mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Siku mtakaporudi kwenye futi 6 ndo mtajua kuwa mungu yupo au hayupo.
Bado muda mchache tu.
Bado muda mchache tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Hakioneshi yupo.
Unaelewa hilo?
Nimesoma zote hapo kwenye quantum and eisten is all about theories na wao kumbe kama wewe hawaelewiNimekujibu hapo juu, tatizo namueleza samaki wa Mariana Trench kuhusu jangwa la Sahara.
Hawezi kunielewa.
What was before time,space and energy???Kifo kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Hakioneshi yupo.
Unaelewa hilo?
Sielewi "nini" labda uniambie "nini" ni "nini"??????Wewe unaelewa nini?
Wewe ulikufa lini ukakutana naye?
Umejuaje ukifa utaenda kukutana naye?mtu ufa mara moja.nikifa ntaenda kukutana nae heri yangu ninaemuamini kuwa yupo.
Where was the Big Bang ? From the North, South, East or WestUnajiharishia ujinga tu moron.
Jibu tu huo utani maana before time ,space na energy mnashindwa majibu vipi mnabisha uwepo wa Mungu,sasa north of north pole is likewise nakusema SIJUI..........Hahaaaa.
Naomba uulize hili swali tena nijue hujatania.
Mtu anakwambia soace yote ineanzia kwenye Big Bang, if at all you take the Big Bang model seriously.Jibu tu huo utani maana before time ,space na energy mnashindwa majibu vipi mnabisha uwepo wa Mungu,sasa north of north pole is likewise nakusema SIJUI..........
Hiyo "kama" ndio inazuia nini kwenye swali nililokuuliza? Hivi upo sawa kweli wewe? maana hiyo michambo uliyotoa haioneshi kuwa ulikuwa katika hali ya kawaida tu.Wewe nawe unajua kusoma kwa ufahamu?
Aau ni nyungunyungu usiye na ubongo wala uti wa mgongo?
Unaelewa maana ya neno "kama" ?
Au unajiharishia na kujikojolea all over the map kwa kukosa akili?
Unajiona mjanja na intellectual sana, kuanzisha mada ya kipumbavu ya kumkana Mungu huku ukimnukuu mpumbavu mwenzako Hawking, si ajabu hata huwa unajinyea kitandani na kusema mkeo au jirani yako kanya kumbe ni wewe mbumbumbu wa ma mbumbumbu .Wewe unajua hata kufikiri ni nini?
Haya maswali yako ya kujiharishia kiakili yanaonesha hata hujui kufikiri ni nini.
Guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo wewe.
Endelea kujinyea na kujikojolea hapa nikuone unavyojiaibisha.
Sasa hiyo soace ni nini????ila angeandika mwingine ungesema hana ufahamu.Mtu anakwambia soace yote ineanzia kwenye Big Bang, if at all you take the Big Bang model seriously.
Halafu unamuuliza Big Bang ilitokea East, West, North or South.
Swali lako linaonesha hujaelewa jambo la msingi katika somo la awali.
Kwamba soace yote ilifikea karika Big Bang.
Ni kama vile nakwambia wewe na dada zako na kaka zako wote mmezaliwa na mama yako.
Halafu unaniuliza kama wewe umezaliwa na dada yako au kaka yako.
Swali lako linaonesha hujaelewa nilipokuambia kwamba umezaliwa na mama yako.