Wenye ulimwengu huu waache waheshimike tu mkuu...
Ukishapewa msahafu wa kujua half of the reality huwa hawataki uanze kutoa siri juu ya jinsi ulimwengu ulivyo...
ukishatoka kwenye mstari tu tayari wanakudenature your mind kama sio brain yako au kukupoteza kabsaa au kukupa kirema ambacho kitaifanya mind yako ivurugike vya kutosha kisha kushindwa kutoa vitu ulivyovielewa katika chronological order..
Thats what happened to Hawkin...
Mental paralysis au kwa jina la kitaalamu tunaita Amyotrophic lateral sclerosis, or Lou Gehrig's Disease ni ugonjwa mbaya snaa unaotafuna cell zinazohusiana na movement ya muscles pamoja na memory pia...
Ni Upper Motor Neurone( UMN) Degenerative Diseases na ni nadra sana kuwapata watu na ukishaupata huu ugonjwa tayari huna uwezo wa kumove kiungo chochote wala kuhamisha mkono au mguu na unaanza kupoteza mafaili kichwani taratibu...
Hapo ndipo unapoaanza kuamini kuwa kuna watu wenye ulimwengu huu jamani ..respect the unknown mission but enjoy the balancing nature...
ukijua mambo kwenye ulimwengu huu ,kama huwezi kaa kimya basi andika kwenye kitabu kimya kimya kisha wape watu muhimu kwako wasome kisha wajue jinsi siri ilivyo juu ya ulimwengu huu...
For what they did to Stephen ni kumpandikizia vifaa maalumu ili kila anachowaza basi mashine inaandika ubaoni au kwenye screen ndo maandishi yanapita yakisoma anachowaza..that's what had undergone to his real life situation,manake walimpandikizia kwenye ubongo ili iwe vnasaidia kugeuza mawazo yake na kuyasoma kisha kuyafanyia translation into sounds as well as writtings kupitia screen ...coz ugonjwa huu ukiupata unakuwa huna uwezo wa kuzungumza au kusema chochote mamaaeee[emoji286] ni kama unapigwa bumbuwazi
All in all ,kafa ndo wameanza kujifanya wanamtukuza kuwa alikuwa anasema vitu vya msingi huku kazi yake kubwa imefichwa kuhusu mambo ya siri juu ya uhusiano wa life with estraterrestral beings na bidamu pamoja na Artifial Intelligence ikiwemo pia Secret behind on black holes pamoja na new formula ya special relativity...
kaandika mambo mengi sana ikiwemo pamoja na new millenium katika new technology of Wormholes lakini hayo yote yamepigwa BANI kisha kuruhusu mambo madogo kama kama kuhoji uwepo wa Mungu na mawazo yake na hayo ndo yame be subjected kwetu kwani yanahusiana kabsa na illusion ya muda mrefu ambayo walishatuletea kuhusiana na biggest debate ya uwepo wa Mungu na Shetani wake wakijua hawa mazuzu wataliendeleza tena..
lakini he wrote a lot about the secret of the universe...binafsi hata hicho kitabu cha Biggest answers about the Universe sitaki hata kujisumbua kukisoma kwani vitu vya maana wamejificha ...na hata mwanae wa kike wamempiga pesa ndefu asiendelee kufuatilia vitabu vilivyofichwa kuhusu alichoandika babake na kaingia king.
daaaah....when shall we know the real truth jaman...napata uchungu sana...[emoji26] [emoji26]
This man had already and understood fully how the real life simulation is ,and he put into writtings lakini ndo hivo ,tunachooneshwa kuwa ndo aliandika ni theruthi ya mambo yote aliyoelezea jamaaa kama sio kuelewa..
There must be something very special on how the real life operates na huna budi kufahamu and start believing and living through it...