambua uwepo wa aliyeumbwa asie kuwa na chanzo kwa kutumia nyenzo hizo tatu hapo juu.

Mathalani kama "Simu" unayoitumia leo hii imekuwepo kabla ya kutokuwepo kwake kwa kusanifiwa na mjuzi wa jambo hilo,basi kwa binadamu na vilivyomo ni bora zaidi kuwa na chanzo.

Katika maumbile najua tulitoka kitambo sana. Lakini wakana Mungu wa leo wamejikita katika jambo moja ambalo ni dogo sana jambo lao wanaliita "The Problems of evil" huku sasa ndipo walipojificha lakini kwa hakika ni wao hawautaki tu ukweli,limekuja hili baada ya wao kushindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola muumba katika chanzo cha maisha na mfano wake.

Lakini ukanaji wao huu umejengeka katika ujinga na wasi wasi tele,nakupa wewe mfano tu mdogo kisha nitakupa ufafanuzi.

"Najua ishawahi kukutokea ya kuwa,unafanya jambo fulani ambalo unajua kabisa jambo hili ukilifanya lina madhara lakini unalifanya,na ukilifanya kweli unapata madhara". Hivi hapa nani wa kulaumiwa ?

Huo ni mfano tu wa kuanzia,nimeamua kukuanzia mbali labda hnaweza kuelewa.

Tofauti na kina Kiranga kwao kumkana Mola muumba ni imani na ajabu imani yao haijangeka katika misingi ya kielimu bali ni ujinga. Na kufikiri kwao ni kufikiri kwa kitoto sana na nusu nusu.

Mathalani hivi hii dunia ingekuwaje tu kwamba waouvu wasije kuhukumiwa au mafisadi wasije kuhukumiwa au waonevu wasije kuhukumiwa ?

Naendelea ....
Hapa una hubiri hauja thibitisha kuwa mungu yupo --.....

Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu ---muweza wa yote -upendo kwa wote -ujuzi wa yote kuwa yupo?
 
Hahaha
Asante sana.

Akikujibu naomba ni tag.

Habari ya kusema kwamba kila kinachotajwa kipo, itamaanisha kwamba, ukiwa na mvulana B mwenye miaka 10 ambaye ni mtoto wa kuzaliwa na mwanamme A, mwenye miaka 40, kisha ukasema mvulana B mwenye miaka 10 ni baba yake mzazi wa mwanamme A mwenye miaka 40, ile kusema hivyo tu kutamfanya mvulana B mwenye miaka 10 awe baba wa mwanamme B mwenye miaka 40.

Ndicho tunachoambiwa hapa, kwamba chochote utakachoweza kusema kipo, kwa sababu kisingekuwepo, usingeweza kukisema.

Tunaambiwa mvulana wa miaka 10 anaweza kuwa baba mzazi.wa mwanamme mwenye miaka 40.

Kwa sababu tumeweza kusema hilo tu. Ingekuwa hilo haliwezekani, tusingeweza kulisema.

Ndiyo ujinga tulioambiwa hapa.
 
Hili swali Lina kusubiri @zurri

Nimeanza kukujibu swali lako. Ithibati au kuthibitisha ni kuonyesha kwa kauli au vitendo kutokuwa na shaka juu ya jambo lolote katika uhalisia wake.

Na kuna nyenzo za kupokea ithibati,na hivi nimevitaja huko juu.

Sasa naomba umuulize Kiranga swali hili kwake yeye uthibitisho ni nini ?

Pili,muulize hivi imekuwaje mpaka kumekuwa na maisha ?

Ukweli ni kwamba Kiranga ananiogopa ndio maana ameni "ignore" kama anavyo jinadi kwa maana nyingine nina athari kwake na kama nisingekuwa na athari angenipuuza kwa njia iliyo bora zaidi. Ila kilicho andikwa kimeandikwa.

Naendelea kukuthibitishia uwepo wa Mola asie takiwa kuwa na chanzo.

Katika njia au nyenzo za kupokea maarifa,kuna ufunuo,huu huwa unatoka kwa mwenyewe aliye umba,jalia labda useme hayupo,lakini swali hili katika aya hii lina maana sana :

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Je ni kweli sisi tumetokea pasi kitu chochote au sisi wenyewe ndio tumejiumba ?

Naendelea ....
 
Hapa una hubiri hauja thibitisha kuwa mungu yupo --.....

Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu ---muweza wa yote -upendo kwa wote -ujuzi wa yote kuwa yupo?

Kuhubiri hakuna maana ya kutokuthibitisha. Labda kama husomi maelezo yangu vizuri. Nimekwambia unapata maarifa kupitia njia tatu milango ya fahamu,akili na ufunuo.

Sasa nikasema na kukupa mfano wa simu yako unayoitumia,vipi asili yake ni wapi ? Je ni si chochote au simu imeji
 
Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?

Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.

Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
"Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia".

Sasa thibitisha kama Mungu hayupo kwenye uhalisi.
 
Hapa una hubiri hauja thibitisha kuwa mungu yupo --.....

Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu ---muweza wa yote -upendo kwa wote -ujuzi wa yote kuwa yupo?

Kuhubiri hakuna maana ya kutokuthibitisha. Labda kama husomi maelezo yangu vizuri. Nimekwambia unapata maarifa kupitia njia tatu milango ya fahamu,akili na ufunuo.

Sasa nikasema na kukupa mfano wa simu yako unayoitumia,vipi asili yake ni wapi ? Je ni si chochote au simu imejitengeneza yenyewe ?

Jaribu kuwa unasoma huku unatafakari.

Kama mjadala wa kumkana Mola usingekuwa ni dini au imani ya watu fulani,bila shaka kusingekuwa na mwenye kukana au kutilia shaka uwepo wa Mola wetu.
 
Can we create singularity in physics Lab? Is this a valid question wang'uana?
 
Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?

Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.

Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Huyu ndiye Kipepe.
Kipepe%2B6.jpeg

Swali jingine?.
 
Back
Top Bottom