Maswali yako nataka niyajibu, kwa msingi wa mantiki.
Lakini inaonekana umeandikakitu kinacholeta utata kuhusuuelewa wako wa mantiki.
Hivyo,naomba unieleweshe unachoelewa na definition yako ya mantiki, ili niweze kukujibu vizurimaswali yako, kwa msingi wa mantiki.
Na kamatuna tofauti, tuzitatue kabla hatujazamasana kujibizana maswali,kwa msingi wa mantiki, wakatihata hatujakubaliana mantiki ni nini.
Umeandika:-
" je, hatuoni udhaifu katika kutumia mantiki kwani hoja kinyume na mantiki pia ni mantiki?"
Una maana gani kuandika "hoja kinyume na mantiki ni mantiki?"
Mantiki ni nini? Unaweza kutoa mfano wa hoja kinyume na mantiki ambayo ni mantiki?
Well, nachelea muda wangu haunipi fursa ya kuandika sana. Ila with time unanielewa.
sio mwanafalsa Mimi Ila nielewavyo ni kuwa "Mantiki" ni utaratibu mzuri wa kufikiri kwa kutoa hoja kwa ajili ya kutafuta ukweli Fulani. Kinyume Cha mantiki ni kutoa hoja mbadala kwa hoja iliyotangulia na kutoa vielelezo vyenye uhakika vitakavyobatilisha kiakili hoja ya mtoa hoja wa mwanzo.
Mfano 1: Yesu ni Mungu. Hii ni hoja kimantiki kama wasemavyo baadhi ya Ndugu zetu katika Imani. Hujenga hoja hii kwa kuona namna alivyozaliwa na kupewa baadhi ya uwezo kama kufufua wafu, kuponya wagonjwa, nk.
Mungu hawezi kuwa Yesu: Hii ni hoja mbadala inayobatilisha hoja ya mwanzo kwa vile, Yesu mwenyewe anasema; naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, naenda kwa mungu wangu ambaye ni mungu wenu. Lakini sifa ya Mungu mwenyezi ni kuwa hana sifa ya kula, kunya, kulala, maumbile na udhaifu (kukamatwa, kupigwa, kupakatwa nk.
Conclusion: Mungu Mwenyezi hawezi kuwa Yesu! (Jesus is god but God cannot be Jesus)! Logically proved.
Mfano 2: Nabii Ibrahim anayavunjavunja masanamu waliyokuwa wakiyaabudu baba zake wakati wenyewe hawapona kubakiza sanamu moja kubwa lao. Kisha akaweka shoka kwenye sanamu hilo.
Waliporudi na kuona masanamu (miungu yao imevunjwa) wakasemezana, bila shaka atakuwa Ibrahim maana amekuwa akiyapinga. Walivyomita na kumuuliza akasema; hapana! Labda muliulize hilo sanamu kubwa.
Mantiki: Wakasema, Tutaliulizaje sanamu wakati haliongei??
Counter Mantiki: Akasema; Kwanini mnaabudu sanamu ambalo haliongei badala ya kumuabudu Mola aliye juu na aliyehai na wala hafi???
Mfano 3: Stars zinazunguka kwenye centre (Galactic centers). Asili ya kupatikana kwa huu ulimwengu (Universe ni Big Explosion - BB) iliyotokana na singular particles. Galaxies zinapanuka kwa kasi ya ajabu na zinakimbiana zenyewe kwa zenyewe kwa mega speed.
Mantiki: 1: Hatumuoni Mungu katika Universe kwa sababu time na space vilianza baada ya BB.
Mantiki :2: Kusema kuna Mungu aliye cause BB kutokea ni
meangless! Bali tumevumbua sisi kwa taaluma na intect yetu kwa kutumia vifaa tulivyovitengeneza sisi wenyewe kwa akili zetu.
Counter (logic): Mantiki:
1: Time ya universe baada ya BB ilianza baada ya BB: Time ya particles za fataki itahesabiwa baada ya kufyatua fataki. Lakini TIME YA MFYATUA FATAKI imekuwepo wakati wote pamoja na mtengeneza fataki hata kabla ya kufyatua hiyo fataki na particles kusambaa angani na kuendelea kujilipualipua. Kinyme na hapo tuseme fataki imejitengeneza yenyewe.
Hivyo hivyo TIME ya aliyeanzisha (cause) BB imekuwepo pamoja na Mtengeneza particles zilizosababisha singular object ku-explode na kutupatia diversity universes tuliyonayo hii leo.
Ushahidi tunaupata katika Qur'an sura ya 21 aya ya 30 na kuhusu kupanuka kwa ulimwengu (expansion) tunapata katika sura ya 51 aya ya 47.
2. Kusema kuwa kukiri kuwa kuna Mungu aliye-cause BB ni MEANINGLESS! Mantiki inakataa. Bali kusema ni meaningless inamvua mtu moja kwa moja kuwa INTELLECTUAL. Is more than FOOLISH!
Bali kusema kuwa lazima kutokea kwa BB na mpangalio wake ikiwemo expansion kuna intellectual being behind it and to find who is He is very
MEANINGFUL ! Hiyo itakuwa poa Kimantiki! Au vipi washikaji???.
OTHERWISE SISI NA HAO WANASAYANSI TUTAKUWA TUNAONGOZWA NA SELF EGO!