Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa sayansi imefanya nini hebu toa jibu moja ueleweke.Scientists wanazidi kuthibitisha hoja yao ya uwepo wa Mungu kila uchwao. Ugunduzi unafanyika na kuthibitishwa kisayansi unazidi ongeza uzito kwenye hoja zao.
Mfano: 1800 kila mmoja duniani aliamini Mwenye kuweza kufanya mvua ni Mungu/Mchawi pekee. Leo tunaona jinsi Science ilivyoweza kukuletea mvua hata jangwani muda wowote kwa formula maalum ambayo ukimfundisha mtu yeyote anaweza ifanya.
Miaka ya Mtume walikuwa wakiamini jua linazama kwenye tope mwishon mwa kingo za dunia. uelewa wa akili zao za kupembua mambo uliishia kwenye kufikili hivyo. Leo tunashuhudia sayansi inavyothibitisha mfumo mzima wa jua kutoka na kuzama, kuweza tengeneza majua mbadala na kugundulika kwa majua mengine sayari nyingine huko.
Tumeona jinsi science inavyothibitisha kitaalamu magonjwa ya akili kwa wale watu waliitwa wana mashetani. Na yanatibika.
Tumeona wakituletea vitu ambavyo havikuwahi fikilika miaka ya nyuma mfano video call, computer,ndege.
Kila siku inayokuja, Science inazidi kuthibitisha hoja ya Dunya kutokuumbwa na Mwenyez Mungu.