Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka discussion inabidi na wewe uwe unajibu unachoulizwa na siyo kudhani kwamba wengine tu ndio wanaotakiwa kukujibu wewe unavyotaka.Swali hili hujalijibu.
Kwani kuondoa maneno fulani maana yake lazima hukubaliani nayo?
"Si ndiyo" is an oxymoron.
Kama unataka nijibu, na wewe heshimu kujibu.Kama unataka discussion inabidi na wewe uwe unajibu unachoulizwa na siyo kudhani kwamba wengine tu ndio wanaotakiwa kukujibu wewe unavyotaka.
Kama ukiondoa maneno fulani unayokubaliana nayo maana yake ni nini?Kama unataka nijibu, na wewe heshimu kujibu.
Hujajibu swali langu. La awali.
Kwani kuondoa maneno fulani maana yake lazima hukubaliani nayo?
Kama ukiondoa maneno fulani unayokubaliana nayo maana yake ni nini?
Unaweza kuondoa manenofulaniunayokubaliananayo, ili kuondoa ubishi, na uka prove point yako ile ile bila kutumia maneno hayo yenye ubishi.
Unaweza kuondoa maneno fulani unayokubaliana nayo, ili ufanye "immanent critique" ya kwamba hata kama nikikukubalia tuondoe habari za Hawking, kakosea - hajakosea, niseme nakukubalia tu kwamba kakosea ili tuondoe ubishi wa Hawking - habari ya kuonesha Mungu hayupo, haitegemei habari za Hawking, nawezakukuonesha Mungu hayupo kwa logic ndogotu ambayo haihitaji habari yoyote ya Hawking.
Kimsingi,unapopinga usahihi wa Hawking, pingamizi lako halikusaidii kuonesha Mungu yupo, kwa sababu kuna arguments nyingi sana zinazoonesha Mungu hayupo ambazo hazimtegemei Hawking.
Nitakupa mifano miwili.
Mahakamani, kama hata ushaangalia courtroom drama,kuna wakati wakili anaweza ku argue kitu, wakili wa upinzani akamwambia hakimu "argumentative", kwa maana ya kwamba point fulani ina ubishani mwingi, tuiondoe katika mjadala,tuweze kuendelea na mabishanobila kuitumiapoint hiyo, kwa sababu ina ubishimkubwa ambao unaweza kutuchukulia mudamrefu sana.
Hakimu anapima, akiona kweli hii point ni argumentative, anaitoa katika mjadala.
Point haijatolewa kwa sababu haifai, haijatolewa kwasababu si ukweli, haijatolewa kwa sababu hakimu haikubali, imetolewa kwa sababu hiyo point ni"argumentative".Ina utata.
Huo mfanowa mahakama.
Pia, katika "immanent criticism", naweza ku argue kutokana na habari za Hawking, ukaja kusema "Hawking muongo tu".
Mimi nikasema sawa, najua Hawking huna hata akili ya kuelewa hesabu zake, nikianza kubishana nawe hesabu za Hawking nitakuonea wewe na mimi mwenyewe nitajipa kazi ya ziada.
Hususan kwa sababu, sihitaji habari yoyote ya Hawking kuonesha kwamba Mungu hayupo.
Naweza kuonesha Mungu hayupo bila kutumia habari zozote za Hawking.
Naondoa habari za Hawking. Sikwa sababu sikubaliani nazo, sikwa sababu si sahihi, bali kwa sababu zina utata ambaohauhitajiki, utata wa wewe kuzielewana kuzikubali.
Naziondoa.
Nakupa problem of evil, a much simpler argument that does not need Hawking.
Mpaka hapo ushaelewa?
Evil ni mabaya.Hapo nimeelewa. Kwa hiyo, problem of evil ina shida gani? Labda kwanza eleza unavyoelewa what you call "evil" na uonyeshe ni kwa namna gani au kwa sababu zipi evil kinakuwa kigezo na kwa mujibu wa nani kwamba Mungu hayupo.
Nimeshaeleza dhana ni nini kwamba ni fikra ya jambo lisilo na hakika,sasa wewe unapoulizia kama jambo lenye hakika linawezakuwa na dhana(fikra ya jambo lisilo na hakika) ndiyo nalazimika kukuuliza kwanza kwani dhana kwa unavyoelewa ni nini?Nikikupa jibu langu litaharibu integrity ya jibu lako.
Nimekuuliza swali rahisi tu.
Jambo lenye hakika haliwezi kuwa na dhana?
Dunia kuruhusu mabaya ndio kitu gani wewe? Mbona unashikilia jambo ambalo hata wewe mwenyewe huwezi kulielezea!Evil ni mabaya.
Yapo ya aina nyingi.
Wanaoamini Mungu atahukumu wafanyao mabaya duniani, wanakubali dunia inaruhusu mabaya kufanyika, isingeruhusu, Mungu asingehukumu watu kwa kufanya mabaya.
Wasioamini Mungu, wanaona dunia ina mabaya mengi. Kifo kinatenganisha wanafamilia wanaopendana, vibaya, hili ni jambo baya.
Watu wanafanyiwa uonevu, hili nijambo baya.
Hata maafa ya asili kama volcano, earthquake na tsunami yanaua na kufanya uharibifu mkubwa, haya ni mabaya.
Mpaka hapo unakubali kwamba mabaya yanawezekana kufanyika katika ulimwengu huu?
Siwezi kulielezea halafu unaniuliza nilielezee?Dunia kuruhusu mabaya ndio kitu gani wewe? Mbona unashikilia jambo ambalo hata wewe mwenyewe huwezi kulielezea!
Mara ngapi tumejadili hili suala la dunia kuruhusu mabaya na ukashindwa kuelezea hadi ukaamisha magoli na kuja na madai ya Mungu ana resposibility ya yanayoendelea duniani?Siwezi kulielezea halafu unaniuliza nilielezee?
Mbona unaji contradict wewe?
Kama siwezi kulielezea, kwa nini unaniuliza nilielezee sasa?
Kwa nini unaniuliza nielezee kitu ambacho unajua siwezi kukielezea?
Ndio maana nilikuuliza dunia kuruhusu mabaya ndio nini?Dunia hii hairuhusu mabaya?
Ndio maana nilikuuliza dunia kuruhusu mabaya ndio nini?
Mungu gani?Albert Einstain aliamini Mungu yupo na mnajua mchango wake katika sayansi ,kwahiyo Sikubaliani na Hawkings
Kwanza kabla ya kuendelea nithibitishie kuwa anashindwa kuzuia mabaya?maana umetumia kauli kuwa Anashindwa kuzuia.Anamaanisha mungu wako kama Ana nguvu kwa nini anshindwa kuzuia mabaya alishindwa kuumba ulimwengu usiokuwa na mabaya?
Mungu gani?
Hata Beyonce kuna watu wanaamini Mungu, unajua hilo?
Albert Einstein umemsoma kitabu chake kipi?
Na nani alikwambia umsikilize mtu mmoja kama hawezi kukosea?[/B]
Einstain bangi tu yule mzeeAlbert Einstain aliamini Mungu yupo na mnajua mchango wake katika sayansi ,kwahiyo Sikubaliani na Hawkings