Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Una assume -angalau maswali yako yana assume- kuna "Mungu wa kweli".

Unaweza kuthibitisha yupo?
Kama ambavyo wewe una assume huu ulimwengu umeumbwa,hoja yako huwa Mungu mwenye upendo wote ujuzi wote na uwezo wote kuumba huu ulimwengu ni contradiction. Kwahiyo una assume huu ulimwengu umeumbwa ila unapinga Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kuwa kaumba huu ulimwengu.
 
Wapi nime assume hivyo?

Unaweza kuninukuu nilipo assume hivyo.

Uthibitishe hilo.

Kwamba mimi nime assume hivyo.

Na si kwamba ubongo wako uliojaa kamasi haujaelewa immanent critique tu?

Mtu ambaye hakubali uwepo wa Mungu anawezaje kuwa na hoja kwamba Mungu huyo asiyepo anaweza chochote, sembuse kuweza yote?

Unaelewa hata unachoandika wewe mwenyewe?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Basi wewe ndio ubongo wako ulianza kujaa kamasi maana unaanzaje kumwambia mtu asiyeamini kabisa Mungu athibitishe uwepo wa Mungu?
 
Basi wewe ndio ubongo wako ulianza kujaa kamasi maana unaanzaje kumwambia mtu asiyeamini kabisa Mungu athibitishe uwepo wa Mungu?

Nimekuomba utoe nukuu uneshindwa.

Kwa sababu huwezi.

Kwa sababu hakuna nukuu hiyo.

Umejitungia vitu kichwani kwa kukosa werevu.

Na hata sasa unaponiuliza "unaanzaje kumwambia mtu asiyeamini kabisa Mungu athibitishe uwepo wa Mungu" huwezi kunipa nukuu nilipofanya hivyo.

Unajiharishia all over the map.
 
Ok sema unataka nukuu ipi?
 
Wewe unasema vitu vingi humu sasa ukiniambia vyote ndio nini?sema hasa unachotaka nikupe nukuu ili iwe rahisi kwangu kutafuta.
Niseme mara ngapi ndipo utanielewa na nina uhakika gani nikisema tena utanielewa?

Wewe hujui ulichosema nimesema ni kipi?

Bloody idiot.
 
Niseme mara ngapi ndipo utanielewa na nina uhakika gani nikisema tena utanielewa?

Wewe hujui ulichosema nimesema ni kipi?

Bloody idiot.
Mimi nimesema wewe una assume kuwa huu ulimwengu umeumbwa kwa kusema kuwa Mungu mwenye upendo ujuzi wote na uwezo wote kuumba ulimwengu ni contradiction,haujapinga nilichokieleza kuhusu wewe kusema hivyo kwamba huyo Mungu hajaumba huu ulimwengu ila matokeo yake unaniambia nikupe nukuu ya kuassume kwako kuwa huu ulimwengu umeumbwa!

Sijui unaelewa kuassume ni nini hadi nikupe nukuu yako ya kuassume? Unaweza kuonesha wapi kwenye post no.662 ambapo mwenye post ameassume kuna Mungu wa kweli?
 
Nilipo assume ni wapi?

Nipe nukuu iliyokufanya ufikiri nina assume.

Umejua vipi nina assume?

Mtu ambaye hakubali Mungu yupo ata assume vipi Mungu kaumba ulimwengu?

Mungu ambaye hayupo ataumbaje ulimwengu?
 
Wenye ulimwengu huu waache waheshimike tu mkuu...

Ukishapewa msahafu wa kujua half of the reality huwa hawataki uanze kutoa siri juu ya jinsi ulimwengu ulivyo...

ukishatoka kwenye mstari tu tayari wanakudenature your mind kama sio brain yako au kukupoteza kabsaa au kukupa kirema ambacho kitaifanya mind yako ivurugike vya kutosha kisha kushindwa kutoa vitu ulivyovielewa katika chronological order..

Thats what happened to Hawkin...

Mental paralysis au kwa jina la kitaalamu tunaita Amyotrophic lateral sclerosis, or Lou Gehrig's Disease ni ugonjwa mbaya snaa unaotafuna cell zinazohusiana na movement ya muscles pamoja na memory pia...

Ni Upper Motor Neurone( UMN) Degenerative Diseases na ni nadra sana kuwapata watu na ukishaupata huu ugonjwa tayari huna uwezo wa kumove kiungo chochote wala kuhamisha mkono au mguu na unaanza kupoteza mafaili kichwani taratibu...

Hapo ndipo unapoaanza kuamini kuwa kuna watu wenye ulimwengu huu jamani ..respect the unknown mission but enjoy the balancing nature...

ukijua mambo kwenye ulimwengu huu ,kama huwezi kaa kimya basi andika kwenye kitabu kimya kimya kisha wape watu muhimu kwako wasome kisha wajue jinsi siri ilivyo juu ya ulimwengu huu...

For what they did to Stephen ni kumpandikizia vifaa maalumu ili kila anachowaza basi mashine inaandika ubaoni au kwenye screen ndo maandishi yanapita yakisoma anachowaza..that's what had undergone to his real life situation,manake walimpandikizia kwenye ubongo ili iwe vnasaidia kugeuza mawazo yake na kuyasoma kisha kuyafanyia translation into sounds as well as writtings kupitia screen ...coz ugonjwa huu ukiupata unakuwa huna uwezo wa kuzungumza au kusema chochote mamaaeee[emoji286] ni kama unapigwa bumbuwazi

All in all ,kafa ndo wameanza kujifanya wanamtukuza kuwa alikuwa anasema vitu vya msingi huku kazi yake kubwa imefichwa kuhusu mambo ya siri juu ya uhusiano wa life with estraterrestral beings na bidamu pamoja na Artifial Intelligence ikiwemo pia Secret behind on black holes pamoja na new formula ya special relativity...

kaandika mambo mengi sana ikiwemo pamoja na new millenium katika new technology of Wormholes lakini hayo yote yamepigwa BANI kisha kuruhusu mambo madogo kama kama kuhoji uwepo wa Mungu na mawazo yake na hayo ndo yame be subjected kwetu kwani yanahusiana kabsa na illusion ya muda mrefu ambayo walishatuletea kuhusiana na biggest debate ya uwepo wa Mungu na Shetani wake wakijua hawa mazuzu wataliendeleza tena..

lakini he wrote a lot about the secret of the universe...binafsi hata hicho kitabu cha Biggest answers about the Universe sitaki hata kujisumbua kukisoma kwani vitu vya maana wamejificha ...na hata mwanae wa kike wamempiga pesa ndefu asiendelee kufuatilia vitabu vilivyofichwa kuhusu alichoandika babake na kaingia king.

daaaah....when shall we know the real truth jaman...napata uchungu sana...[emoji26] [emoji26]

This man had already and understood fully how the real life simulation is ,and he put into writtings lakini ndo hivo ,tunachooneshwa kuwa ndo aliandika ni theruthi ya mambo yote aliyoelezea jamaaa kama sio kuelewa..

There must be something very special on how the real life operates na huna budi kufahamu and start believing and living through it...
mkuu hio "reality" unayoisema ni ipi labda?......

tupe dondoo
 
Nilipo assume ni wapi?

Nipe nukuu iliyokufanya ufikiri nina assume.

Umejua vipi nina assume?

Mtu ambaye hakubali Mungu yupo ata assume vipi Mungu kaumba ulimwengu?

Mungu ambaye hayupo ataumbaje ulimwengu?
Ndio nikakuuliza mtu ambaye haamini kabisa Mungu ata assume vp kuwa kuna Mungu wa kweli? Umeshindwa kujibu,tatizo sio langu pengine umetumia neno ambalo hulielewi.
 
Ndio nikakuuliza mtu ambaye haamini kabisa Mungu ata assume vp kuwa kuna Mungu wa kweli? Umeshindwa kujibu,tatizo sio langu pengine umetumia neno ambalo hulielewi.
Wapi nime assume?

Weka maneno yangu, tuone.

Usilete tafsiri yako ya maneno yangu.

Kwa sababu inawezekana huna uwezo wa kunielewa tu.

Unatoa tafsiri ya uongo.

Weka maneno yangu tuyachambue hapa.
 
mkuu hio "reality" unayoisema ni ipi labda?......

tupe dondoo
your mind has an ability to interprete things at different dimensions ,and every dimension has its sense of reality..

Viewing things at low dimension,you will end up viewing at an illusion level but viewing things at high dimension of realm ,you will end up with high intuition of reality and you can manipulate microcosmological facts to macro level basing with your surounding singularity...

ila kuna mazingira ya kuascend into a such condition...

kuna anayeandika mambo hayo huku akishi kwenye reality hiyo ila kuna anayeandika mambo hayo akiwa kwenye true illusion of reality na kuna anayesoma hayo mambo na kupata knowledge kubwa lakini hata ascend kwenye reality hiyo na yatabaki katika mental projection tu kama tunavyosimuliana humu lakini kuna wanaogain kisha kuascend into a true reality nature kisha kufikia hatua ya kuconstruct illusion from point of reality walipofikia..

But all that recquires a certain level of comittiment....
 
Wapi nime assume?

Weka maneno yangu, tuone.

Usilete tafsiri yako ya maneno yangu.

Kwa sababu inawezekana huna uwezo wa kunielewa tu.

Unatoa tafsiri ya uongo.

Weka maneno yangu tuyachambue hapa.
Usilamishe ubishi.
 
Usilamishe ubishi.
Wewe ndiye unalazimisha ubishi kwa kunipa assumptions ambazo ukiambiwa ulete ushahidi nimeassume wapi, ushahidi wa maandishi yangu mwenyewe, unagwaya.

Hii ni dunia ya ushahidi na uthibitisho.

Maneno ninaandika hapa JF ni ushahidi.

Nakuomba unipe ushahidi wapi nime assume, unashindwa.

Kwa sababu hakuna sehemu hiyo.

Unaweka hapa uongo tu, ama kwa kutunga makusudi, ama kwa kutoelewa.

Wewe ni muongo unatunga habari za uongo makusudi?

Ama ni mjinga tu hujanielewa?
 
your mind has an ability to interprete things at different dimensions ,and every dimension has its sense of reality..

Viewing things at low dimension,you will end up viewing at an illusion level but viewing things at high dimension of realm ,you will end up with high intuition of reality and you can manipulate microcosmological facts to macro level basing with your surounding singularity...

ila kuna mazingira ya kuascend into a such condition...

kuna anayeandika mambo hayo huku akishi kwenye reality hiyo ila kuna anayeandika mambo hayo akiwa kwenye true illusion of reality na kuna anayesoma hayo mambo na kupata knowledge kubwa lakini hata ascend kwenye reality hiyo na yatabaki katika mental projection tu kama tunavyosimuliana humu lakini kuna wanaogain kisha kuascend into a true reality nature kisha kufikia hatua ya kuconstruct illusion from point of reality walipofikia..

But all that recquires a certain level of comittiment....
And how can i do that?
 
Back
Top Bottom