"contradiction" Ndiyo nini?.
Ukianacho wewe kuwa ni contradiction, kwangu mimi siyo contradiction.
Unawezaje sasa kunifanyia maamuzi ya kwamba hiki kipo hivi ili hali kwangu mimi hakipo hivyo?.
Lakini Mungu akaamua kuumba ulimwengu ambao mtu anaweza kwenda motoni.
Kwa nini kaamua kuumba ulimwengu ambao watu wengi sana wataenda motoni na hakuamua kuumba ulimwengu ambao hakuna mtu atakayeenda motoni?
Ukishajua square root ya mbili ni ndogo kuliko mbili, jibu lolote lililo zaidi ya mbili utajua si la kweli, hata kama hujui square root ya mbili ni nini.
Sasa dini inatuambia square root ya 2 ni 9 (contradiction). Tukiuliza imepatikanaje? Mbona hesabu zimeharibiwa hapa? Tunaambiwa akili ya Mungu huwezi kuijua wewe.
Ukiuliza, mnajuaje huyo Mungu yupo na si hadithi tu? Hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu yupo.
Dini ina contradictions zinazoonesha ina diverge kutoka ukweli. Sayansi, hata kama haina picha kamili ya ukweli leo, inaelekea kwenye direction ya ukweli na ina narrow down on that.
Tatizo la waumini wengi, hususan hawa wanaochangia humu, ni wanaonekana kama hawajui 'imani' ni nini katika muktadha wa dini.
Kwa sababu, kama wangekuwa wanajua 'imani' ni nini katika muktadha wa dini zao, sidhani kama hii mijadala ingekuwa inajirudia rudia hivi.
Kwangu mimi, uzuri wa sayansi si kwamba ina majibu yote, au inahodhi ukweli wote, au haiwezi kushindwa.
Wewe ulipewa free will ya kuchagua uzaliwe wapi,mwenye jinsia gani,na wazazi gani,wenye uwezo gani kimaisha,wenye magonjwa ya kurithi au laa,wakati gani na uwe na kipaji kipi?
Watu wanaozaliwa vilema nao walipewa free will na Mungu ya kuzaliwa na ulemavu huo ama walilazimishwa wawe hivyo kabla hata ya kuzaliwa?.
Unafikiri wanaozaliwa vipofu,viwete,viziwi wenye mitindio ya ubongo na waliopungukiwa viungo vya mwili huku wengi wao wakija kuishi maisha ya tabu, wangekuwa na free will wangechagua kuzaliwa hivyo?
Kama kweli free will ipo kwa nini tunatishiana mamoto na kuzamishana kwenye magharika ya Nuhu?
Kwa nini hiyo free will iwe ktk mema na mabaya tu na si kwenye kuchagua nizaliwe wapi na bila magonjwa ya kurithi kama ualbino,sickle cell,night blindness na ma kansa ambacho ndicho kitu cha muhimu zaidi?
Unaelewa hata maana halisi ya free will wewe?
Kwa nini hakuumba dunia ambayo mlevi atamtii automatic na hasa kwa kuwa uwezo huo anao badala ya kusubiri huruma za mlevi?
Kwani angepungukiwa nini kwa kufanya hivyo?
The same question apply to you,
Kwa nini watoto wadogo wengi kabla ya kuelimishwa wanafikiri jua ni dogo kiukubwa kulinganisha na dunia na si dunia kuwa ndogo kulinganisha na jua?
Ni nadharia gani hii yenye nguvu hivi kiasi cha kuwaaminishà watoto kwamba dunia ni kubwa kuliko jua?
Kupitia fikira hizo za kitoto ndivyo ukweli ulivyo kuhusu ukubwa wa jua na dunia?
Can you prove that The God exist real, and not just the products of your imagination only!?
Hii kwanza si kweli. Sababu kabla ya yote lazima tujue ni upi msingi wa hiyo "Square root" je ni uhalisia au makubaliano ya wana mahesabu ?
Kama ni makubaliano ya wana mahesabu hap utakuwa una amini na wala huna yakini na uhalisia unaondoka. Kwa maana hiyo hata kama nikijua ya kuwa "Square root" ya mbili ni ndogo kuliko mbili huu si uhalisia sababu asili ya jibu hilo ni makubaliano ya wana mahesabu yaliyo jengeka katika misingi ya majaribio na kubahatisha.
Nakuuliza swali,ili mfano wa "Square root" ya mbili kuwa ndogo kuliko mbili yenyewe ni uhalisia au makubaliano ya wana mahesabu ? Kama ni makubaliano vipi iwe hoja katika mambo ya uhalisia ?
Kwa maana hiyo mfano wa "Square root" ya 2 ni 9 ukaunasibisha na dini,huo mfano wako unakuwa batili,sababu umelinganisha vitu viwili vyenye dhati tofauti. La kwanza ni makubaliano ya wana mahesabu na la pili uhalisia.
Yaani ni sawa sawa na kuleta mfano wa mtoto wa kuasili kuwa ni wako wakati kiuhalisia si wako na nasaba inarudi kwa baba.
Kwahiyo ninacho kukumbusha ni kuwa hata kutoa mifano pia ni elimu,elimu ambayo nyinyi hamkupewa.
Uwepo wa Mungu unajulikana kupitia akili,milango ya fahamu na ufunuo. Tatizo mlipewa mifumo ya kufikiri kitoto na walimu na mkakosa ala za kuuujua ukweli.
Kama wewe unakubali "Simu" yako unayoitumia haiwezi kujitengeneza bila shaka dunia yupo aliye itengeneza na kuiwekea taratibu ambazo zipo na tunaziona.
Ajabu wewe una amini Mungu hayupo kisa kuna "The Problems of evil", mpaka kesho hujawahi kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Naendelea .....
Kwanza hujaelewa maana ya freewill....
Pili swala la kusema jua ni kubwa kuliko dunia hayo ni maelezo ya wanasayansi ambayo huwez mwelesha mtoto mdogo akakuelewa. ..but intuitively binadamu yeyote anaelewa ivo ..
Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa kila mwanadamu ... Ndio maana kuna myriad of things almost everything science can't create from the scratch...
.hata jinsi unavopumua wewe huoni kama ni muujiza huo??.
Hewa haionekan ila iko kila sehemu ww unaona ni kawaida???.. Unaweza tengeza oxygen from the scratch??..
ni kiburi tu watu hujipa..
Yaan kama ungeweza kwanza kutolea maelezo vitu vinavyoonekana kama ivo ...ingekua vizur sana kabla ya kuanza kujadili yeye aliyeviumba...
Pia kumbuka wewe una brain .mind ..logic etc.... Unawaza na kufikiri kupitia ivo... Je utaweza kuwaza aliyeiumba iyo akili yenyewe??
Last question tell me who in this world can create something from nothing????????
Mbona uwepo wa Mungu uko wAzi sana jamani...
Jina lake lihimidiwe...ONE GOD..
Mimi kutoelewa maana ya freewill ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo Mungu muweza yote na mwenye upendo mkuu.Kwanza hujaelewa maana ya freewill....
Ulishajaribu kumuelewesha mtoto yeyote kwa maelezo yenye logic akashindwa kukuelewa?Pili swala la kusema jua ni kubwa kuliko dunia hayo ni maelezo ya wanasayansi ambayo huwez mwelesha mtoto mdogo akakuelewa. ..
Kuhusu nini?but intuitively binadamu yeyote anaelewa ivo ..
Una uhakika ama unaropoka tu?.Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa kila mwanadamu...
Logical non sequitur!.Ndio maana kuna myriad of things almost everything science can't create from the scratch...
Kwa hiyo?hata jinsi unavopumua wewe huoni kama ni muujiza huo??.
Kwangu mimi ni jambo la kawaida sana.Hewa haionekan ila iko kila sehemu ww unaona ni kawaida???..
Another logical non sequitur!.Unaweza tengeza oxygen from the scratch??..
Kwa nini Mungu aliumba Ulimwengu ambao mtu anaweza akajipa kiburi wakati angeamua kiburi kisiwepo na kikawa hakipo?ni kiburi tu watu hujipa..
Thibitisha iwapo kweli vitu hivyo viliumbwa!.Yaan kama ungeweza kwanza kutolea maelezo vitu vinavyoonekana kama ivo ...ingekua vizur sana kabla ya kuanza kujadili yeye aliyeviumba...
Hata nikikwambia sijui, muumbaji huyo si lazima awe ni Mungu mnayemtaja taja sana huko makanisani na misikitini.Pia kumbuka wewe una brain .mind ..logic etc.... Unawaza na kufikiri kupitia ivo... Je utaweza kuwaza aliyeiumba iyo akili yenyewe??
I do no,can you tell me who is he or she?Last question tell me who in this world can create something from nothing????????
Sasa kipi kinachokushinda kuthibitisha huo uwepo wake?Mbona uwepo wa Mungu uko wAzi sana jamani...
Kabla ya jina lake kuhimidiwa, thibitisha kwanza uwepo wàke!.Jina lake lihimidiwe...ONE GOD..
when you are broke there are topics you should only listen to. So guys keep debating, am here listening, won't say a word.
Mimi kutoelewa maana ya freewill ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo Mungu muweza yote na mwenye upendo mkuu.
Angekuwepo asingekuwa na upendeleo wa kiwango hiki kiasi cha wewe kukufanya ujue maana ya freewill huku mimi nikishindwa.
Lakini pia ningekuona wa maana sana iwapo ungeeleza freewill ni nini baada ya kubaini kwamba mimi siielewi.
Ulishajaribu kumuelewesha mtoto yeyote kwa maelezo yenye logic akashindwa kukuelewa?
Kwa nini una generalize kuwa maelezo ya sayansi ni magumu kuwaelewesha watoto wakati hata kuhesabu 1,2,3.. ni sayansi ya namba na kindergarten wengi wanaimbishwa na kujua vyema kuhesabu?
After all mimi sikusema suala la jua kuwa kubwa zaidi ya dunia ni gumu kuelezeka,
Niliuliza kwa nini mtoto kabla ya kuelimishwa huwa anadhani jua ni dogo kuliko dunia?
Kuhusu nini?
Una uhakika ama unaropoka tu?.
Mbona mimi ni mwanadamu na uwepo wa huyo Mungu wenu haujajidhihirisha?
Logical non sequitur!.
Unaelewa hicho ni kitu gani?
Hata kama sayansi haiumbi kitu kutoka kwenye nothing, huo si ushahidi wa kwamba muumbaji huyo ni Mungu.
Ni sawa na kusema Mzee Lomolomo wa kwenye riwaya ya Watoto wa Mama Ntilie ndiye mzazi wako kisa tu sayansi haiwezi kuzaa mtu.
Ndicho unachokifanya hapa.
Unatumia udhàifu wà sayansi kutokuwa na uwezo wà kuzaa kulazimisha mzee Lomolomo kuwa ndiye mzazi wako.
Wakati mimi najua mzee huyo hayupo kwenye uhalisia nje ya masimulizi ya kinadharia, na hivyo hawezi kuwa ndiye baba yako.
Thibitisha kwanza Mzee Lomolomo yupo kiuhalisia, nje ya masimulizi ya kufikirika ya mwandishi Emmanuel Mbogo ndipo uje tuanze kutazama kama kweli ni yeye ndiye baba yako mzazi.
Kwa hiyo?
Kwangu mimi ni jambo la kawaida sana.
Another logical non sequitur!.
Hata kama nisipoweza,hiyo haithibitishi kuwa anayetengeneza hiyo hewa ni Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na upendo wote,ambae alishathibitishwa na the problem of evil na proof by contradictions kuwa hayupo.
Inawezekana sana mtengenezaji huyo (iwapo kweli inatengenezwa) akawa ni mwingine tu ambae haujamjua bado.
Ndiyo maana nataka uthibitishe hapa kuwa muumbaji huyo ni Mungu na si mwingine yeyote.
Kwa nini Mungu aliumba Ulimwengu ambao mtu anaweza akajipa kiburi wakati angeamua kiburi kisiwepo na kikawa hakipo?
Thibitisha iwapo kweli vitu hivyo viliumbwa!.
Mbona unalazimisha uumbaji pasina kutuambia kwanza yeye muumbaji kaumbwa na nani?
Hata nikikwambia sijui, muumbaji huyo si lazima awe ni Mungu mnayemtaja taja sana huko makanisani na misikitini.
Unaweza niuliza jina la mchina aliyejenga uwanja wa taifa mwaka 2005 nikakujibu sijui.
Ila ukiniambia mchina huyo ni Bruce Lee,(ninayejua alifariki mwaka 1963), nitakukatalia jibu lako.
Kwa hiyo mimi kutokujua jibu sahihi si tiketi ya wewe kulazimisha nikubali jibu lako,ambalo kwanza naona ni la uongo.
I do no,can you tell me who is he or she?
Sasa kipi kinachokushinda kuthibitisha huo uwepo wake?
Kabla ya jina lake kuhimidiwa, thibitisha kwanza uwepo wàke!.
Unajuaje huu ni ukweli? Unajuaje huu ni uongo?Bro Zurri ndio maana nimesema hapo juu kwamba Kiranga akija kuujua ukweli ataona mambo na hoja zake za square root ni za kijinga mno. Eti square root haiwezi kuwa ndogo, sasa mbona square root ya nusu ni robo? Hoja zingine bana za ajabu kweli
Square root ya mbili inaweza kuwa kubwa kuliko mbili?
Weka ushahidi wowote ule unaojua wewe.Ebu nikurahisishie kazi..sema unataka ushahidi wa aina...wa picha ,video ,document au live na macho au aina gan??..sema nikujibu
Ukipewa ushahidi wa harufu utakubali?Weka ushahidi wowote ule unaojua wewe.
Weka ushahidi wowote ule unaojua wewe.