Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Sasa mkuu, endapo tumepewa uwezowa kufikiri,kuchambua mambo na kufanya maamuzi, hautaki tutumie uwezo huo kupambanua mambo?

Unataka nikiambiwa niwahi posta nikapande treni ya kwenda Zanzibar nikimbie tu bila kujiuliza, Zanzibar na treni wapi na wapi?
Reli imejengwa lini, Je inawezekana ikajengwa usiku mmoja bila watu kuwa na taarifa? Hiyo treni imenunuliwa lini?

Huenda ukatusaidia na jambo jipya leo, ni mambo gani yanahitaji logic na yapi hayahitaji logic mkuu?

Kwanza kwangu mimi sihitaji kujifunza logic eti ili niweze kujenga hoja,kuhoji na kufikia hitimisho juu ya suala fulani.

Kaa ukijua wanafalsafa wa magharibi ya kale wayunani ndio walioleta elimu ya mantiki,ma yalikuwepo maneno kabla ya elimu ya mantiki.

Sasa wewe jiulize kabla kina Aristoto watu walikuwa wanahoji vipi na kuupata ukweli vipi ? Maana yeye ndio wa mwanzo katika logic.

Hapa nakuacha na suali,je unayajua madhaifu ya logic ?

Kujiuliza kupo na ni hulka yetu binadamu,kwahiyo haina uhusiano na logic.
 
Kuna kitu nakiona; ukweli (fact) na kweli ( truth). Fact inaweza isiwe truth.
 
Kivipi. Fafanua.

Within a framework kuna fact. Halafu kuna kufikiri kitu ni fact. Viwili hivi ni tofauti.

Unaweza kufikiri dunia ni bapa kwa kuangalia kibaraza chako au uwanja wa mpira, wakati ukweli ni kwamba dunia ni kama duara ukiiangalia kwenye scale kubwa zaidi.

Unaweza kufikiri time ni absolute. Kumbe kuna time dilation per Einstein.

Halafu, Godel's incompleteness theorem, the double slit experiment, wave particle duality, Schrodinger's Cat experiment, Heisenber's Uncertainty Principle, Einsteins Relativity vyote vinatuonesha kwamba, ukifika level fulani inabidi uchore mstari kujiridhisha kwamba nitaangalia mpaka hapa, ukiendelea zaidi unakuta ulimwengu unaenda in a probabilistic way more than predictable way.

Ukiondoa Godel's Incompleteness Theorems ambazo zinaelezea ukweli kwamba hakuna kinachoweza kuwa stated bila assumptions zilizo nje ya scope inayoweza kuthibitishwa, hizo habari nyingine zote zinaonesha kwamba the very notion of fact is provisional and not absolute.

If you can't tell the position and momentum of any subatomic particle with precision, any determination of data for a larger collection of such particles is provisional, averages of probabilities and contextual to the fact that the "truth" is really unknowabke based on our current math. And may be unknowable for a long time, if not forever.

This, befire someone screams is evidence of the presence of God, is, to the contrary, evidence of the non existence of God.
 
Msingi wa kutumia neno kweli ktk post yangu linathibishwa ktk biblia. Biblia hutaja kweli( truth) na si ukweli ( fact) ambao naona unaweza kuthibitika kibinadamu. Neno fact ukweli halijatumika ktk biblia hata maramoja while neno kweli limetumika mara nyingi. Kwa msingi huu facts haziwezi kuwa kigezo cha kumthibitisha Mungu wa biblia.
 
Truth inaweza kuwa contradicted?
 
Unaelewa kwamba ukiandika kwa maandishi yoyote yaliyokaa katika mpangilio maalum, kama herufi za a, b,c,d etc, umetumia logic?

Kwa sababu herufi hizo zimekaa katika "logical order" si random symbols?

Unaelewa hilo?

Najua unakubali ya kuwa maneno yameitangulia elimu ya mantiki,kama hivyo mpangilio ulikuwepo.
 
Umeruka swali nililokuuliza hujalijibu.

Kwa nini?

Wewe ni mjinga hujalielewa?

Au ni muongo unalikwepa makusudi?
 
Umeruka swali nililokuuliza hujalijibu.

Kwa nini?

Wewe ni mjinga hujalielewa?

Au ni muongo unalikwepa makusudi?

Kwanza umelidhulumu tamko "mjinga" hujaliweka mahala pake. Pili ukiona swali sijalijibu ujue sijaona haja ya kulijibu.

Nipo ....
 
Even if Hawking is completely discredited,the problemof evil totally contradicts the existence of the omnipotent, omniscient and Omni benevolent Godhead.

One does not need Hawking and sophisticated theories.

One needs to asks a question of simple logic.

A normal father who loves his children does not want to see them suffer in any way.

This is a normal father.

The protection goes up as the love and ability to protect increases.

God is supposed to be the omnipotent, omniscient and Omni benevolent, he can do all, knows all and has the greatest love.

Why did he create a universe in which suffering is possible, while he could have created a universe in which suffering is not possible?

Could you give evidence how evil contradicts God's existence? If one thing (let's say x) contradicts y, what makes you conclude (for instance) y doesn't exist and not x?
 
If x and y are mutually exclusive.

And y exists.

Then x cannot simultaneously exist.

Do you agree to that?
 
If x and y are mutually exclusive.

And y exists.

Then x cannot simultaneously exist.

Do you agree to that?

1. Give a working definition of evil (because what you call evil may not be so to other people). 2) Show how it contradicts the existence of God.
 
Contradictions za Quran umeziruka kama hujaziona.

How should I take you seriously?
Nasubiri uanzishe mada Mpya na ni hitajio sasa la siku ya tatu Leo.

Kwa hoja umeshindwa. Huna unachoweza kutetea

Huna uwezo wa kujadiliana na wenye uelewa.
 
Kwa nini nianzishe mada mpya kuhusu Quran wakati wewe ndiye umeleta habari za Quran kwenye mada hii?
 
Huu ukweli mchungu. Mimi nimesha acha kujadiliana nae kitambo. Nachofanya sasa ni kumpa ziada ya maneno na kimfundisha.

Hawa wamerithi ujinga ambao hata mtoto mdogo mwenye akili salama hawezi kuulea ujinga huo.

Madhaifu yote ya kielimu wanayo wao. Hivi ni kweli mtu mwenye akili timamu atakua na tabia ya kufikiria upande hasi tu katika maisha yake yote ? Hii ishakua ni imani bali ni dini kabisa ila iliyo kosa misingi ya kielimu.

Bora haya kidogo wangekuwa wanatoa hoja zenye ukweli ndani yake. Kujadiliana na watu kama hawa ni kuikosea adabu elimu na kupoteza muda.
 
Kwa nini nianzishe mada mpya kuhusu Quran wakati wewe ndiye umeleta habari za Quran kwenye mada hii?

Hivi vile vitabu nilivyoku orodheshea vya tafsiri ya Qur'an ulivitafuta ukavisoma ?
 
Kitabu kinachohitaji tafsiri hakiwezi kuwa kitabu cha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ukiona kitabu kinahitaji tafsiri ujue hicho si cha Mungu huyo.

Bro kwanza nacheka sana,ila hapa nataka nikuulize swali,wewe ulitakaje yaani ? Yaani ulitaka hali iweje katika ulimwengu na kitabu hicho kiweje ?

Je unajua maana ya tafsiri ?

Ila elimu ya logic inawaharibu sana watu,ndio maana kweti sisi haramu kujifunza elimu hii.

Hivi kisa ujinga wako na uchachefu wa elimu ndio iwe sababu ya wewe kupinga ukweli wa yaliyomo ?

Jifunze kujenga elimu na uache kulalamika.
 
Unajua kwamba ukitumia aphabet kuandika tayari ushatumia logic hiyo hiyo unayoiponda?
 
Kitabu kinachohitaji tafsiri hakiwezi kuwa kitabu cha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ukiona kitabu kinahitaji tafsiri ujue hicho si cha Mungu huyo.

Unaelewa hilo?

Ina maana hukuvisoma na ninajua hujawahi kuvisikia hapo kabla vile vitabu. Ajabu mtu kama wewe unatoka kifua mbele na kukiongelea kitabu ambacho hata kukisoma huwezi,hii ni ajabu ya watu wa leo.

Nipo .....
 
Back
Top Bottom