Unajua kwamba ukitumia aphabet kuandika tayari ushatumia logic hiyo hiyo unayoiponda?
Nilikuuliza swali rahisi sana na hapa nataka ujibu kwa kukiri.
"Je kati ya maneno na logic kipi kilianza ?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kwamba ukitumia aphabet kuandika tayari ushatumia logic hiyo hiyo unayoiponda?
Huyo jamaa kwani ndo nani mbona mnatuletea reference za ajabu anyway Mkuu Kiranga unatakaga nini kwani na mambo/hoja yako ya kuwa Mungu hayupo.....????kama unajiona wewe na wenzio wachache ndo waerevu sana kujua Mungu hayupo hongereni kwa miakili yenu mingi iliyotukuka.
Wewe endelea kuvimba tu hapo nyuma ya batton hzoo kuwa Mungu hayupo walikuwepo wenzio wengi tu kama ww... Yahn ww sio wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho.
Nakushauri ingia Google tafuta watu waliomzihaki Mungu na mambo ya ovyo yaliyotukuka na utaona cha mtemakuni kilichowakuta......nakuanzia na huyu wa kwnza eng mkuu wa meli ya Titanic alisema kwa ubora wa meli hii hata Mungu hana uwezo wa kuizamisha kulichotokea unakijua.
Kweli kadri unavyozidi kusoma ndo unavyozidi kuwa mpumbavu.
Kilianza lini na wapi!?Nilikuuliza swali rahisi sana na hapa nataka ujibu kwa kukiri.
"Je kati ya maneno na logic kipi kilianza ?"
Kitabu kinachohitaji tafsiri hakiwezi kuwa kitabu cha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Ukiona kitabu kinahitaji tafsiri ujue hicho si cha Mungu huyo.
Unaelewa hilo?
Naificha Hekima yangu katika Upumbavu wangu!.Kwa nini nianzishe mada mpya kuhusu Quran wakati wewe ndiye umeleta habari za Quran kwenye mada hii?
Kwanza kwangu mimi sihitaji kujifunza logic eti ili niweze kujenga hoja,kuhoji na kufikia hitimisho juu ya suala fulani.
Kaa ukijua wanafalsafa wa magharibi ya kale wayunani ndio walioleta elimu ya mantiki,ma yalikuwepo maneno kabla ya elimu ya mantiki.
Sasa wewe jiulize kabla kina Aristoto watu walikuwa wanahoji vipi na kuupata ukweli vipi ? Maana yeye ndio wa mwanzo katika logic.
Hapa nakuacha na suali,je unayajua madhaifu ya logic ?
Kujiuliza kupo na ni hulka yetu binadamu,kwahiyo haina uhusiano na logic.
Bora umetambua umuhimu wa kujiuliza. Na mimi shida yangu sio jina gani linatumika, la hasha, ni hapo kwenye kujiuliza, ndio maana kwenye post yangu nimesema huo uwezo au kujiuliza na kutafakari mambo tunao, sioni ubaya kuutumia au kuufanyia kazi kwenye maisha ya kila siku.
Hapo sasa ndio wana scholar wakaenda mbali kwa kuja na mfumo wa logic, ambao wewe ndio umeutaja ulipo ninukuu.
Nitoe mfano, nikiandika au kusema kwamba wewe zuri sio binadamu, ni nyangumi, utafanyaje?
Nimependa sana Jina lako, Astronomer The great na nikaona nikupe Faida kidogo kabla ya kusepa.Kiranga hakuna kitabu kibovu kuwahi kutokea kama qurani
Tatizo waislam wengi hawajui kiarabu wanakariri quran bila ya kujua maana
Ndiio maana utakuja kukuta uzuri wa qurani ni kiarabu ukibadilisha kukaaa peke yake kwa lugha nyingine hutatamani kukisoma kwakuwa hayo ni mashairi
Mwandishi wa quran amekopi hadithi kutoka ktk bible na akatengeneza mashairi na kupitia maisha anayoona na kutengeneza quran
Aliyesema nani kwamba Mungu hayupo kwa sababu haonekani!?Upepo hatujawahi kuuona ila tunasema upo kwa kuwa tunaona tu matendo yake kama kupuliza kupeperusha n.k
Vipi wewe unayesema MUNGU hayupo kwa kuwa tu eti hajawahi kuonekana ijapokuwa tunayaona matendo yake
Nimependa sana Jina lako, Astronomer The great na nikaona nikupe Faida kidogo kabla ya kusepa.
INGIA YOUTUBE KISHA ANDIKA "Professor Moshe Sharon". TAFUTA MUDA UMSIKILIZE KATIKA LECTURE ZAKE. UTAFAIDIKA SANA.
Well that might sound superficial problem but philosophically there is no such a thing as evil. what is evil? Evil is merely a deprivation of good. absence of something does not mean non existence of something else. On this i reckon with Saint Augustine and Thomas Aquinas.Even if Hawking is completely discredited,the problemof evil totally contradicts the existence of the omnipotent, omniscient and Omni benevolent Godhead.
One does not need Hawking and sophisticated theories.
One needs to asks a question of simple logic.
A normal father who loves his children does not want to see them suffer in any way.
This is a normal father.
The protection goes up as the love and ability to protect increases.
God is supposed to be the omnipotent, omniscient and Omni benevolent, he can do all, knows all and has the greatest love.
Why did he create a universe in which suffering is possible, while he could have created a universe in which suffering is not possible?
Looks like ur using both emperical scence and speculations. Kwa kifupi tu ni kwamba, Mungu humwekei standards wewe kwa maana ya kuwa si lazima kila unachokiona kibaya kwako na kwake ni kibaya, na si lazima upendo alionao ufananane na upendo walio nao binadamu.Kwani nani kasema kuwa sisi ndiyo tunatakiwa ku-set standards halafu Mungu ndiyo a-follow-suit kwenye standards hizo? Mistake kubwa ndiyo hiyo kwamba standards huwa tuna-approve sisi na kuanza kuzitumia katika kumu-judge Mungu namna alivyo. Mungu si mjinga angekuwa anatumia standards zetu angekuwa ameshaondoa kabisa kifo kisingekuwepo tena!Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwepo, asingeumba kiulimwengu cha hapa duniani kina mabaya, na kingine hukopeponi hakina mabaya.
Hilo hamlioni?
Bora umetambua umuhimu wa kujiuliza. Na mimi shida yangu sio jina gani linatumika, la hasha, ni hapo kwenye kujiuliza, ndio maana kwenye post yangu nimesema huo uwezo au kujiuliza na kutafakari mambo tunao, sioni ubaya kuutumia au kuufanyia kazi kwenye maisha ya kila siku.
Hapo sasa ndio wana scholar wakaenda mbali kwa kuja na mfumo wa logic, ambao wewe ndio umeutaja ulipo ninukuu.
Nitoe mfano, nikiandika au kusema kwamba wewe zuri sio binadamu, ni nyangumi, utafanyaje?
Mr kiranga what I can say about the existence of not of the so called called , depends on our intellectual level.
I don't believe that we have enough brains to explain the universe and our existence. For example we can't explain how it was decided that we should have two sex entities
And by which authority. The two sexes again decided to have a N-S type of a magnetic attraction between.
Mr Hawkins and other scientists can not prove such a perpetuality.
I believe our brains needs an external injection of intelligence if we are to find answers to universal questions.
Elimu ya mantiki ina udhaifu katika kuhoji na kufikia hitimisho,nikisema logic siikubali na haina uwezo wa kutufikisha kwenye ukweli wa kuhoji namaanisha haifai kuitumia.
Looks like ur using both emperical scence and speculations. Kwa kifupi tu ni kwamba, Mungu humwekei standards wewe kwa maana ya kuwa si lazima kila unachokiona kibaya kwako na kwake ni kibaya, na si lazima upendo alionao ufananane na upendo walio nao binadamu.Kwani nani kasema kuwa sisi ndiyo tunatakiwa ku-set standards halafu Mungu ndiyo a-follow-suit kwenye standards hizo? Mistake kubwa ndiyo hiyo kwamba standards huwa tuna-approve sisi na kuanza kuzitumia katika kumu-judge Mungu namna alivyo. Mungu si mjinga angekuwa anatumia standards zetu angekuwa ameshaondoa kabisa kifo kisingekuwepo tena!
Just a hint, spritual science is not emperical science and emperical science has not at any time t, claimed to be the basis of source of every kind of knowledge and hence it cannot expalin all phenomena. Reality transcends empirical knowledge.
Another hint: wakati Albert Einstein akiwa anafanya kazi za utafiti kwa kutumia Laws of classical Physics ambazo zilikuwa developed huko nyuma na wana Fizikia wakali kama akina Isaac Newton na wengine, alikuja kubaini kuwa kuna baadhi ya phenomenal cases hizi laws zina-fail ku-explain, na ndiyo akaja aka-developed special Theory of Relativity iliyo base kwenye Quantum Mechanics, ambazo sasa ziliweza ku-reconcile ile failure ya zile za Classical Mechanics. This proves outright that Emperical Science is still developing and hence it cannot explain everything. Huwezi ukawa uko sahihi kwa kuchanganya maelezo yanayohusu discipline moja ya sayansi na maelezo yake kwenye discipline nyingine tofauti ya Sayansi, hili ndiyo kosa kubwa linalofanyika kwenye mijadala hii. Kwa mfano, hamuwezi mka-reconcile discreapancies kwenye imani mbili let's say Uislam na Ukristo kwa kutumia vyote Quran na Biblia. Kwamba mwislamu atumie Quran na mristo atumie Biblia, haiwezekani, kwa sababu mkifanya hivyo mtakuwa mmekosa standards. Aidha inabidi mu-develop standards nyingine za kutumia au mchague kutumia kitabu kimojawapo kati ya hivyo viwili na si vyote. Hivi vitu viko straightforward na huwa ninashangaa sana ninapoendelea kuona mijadala ya namna hii inazidi kuibuka kila kukicha
Mfano mwingine ni kwamba hayupo mtu hapa dunianai ambaye alishawahi kusema kwamba YESU HAJAWAHI KUWEPO, hayupo na ndiyo maana hata the popular world calendar inatumia BC na AD.However, on the same issue,Spritual Science ina-prove,kwa kutumia tools zake ambazo si sawa na zile za emperical, kuwa alifufuka na kupaa mbinguni(kitu ambacho kupaa hewani against gravity ni impossible badsed on emperical laws of nature)
Sasa mimi nakaa najiuliza maswali nashindwa kuelewa. Huu usomi wa kuwa tunasoma hadi tunafikia kushindwa kuelewa sayansi ipi ni ipi tunauokota wapi? Uwe kwenye emperical sayansi halafu uchukue tools za huko na kuzipeleka kwenye spritual science zikatumike huko, nani kasema kwamba emperical sayansi pekee ndiyo inayoweza ku-explain all phenomena?
Je, wakati tunasoma kwenye Research Methodology kwa mfano, tulifundishwa hivyo? Kwamba utatumia Newton's Laws of Motion kujua IDADI ya wakimbizi wa Rohingya Muslims waliotembea kutoka Mynamar Kwenda Bandladesh kisa walikuwa wanatembea (motion)? Kwamba utatumia IDADI ya watu waliokufa kutokana na radiations za URANIUM kujua RADIO-ACTIVE DECAY au Half life ya Uranium, kwamba idadi ya watu walioathirika itakusaidia kujua ni radiatons kiasi gani zimekuwa emitted na Uranium? Hii mifano miwili naifananisha na mtu anaye-apply tools za emperical science ku-prove mambo kwenye spritual science
Emperical sayansi haina tools amnazo zinaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu, na hata wanasayansi wanaosema kuwa MUNGU yupo hawajatumia emperica tools kusema hivyo, na kwa hiyo wanaodai kuwa Mungu hayupo NAO PIA hawawezi kutumia emerical tools kudai hivyo, as simple as that.
Hii issue ya kuwepo au kutokuwepo Mungu is not as complicated and confusing as it appears to be, but rather the complications and confusions arise from the lack of perfect knowledge, when we try to accommodate both the divine knowledge and emperical knoledge STANDARDS, to the LACK OF STANDARDS in our contemporary morality. Kna kitu sisi wabishani hatuna, na hicho ndicho kinatufanya tubishane. Tatizo hapa ni LACK OF STANDARDS, na si Mungu kuwepo au kutokuwepo!
Kwa ufupi mambo ya Mungu yashughulikiwe kiimani, na mambo ya kisayansi yafuate kanuni zake.
Lakini tukirudi kwenye maandiko yako mheshimiwa, tuchukulie mathalan, watu wote dunia nzima wameamua kukubali, kuamini na kusadiki kwamba Mungu yupo, ni Mungu wa aina gani au Mungu yupi?
Namaanisha wale wa Asia watakua na mtazamo ule elu juu ya Mungu kama walionao waliopo Afrika, Ulaya na nchi zingine?
Ni kipi unakichukulia kama msingi bora iwe kiimani au kisayansi (of course jibu itakua kiimani) kuwa ni kitu cha msingi mzuri kwenye kumfanya mtu amjue Mungu au Uwepo wake?
Shukrani